Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesema kuwa, hali imeanza kuimarika mashariki mwa nchi hiyo mwezi mmoja baada ya kufikiwa makubaliano kati ya serikali ya Kiev na wanamgambo wanaopigania kujitenga maeneo …
Bunge la Ujerumani mapema leo limeidhinisha kwa wingi wa kura kurefushwa muda wa msaada wa kifedha wa Umoja wa Ulaya kwa Ugiriki ili kuinusuru nchi hiyo inayokabiliwa na hatari ya …
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Ubelgiji amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo inatakiwa kukomesha kabisa vitendo vya utumwa mambo leo. Akiashiria juhudi kiduchu zilizochukuliwa na serikali ya nchi …
Gazeti la El País la Uhispania limeandika kuwa, kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh liliasisiwa kwa lengo la kuharibu tamaduni za nchi za Kiarabu. Likiashiria mkanda wa video ulioonyeshwa …
Jeshi la Ukraine limetangaza kuwa halitaondoa silaha nzito katika maeneo ya mashariki mwa nchi, jambo linalokwenda kinyume na makubaliano ya kusitisha vita yaliyosainiwa mjini Minsk, Belarus wiki iliyopita. Jeshi la …
Familia ya mwanamke ambaye anatuhumiwa kuwashawishi wasichana watatu wa Uingereza kujiunga na kundi la kitakfiti la Daesh nchini Syria imesema kuwa, mashirika ya kijasusi ya Uingereza likiwemo lile la MI6, …
Jumamosi, 21 Februari 2015 14:04

Wasichana wa Uingereza wazidi kujiunga na Daesh

Polisi ya Scotland Yard ya Uingereza imeeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa kujiunga wasichana wa nchi hiyo na kundi ya kigaidi la Daesh nchini Syria. Kamanda wa Kitengo cha Kupambana …
Wanaharakati wa haki za binadamu wa muungano wa Ujerumani wa kupiga vita utumiaji wa watoto kama askari umeitaka Berlin kuzuia silaha kuangukia mikononi mwa watoto wanaotumiwa katika mizozo ya kivita …
Jumatatu, 09 Februari 2015 13:02

Putin asisitizia ulazima wa mapatano ya Ukraine

Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa kuna ulazima wa kufikiwa mapatano kati ya pande zinazozozana huko Ukraine. Rais wa Russia ametangaza leo katika kukaribia kikao cha viongozi wa Ufaransa, …
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amesema kuwa, wakazi wa eneo la Crimea hawawezi kulaumiwa kwa uamuzi wao wa kujiunga rasmi na shirikisho la Russia. Sarkozy ametaka kupelekwa kikosi …
Jumatano, 07 Januari 2015 20:18

12 wauawa katika hujuma Paris, Ufaransa

Watu wasiopungua 12 wameuawa na wengine watano kujeruhiwa vibaya baada ya watu waliokuwa wamefunika nyuso zao kushambulia kwa bundiki za rashasha ofisi za jarida la vibonzo la Charlie Hebdo katika …
Jumatatu, 29 Disemba 2014 13:08

Nchi za Magharibi zishauriane na Russia

Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa nchi zaMagharibi zinapasa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Russia kuhusu mgogoro wa Ukraine na kujiepusha na mantiki …
Alkhamisi, 18 Septemba 2014 09:50

Wananchi wa Scotland kupiga kura ya kujitenga leo

Wakazi wa eneo la Scotland leo wataelekea katika masanduku ya kupigia kura ili kushiriki katika kura ya maoni kwa ajili ya kuamua iwapo watajitenga na Uingereza au la.Hatua hiyo inaweza …
Page 13 of 13