Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 04 Mei 2015 12:29

Czech yakosoa vikwazo dhidi ya Russia

Rais Milos Zeman wa Czech amesema kuwa vikwazo vilivyowekwa kwa Russia kutokana na mgogoro wa Ukraine havina athari bali vinachochea hali ya mivutano. Rais wa Czech amesema kuwa vikwazo vya …
Vikosi vyenye mfungamano na Russia nchini Ukraine vimesema kuwa vimewafukuza wanachama saba wa Marekani na Ulaya wa taasisi moja ya kimataifa isiyo ya kiserikali kwa kosa la kufanya ujasusi katika …
Mamia ya Wamarekani wenye hasira wamemiminika tena kwenye mitaa ya miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika, Freddie Gray aliyekufa kutokana na majeraha akiwa …
Shirika la habari la GlobalPost limefichua kuwa ndege zisizo na rubani za Marekani (Drone) zimeua zaidi ya watu elfu tano katika mashambulizi yake ya muongo mmoja uliopita katika maeneo mbalimbali …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepinga hatua yoyote ya kutumia nguvu za jeshi katika suala na wahajiri haramu wanaoelekea Ulaya kupitia Libya na Bahari ya Mediterranean.Ban Ki-moon amesema utumiaji …
Rais Vladmir Putin wa Russia ameituhumu Washington kuwa inatoa msaada wa kilojistiki wa  moja kwa moja kwa wanamgambo wa Qafqazi ya Kaskazini. Putin amesema Jumapili hii katika televisheni ya Rossiya …
Idadi kubwa ya Wamarekani wa mji wa Baltimore huko Maryland wamemiminika tena katika mitaa ya mji huo wakilalamikia mauaji ya Mmarekani mwenzao aliyefariki dunia baada ya kujeruhiwa vibaya polisi ya …
Waziri Mkuu wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa ubaguzi wa kizazi na ubaguzi dhidi ya raia wa kigeni vimeongezeka katika nchi za Ulaya.Erdogan ambaye alikuwa akihutubia Mkutano wa Amani …
Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limetangaza kuwa vifo vilivyotokana na kuzama majini wahajiri haramu katika bahari ya Mediterranean vimeongezeka kwa asilimia 30 tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Kwa mujibu …
Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa Bahari ya Mediterania imekuwa kaburi la wanadamu wasio na hatia badala ya kuwa bahari ya amani, utulivu na maendeleo. Alexis Tsipras ameashiria maafa ya …
Rais wa Ecuador, Rafael Correa, amekosoa siasa za kindumakuwili za Marekani katika eneo la Amerika ya Latini na kuitaka Washington kukomesha mara moja siasa za aina hiyo. Rais Correa amesema …
Jumatano, 15 Aprili 2015 20:57

Marekani yamnyonga Mwafrika mgonjwa wa akili

Jana usiku jimbo la Missouri la Marekani lilimnyonga mtu mweusi mwenye matatizo ya akili baada ya Mahakama Kuu ya nchi hiyo kuikataa rufaa ya mawakili wa mtuhumiwa huyo.Andre Cole Mmarekani …
Balozi wa Cuba nchini Iran amesema kuwa nchi yake haina imani na Marekani kutokana na siasa za kiadui zinazoendelea kutekelezwa na nchi hiyo dhidi ya Havana. Vladimir Gonzalez Cuesada Balozi …
Kiongozi mmoja wa zamani wa mahakama nchini Uingereza amesema kuwa, vijana wengi wa nchi hiyo wamejiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh baada ya kurubuniwa. Nadhir Afdhal, mmoja …
Jumatatu, 06 Aprili 2015 13:58

Moscow mwenyeji wa mazungumzo ya Wasyria

Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa Moscow mji mkuu wa nchi hiyo utakuwa mwenyeji wa duru ya pili ya mashauriano kati ya wawakilishi wa serikali ya Syria …
Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Marekani kimeendelea kuongezeka na hivyo kupunguza matumaini ya kupunguza tatizo la ajira ndani ya taifa hilo. Kanali ya habari ya CNN imetangaza kuwa, kiwango …
Brice Robin Mwendesha Mashtaka wa Marseille nchini Ufaransa amesema kuwa, rubani msaidizi wa ndege ya kampuni ya Germanwings ambayo ilipata ajali katika milima ya French Alps wiki hii, alifanya jaribio …
Rais Vladmir Putin wa Russia amesema nchi yake itaibuka kuwa na nguvu kwenye vuta nikuvute na nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani iwapo itaendelea kusimama kidete na kukataa kuburuzwa na …
Serikali ya mkoloni mkongwe wa Ulaya yaani Uingereza, imeazimia kuongeza idadi ya wanajeshi wake katika visiwa vya Falklands huko Argentina, suala ambalo limewakasirisha mno viongozi wa nchi hiyo ya Amerika …
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imeeleza wasiwasi kuhusu habari iliyotangazwa kwamba, kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetumia gesi ya krolini. Steven Warren msemaji wa Pentagon amesema kuwa …