Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel García-Margallo amezitaka nchi zote duniani kupambana vilivyo na kundi la kigaidi la Daesh kwa ajili ya kukomesha tatizo hilo.
Kundi la kigaidi la Daesh limetuma wanachama 400 katika nchi za Ulaya kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya kigaidi.
Mgombea tiketi ya chama cha Democratic kwa ajili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Marekani, Bernie Sanders amekosoa vikali matamshi yanayotolewa na mgombea mwenzake wa chama cha Republican, Donald …
Mgombea wa kiti cha rais kupitia chama cha Republican Ted Cruz amependekeza kuazishwa msako mkali dhidi ya wafuasi wa dini ya Kiislamu eti kwa shabaha ya kuwazuia ‘wasiingie kwenye kundi …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel García-Margallo amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh ndio lililohusika katika miripuko ya leo ya mjini Brussels, Ubelgiji.
Jumatatu, 21 Machi 2016 12:48

Wamarekani waandamana kuipinga Israel

Idadi kubwa ya Mayahudi ambao ni wafuasi wa Kanisa la Orthodox pamoja na wanaharakati wa Kipalestina wameandamana nchini Marekani na kukusanyika mbele ya Ikulu ya White House wakiulaani utawala haramu …
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa Wafaransa zaidi ya 600 wamejiunga na kundi la kigaidi la Daesh katika nchi za Syria na Iraq tangu baada ya mashambulizi …
Rais Barack Obama wa Marekani amewasili katika mji mkuu wa Cuba, Havana katika safari inayotajwa kuwa ya kihistoria.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Bernard Cazeneuve amesema kuwa, kutiwa mbaroni Salah Abdeslam, mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya umwagaji damu mkubwa ya mwezi Novemba mwaka jana jijini Paris, …
Baraza la Mahusiano la Waislamu nchini Marekani limewataka wanawake wa Kiislamu nchini humo kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa, wakati huu ambapo chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zimeongezeka …
Waislamu nchini Marekani, wamesema kuwa maneno ya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu yanayotolewa na viongozi wa chama cha Republican, ndiyo sababu ya kuongezeka hujuma na mashambulizi dhidi ya …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaja Marekani pamoja na waitifaki wake wa Magharibi kuwa ni wanafiki kwa kukataa kulaani hujuma za hivi karibuni dhidi ya ubalozi wa Russia …
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amepinga vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Marekani dhidi ya Moscow akisema kuwa yanaweka hatarini mchakato wa kurejesha amani …
Makamu Chansela wa Ujerumani amesema Donald Trump, mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ni hatari kwa amani na maendeleo duniani.
Mpwa wa Rais wa zamani wa Marekani, John F. Kennedy ambaye ni mwanasheria amesema kuwa, sababu iliyoifanya Marekani ishiriki katika kampeni za kumpindua Rais halali wa Syria aliyechaguliwa kidemokrasia, ni …
Mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Dolad Trump amemfukuza mwanamke mmoja mweusi wa nchi hiyo katika mkutano wake wa kampeni.
Maaskofu wawili wa Marekani wamepatikana na hatia kuwa walificha vitendo viovu vya makaksi wa Kikatoliki vya kuwanajisi watoto wadogo.
Jumapili, 28 Februari 2016 20:00

Atiwa mbaroni Algeria kwa mashambulio ya Paris

Maafisa usalama wa Algeria wametangaza habari ya kutiwa mbaroni raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa anaishi nchini Ubelgiji kwa tuhuma za kuhusika katika mashambulizi ya mjini Paris Ufaransa.
Baraza la Misikiti nchini Uholanzi limetangaza kuwa, karibuni misikiti kumi ya nchi hiyo imepokea barua za vitisho.
Ijumaa, 26 Februari 2016 07:23

Sanders: Mfumo wa ubaguzi ukomeshwe Marekani

Bernie Sanders anayewania nafasi ya kugombea kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Demicratic amesema nchi yake inapaswa kukomesha mfumo usiofaa wa mahakama na ubaguzi unaofanyika kwa …