Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waislamu wanaoishi Marekani wameandama mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Washington wakilalamikia jinai za nch hiyo na hatua ya nchi hiyo ya kuunga mkono ugaidi. Shirika la habari la …
Rais Vladimir Putin wa Russia ameidhinisha mpango wa kuharibu bidhaa za chakula zilizo kinyume cha sheria kutoka katika nchi zilizo kwenye orodha ya vikwazo ya Russia. Rais Putin ameafiki mpango …
Ijumaa, 24 Julai 2015 08:06

UN yaitaka Canada ikomeshe ubaguzi

Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema Canada inawajibika kuunga mkono haki za wazawa na kukomesha ubaguzi dhidi yao.Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja …
Ripoti zinaonyesha kuwa, idadi ya Waislamu katika mji mkuu wa Russia, Moscow inakuwa kwa haraka. Utafiti uliofanywa na taasisi moja ya mjini Moscow inayoendeshwa na mwandishi mashuhuri,Ilya Varlamov, unaonyesha kuwa, …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amewakosoa wanaopinga makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na nchi 6 zenye nguvu duniani chini ya mwavuli wa kundi la …
William O. Beeman, mhadhiri wa chuo kikuu cha Minnesota nchini Marekani amesema kuwa, Washington itatengwa endapo kongresi ya nchi hiyo itavunja makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya Jamhuri …
Waislamu katika Jamhuri ya Czech wameeleza wasiwasi wao kutokana na kushadidi kwa vitendo vya ubaguzi dhidi yao na dhidi ya wahajiri Waislamu nchini humo.Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya …
Bunge la Ugiriki limeidhinisha masharti mapya ya kupokea mkopo baada ya mjadala mkali na upinzani kutoka miongoni mwa wajumbe wa serikali na wenzao wa upinzani. Wabunge 229 kati ya 300 …
Siku moja baada ya Ugiriki kufikia makubaliano na Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kupokea mkopo utakaounusuru uchumi wa nchi hiyo, wabunge kutoka chama tawala na wale wa upinzani mjini …
Mmarekani mweusi amepoteza maisha akiwa mikoni mwa polisi baada ya kupuliziwa pilipili kali katika mji wa Tuscaloosa jimboni Alabama.Mmarekani huyo mwenye asili ya Afrika aliyetambulika kama Anthony Ware, alipoteza maisha …
Serikali ya Russia imetoa wito wa kuchukuliwa hatua na kuadhibiwa wale waliofanya mauaji ya zaidi ya Waislamu elfu 8 wa Bosnia Herzegovina hapo mwaka 1995. Wizara ya Mambo ya Nje …
Ripoti zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani zinasema kuwa idadi ya raia waliouawa katika mwaka huu wa 2015 nchini humo imeongezeka kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na miaka iliyopita. Televisheni …
Mtandao wa WikiLeaks unaofichua siri za serikali mbalimbali duniani umeendelea kuweka wazi ujasusi mpana uliokuwa ukifanywa na shirika la usalama wa taifa la Marekani (NSA) dhidi ya viongozi na raia …
Viongozi wa nchi zinazotumia sarafu ya Euro wameipa Ugiriki hadi siku ya Jumapili kutoa mapendekezo mazuri ya kuboresha uchumi wake na kutangaza hatua itakazochukua kwa ajili ya kudhamini ulipaji wa …
Mwanzilishi wa mtandao wa Wikileaks uliopata umaarufu kwa kufichua siri za serikali mbalimbali amesema, Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) limekuwa likiwajasisi viongozi na raia katika nchi takriban …
Waendesha mashtaka nchini Ufaransa wamempandisha kizimbani mwanajeshi mmoja wa nchi hiyo kwa kosa la kuwadhalilisha kijinsia watoto wawili wadogo wa Burkina Faso.Duru moja ambayo jina lake halikutajwa imeripoti kuwa, mwanajeshi …
Waziri wa Fedha wa Ugiriki, Yanis Varoufakis, amesema serikali itajiuzulu iwapo wananchi wengi watapiga kura ya ‘ndio’ kwenye kura ya maamuzi siku ya Jumapili. Waziri Mkuu wa nch hiyo, Alexis …
Hujuma na mashambulizi dhidi ya Uislamu na Waislamu yameongezeka nchini Ufaransa katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2015.Taasisi inayofuatilia hujuma zinazofanywa dhidi ya Uislamu nchini …
Taarifa kutoka nchini Ujerumani zinaripoti kuwa, watu wasiojulikana wameshambulia msikiti wa mjini Munich. Shambulizi hilo linalosadikiwa kutekelezwa na watu wenye chuki za kidini, limesababisha kuchomwa moto chumba kidogo kilichopo karibu …
Bunge nchini Ufaransa limepasisha sheria tata inayoyapa ruhusa mashirika ya kijasusi ya hiyo kuwafanyia ujasusi wananchi.Muswada huo uliopasishwa jana na bunge la Ufaransa, unayapa mamlaka na haki mashirika hayo kudhibiti …