Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Wakimbizi wa Syria waliokwama nchini Ugiriki wamevamiwa na kushambuliwa na kundi la watu wenye misimamo mikali ya kibaguzi.Wazungu wenye misimamo mikali ya kibaguzi wamewashambulia kwa fataki na silaha nyenginezo wakimbizi …
Rais Vladmir Putin wa Russia amesema leo kuwa, mgogoro wa wahajiri unaolikabili bara Ulaya kwa sasa umetokana na sera mbovu za kigeni za nchi za bara hilo hususan zile ambazo …
Mayahudi wanaounga mkono mapatano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1, wamefanya maandamano mjini New York, Marekani. Mayahudi hao wametoa nara za kulaani njama za lobi za Kizayuni …
Jumatano, 02 Septemba 2015 09:55

Warepublicans wanaamini Obama ni Muislamu

Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa wanachama na wafuasi wengi wa Chama wa Republicans wanaamini kwamba Barack Obama, rais wa kwanza wa nchi hiyo mwenye asili ya …
Kiongozi wa mrengo wa raia wenye asili ya Kiafrika nchini Marekani katika Bunge la nchi hiyo, ametangaza kuwa, mrengo huo unaunga mkono makubaliano ya nyuklia baina ya Jamhuri ya Kiislamu …
Alkhamisi, 27 Agosti 2015 14:47

Mbunge wa Russia ataka Kerry awekewe vikwazo

Mbunge wa Russia, Igor Morozov, amelitaka bunge la nchi hiyo kuwawekea vikwazo vya usafiri wanadiplomasia waandamizi wa Marekani akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, John Kerry na …
Alkhamisi, 20 Agosti 2015 10:49

Wafuasi wa dini za mbinguni Czech wakutana

Wafuasi wa dini za mbinguni wakiwamo Waislamu, Wakristo na Mayahudi wamekutana katika Jamhuri ya Czech na kusisitizia umuhimu wa kudumishwa ushirikiano na upendo wa kikaumu na kidini baina yao. Mbali …
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ufunguo kwa ajili ya kuhitimishwa machafuko ya ndani ya miaka mitano nchini Syria. …
Jopo la majaji watatu la Mahakama ya Rufaa ya Marekani limekataa mashtaka yaliyokuwa yamewasilishwa na jumuiya inayopiga vita Uislamu ya American Freedom Defense Initiative (AFDI) dhidi ya maafisa wa eneo …
Gazeti la Die Welt la Ujerumani limeandika kuwa mashambulizi yanayolenga misikiti ya Waislamu yanayofanywa na makundi ya watu wenye mismamo na fikra zilizochupa mipaka yameshadidi zaidi nchini humo.Gazeti hilo limeashiria …
Alkhamisi, 13 Agosti 2015 10:17

Bunge la Uswizi laondoa vikwazo dhidi ya Iran

Bunge la Uswisi hapo jana liliidhinisha kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran baada ya makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa mwezi uliopita kati ya Tehran na kundi la 5+1. Bunge hilo limesema makubaliano …
Gazeti la Independent linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa, meli za nchi hiyo hazijawahi kumuokoa hata mhajiri mmoja na kuzama maji katika bahari ya Mediterania. Gazeti hilo limeandika kuwa, licha ya …
Jumanne, 11 Agosti 2015 12:31

Wamarekani wamshukia Seneta mzayuni

Makumi ya maelfu ya Wamarekani wamemkosoa Seneta wa jimbo la New York, Chuck Schumer kutoka chama tawala cha Democrats baada ya kutangaza kuwa atapinga makubaliano ya nyuklia kati ya Iran …
Mamia ya Wamarekani wamefanya maandamano huko Washington, mji mkuu wa Marekani, kupinga shambulizi la nyuklia dhidi ya mji wa Nagasaki, Japan, makumi ya miaka iliyopita. Waandamanaji hao ambao wengi wao …
Jumamosi, 08 Agosti 2015 19:25

Obama aahidi kujibu mapigo ya AIPAC

Rais Barack Obama wa Marekani amelilaumu kundi la mashinikizo la Israel nchini Marekani kwa kutumia mamilioni ya dola kwa ajili ya kueneza madai yasiyo ya kweli kuhusu makubaliano ya nyuklia …
Alkhamisi, 06 Agosti 2015 12:31

Wahamiaji 700 wazama baharini karibu na Libya

Italia imeripoti kuwa meli yenye wahamiaji zaidi ya 700 ilizama karibu na pwani ya Libya jana. Walinzi wa baharini wa Italia walioshughulikia uokoaji kwenye bahari hiyo walisema kuwa walipokea simu …
Alkhamisi, 06 Agosti 2015 10:39

Daesh watishia kuishambulia Ujerumani

Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wametishia kufanya mashambulizi makubwa katika miji ya Ujerumani.Wakizungumza kwa kijerumani, vijana wawili wa kundi la Daesh wamesema kwenye video moja kuwa …
Gazeti la The Guardian la nchini Uingereza limetoa ripoti inayoonyesha kuwa watu 118 nchini Marekani wameuawa na polisi katika mwezi uliopita wa Julai na hivyo kuufanya mwezi huo kuwa na …
Waziri Mkuu wa Ugiriki, Alexis Tsipras amesema huenda akalazimika kuitisha uchaguzi wa mapema ili kutafuta wabunge wa kutosha na ambao ni watiifu watakaomsaidia kuendesha serikali katika kipindi hiki kigumu cha …
Jumatatu, 27 Julai 2015 15:45

Sanders: Ubaguzi ni tatizo kubwa Marekani

Mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, Bernie Sanders, amesema kuwa ubaguzi wa rangi ni tatizo kubwa katika jamii ya Marekani.Bernie ambaye ni miongoni mwa wagombea wa urais wa …