Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 11:42

Watu 10 wauawa kwa risasi chuoni Marekani

Nchini Marekani watu kumi wameuawa na wengine saba kujeruhiwa baada ya kufyatuliwa  risasi kwenye Chuo kimoja kilichoko katika jimbo la Oregon. Mfyatuaji risasi huyo aliyetambuliwa kuwa, Harper Mercer, 26, alifyatua …
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi (UNHCR) limetangaza kuwa, wahajiri wasiopungua milioni 1.4 wanatarajiwa kuwasili barani Ulaya hadi kufikia mwisho wa mwaka 2016. Shirika hilo limesema kuwa, linajipanga kuwapokea …
Jumapili, 27 Septemba 2015 09:06

Wajerumani waunga mkono mazungumzo na Asad

Vyama mbalimbali nchini Ujerumani vimekaribisha pendekezo la hivi karibuni la Kansela wa nchi hiyo Bi Angela Merkel kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais wa Syria ili kuupatia ufumbuzi mgogoro …
Alkhamisi, 24 Septemba 2015 09:16

Russia yatishia kujibu mapigo ya Marekani

Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu mpango wake wa kupeleka mabomu 20 ya kisasa ya nyuklia kwenye kituo chake cha kijeshi nchini Ujerumani. Msemaji wa Ikulu ya ya Rais wa Russia Kremlin, …
Vyombo vya mahakama za Ufaransa vimetangaza kuwa kiongozi wa chama cha National Front (FN), Marine Le Pen atapandishwa kizimbani tarehe 20 Oktoba kujibu mashtaka ya kutoa matamshi ya kichochezi dhidi …
Jumanne, 22 Septemba 2015 19:11

UN yaitaka EU kupokea wakimbizi zaidi

Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuwapa hifadhi wakimbizi laki moja na elfu 20 kwa kipindi cha sasa pekee hautoshi. …
Siku moja baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa nchini Ugiriki, viongozi mbalimbali wa Ulaya wanaendelea kumpongeza Alexis Tsipras, kiongozi wa chama cha mrengo wa kushoto cha Syriza kwa kuibuka na …
Jumatatu, 21 Septemba 2015 14:07

'Mwislamu hapaswi kuwa rais wa Marekani'

Waislamu nchini Marekani wamemkosoa vikali Ben Carson anayetaka kugombea kiti cha urais kwa tikiti ya chama cha Republican kufuatia matamshi yake kuwa Mwislamu hapaswi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani. Katika …
Shambulizi lililofanywa jana na wabaguzi wa rangi nchini Ujerumani dhidi ya kituo kilichotayarishwa kwa ajili ya kupokea wakimbizi kutoka Syria limezuia kupokewa wakimbizi hao.Ripoti zinasema kuwa kundi la wabaguzi wa …
Jumapili, 20 Septemba 2015 10:02

Brazil: Ubeberu wa US ni hatari kwa dunia nzima

Mkuu wa chama cha Kikomonisti nchini Brazili, Luciana Santos ameonya juu ya njama chafu za Marekani kwa nchi za Amerika ya Latini na ulimwengu kwa ujumla. Santos amesema kuwa, wapinzani …
Jumamosi, 19 Septemba 2015 10:46

Ujerumani yataka nchi za EU zigawane wahajiri

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amesema kuwa, nchi zinazopinga mpango wa kugawana wahajiri zinapaswa kulazimishwa ziukubali mpango huo. Frank-Walter Steinmeier amesisitiza kwamba, endapo baadhi ya nchi wanachama wa …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana wasiwasi mkubwa kuhusu muamala wanaopewa wakimbizi katika mpaka wa nchi za Hungary na Serbia baada ya polisi ya Hungary kushambulia wahajiri hao …
Jumapili, 13 Septemba 2015 14:59

Maandamano ya Ulaya kuunga mkono wahajiri

Maandamano makubwa yamefanyika katika nchi kadhaa za Ulaya kuwaunga mkono wahajiri wanaomiminika katika nchi hizo. Idadi kubwa ya Wajerumani wamejitokeza barabarani kukaribisha wahajiri kutoka nchi kadhaa za dunia, wengi wao …
Mwanasiasa mkongwe wa Uingereza Jeremy Corbyn ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa Chama cha Leba baada ya sera zake za kupinga vita kupata waungaji mkono wengi nchini humo.Akizungumza leo Jumamosi mjini …
Mpango wa wanachama wa chama cha Republican katika Baraza la Seneti la Marekani wa kutaka kupasisha muswada wa kupinga mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za kundi la …
Jumatano, 09 Septemba 2015 20:42

Russia: Marekani inavuruga vita dhidi ya ugaidi

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, sanjari na kukosoa mienendo hasi ya Marekani katika kupambana na ugaidi amesema kuwa, siasa za Washington katika uwanja huo ni zenye …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ni wajibu wa kibinadamu kwa viongozi wa nchi za Ulaya kuamiliana vyema na kwa kuwajibika na wakimbizi wanaondelea kueleka katika nchi hizo.Ban Ki-moon …
Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi ya jinai zinazosababishwa na chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka nchini Uingereza mwaka uliopita. Takwimu zilizotolewa na Polisi ya London zinaonyesha kuwa Waislamu katika mji mkuu …
Gharama za kifedha zitakazotumika kuwahudumia watu wanaotafuta hifadhi nchini Ujerumani, zinaweza kufikia yuro zisizopungua bilioni kumi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, kiwango ambacho  ni mara nne ya kile kilichotumiwa na …
Nchi za Umoja wa Ulaya lazima zikubali kuwapa hifadhi wakimbizi laki mbili kama sehemu ya ‘stratijia ya pamoja’ ya kukabiliana na mgogoro wa wakimbizi duniani. Hiyo ni kauli ya mkuu …