Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amesema liwe liwalo serikali ya Washingon itaendelea kuunga mkono 'ndoto ya uzayuni' ya utawala haramu wa Israel. Akizungumza mbele ya hadhira ya Mayahudi …
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa nchi yake itatengeneza silaha zenye uwezo wa kupasua ngao yoyote ya kujikinga na makombora na ameituhumu Marekani na waitifaki wake kuwa zinafanya mikakati …
Jumanne, 10 Novemba 2015 21:41

Out100: Obama, shakshia wa mwaka wa wasenge

Kundi la wasenge na wasagaji la Marekani limemteuwa Rais Barack Obama wa nchi hiyo kuwa shakhsia bora wa mwaka huu wa 2015.Jarida la Out100 la wasenge na wasagaji la Marekani …
Jumamosi, 07 Novemba 2015 13:05

Marekani: Obama anatathmini kufunga Guantanamo

Katika kile kinachoonekana ni unafiki wa kawaida wa Marekani, Ikulu ya White House imesema huenda Rais Barack Obama wa nchi hiyo akafunga jela ya mateso ya Guantanamo kabla ya kumaliza …
Seneta mmoja wa Marekani ameelezea wasiwasi wake kuhusu uwezekano wa kundi la kitakfiri la Daesh kutekeleza mashambulizi ya kigaidi dhidi ya nchi hiyo, kama lile lililofanywa na mtandao wa kigaidi …
Viongozi wa Kiislamu nchini Marekani wameelezea wasiwasi wao kutokana na mkakati mpya ulioratibiwa na Shirika la upelelezi la nchi hiyo FBI kwa ajili ya kukabiliana na misimamo mikali kwenye shule …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki moon, na mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu, Peter Maurer, wamekosoa nchi za dunia kwa kushindwa kuchukua hatua za kivitendo …
Jumapili, 01 Novemba 2015 09:32

Idadi ya Wamarekani wanaokana uraia yaongezeka

Raia 1,426 wa Marekani wameukana uraia wao katika kipindi cha miezi mitatu ya tatu ya mwaka huu wa 2015. Televisheni ya Press TV imeinukuu Wizara ya Hazina ya Marekani ikitangaza …
Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa wananchi wengi wa Marekani wanaamini kuwa nchi hiyo inaelekea katika njia isiyo sahihi.Uchunguzi wa maoni uliofanywa na kituo cha WND na taasisi ya …
Kujiua ni moja ya sababu kuu za vifo katika jamii ya Marekani. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la IRIB.Shirika hilo limekinukuu kituo kimoja cha takwimu chenye mfungamano …
Idara ya mahakama nchini Ujerumani, imeonya juu ya ongezeko la hujuma dhidi ya vituo vya kuwahifadhi wahajiri nchini humo. Taarifa iliyotolewa na idara ya mahakama imetahadharisha juu ya kuongezeka kwa …
Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Marekani imeharibu muundo wa amani duniani kwa kisingizio cha miradi ya amani ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Rais Putin ameyasema …
Harakati ya kupiga vita Waislamu nchini Ujerumani PEGIDA imekumbwa na lawama kali na hivi sasa inafuatiliwa kisheria baada ya msemaji wake mmoja kutaka Waislamu barani Ulaya wapelekwe kwenye kambi za …
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatazamiwa kuwasili mjini Istanbul Uturuki, hii leo kujadili kadhia ya wahajiri. Merkel anatazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kuhusu …
Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake London nchini Uingereza imetahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la hujuma dhidi ya Uislamu nchini humo.Tume hiyo imeashiria ripoti yake iliyopangwa …
Maelfu ya watu walifanya maandamano jana katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara wakimtuhumu Rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdogan kuwa serikali yake imehusika na mashambulizi ya bomu yaliyotokea juzi …
Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, Ulaya imegeuka na kuwa msambazaji wa ugaidi katika nchi zinazokabiliwa na migogoro zikiwemo Iraq na …
Seneta wa chama cha Democratic nchini Marekani, Chris Murphy ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa kutoa msaada wa dola milioni 500 kwa ajili ya kuimarisha makundi ya kigaidi nchini …
Jumatano, 07 Oktoba 2015 11:48

Misikiti Marekani katika hali ya Tahadhari

Misikiti Marekani imetakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na kuimarishwa usalama kutokana na ghasia zinazotazamiwa kuibuliwa Oktoba 10 na makundi ya watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu …
Mkuu wa Kamati ya Vikosi vya Majeshi ya Marekani katika Baraza la Seneti la nchi hiyo John McCain amesema Rais Vladmir Putin wa Russia anaidunisha na kuidhalilisha Marekani kwa kubadili …