Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waislamu nchini Marekani wamebainisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu kufuatia mauaji yaliyofanyika California. Siku ya Jumatano watu wawili waliotajwa kuwa wanandoa, waliwashambulia …
Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kwamba, uhalifu na ghasia zinazoambatana na utumiaji wa bunduki katika nchi yake umefikia kiwango cha kusikitisha na kwamba kiwango hicho hakina mfano wake popote …
Rais Vladimir Putin wa Russia ameishambulia vikali kwa maneno Uturuki akisema itajuta kwa kutungua ndege ya nchi yake ya kivita katika anga ya Syria kwenye mpaka wa nchi hiyo na …
Watu wasiopungua 14 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano makali ya silaha yaliyotokea jana kwenye kituo cha walemavu kwenye eneo la San Bernardino kusini mwa jimbo la California nchini …
Ripoti ya uchunguzi iliyochapishwa kwenye gazeti mashuhuri la The Standard la nchini Austria jana Ijumaa imeonyesha kuwa, takriban asilimia 60 ya raia wa Uingereza wanataka nchi yao ijiondoe kwenye Umoja …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesema nchi yake itaendelea kuisaidia serikali ya Syria kupambana na ugaidi hususan kundi la kitakfiri la Daesh.Waziri Lavrov amesema hayo leo …
Katika hatua inayoonekana ni kuendelea kushadidi chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani, Polisi ya nchi hiyo FBI imemzuia kusafiri mwanamke mmoja kwa jina Kameelah Rasheed ambaye tayari alikuwa …
Mjumbe wa Taasisi ya Kiislamu ya Imam Mahdi mjini Roma, Italia amesema kuwa, vyombo vya habari vya Magharibi vinayatumia vibaya mashambulizi ya kigaidi ya Ufaransa kama wenzo wa kuchochea chuki …
Rais Vladmir Putin amesema kuwa kitendo cha Uturuki cha kutungua ndege ya kijeshi ya Russia katika anga ya Syria kitakwua na taathira mbaya sana katika uhusiano wa Moscow na Ankara. …
Mkuu wa Shirikisho la Waislamu wa Ufaransa amesisitiza juu ya udharura wa kupambana na misimamo ya uchupaji mipaka na fikra za kitakfiri.Mohammed Bashari  ameahiria namna, kundi la kigaidi la Daeshlinavyotoa …
Jumamosi, 21 Novemba 2015 19:39

Waislamu waungana Marekani kulaani ugaidi

Waislamu wa Suni na Shia nchini Marekani wameungana kwa kukusanyika pamoja mbele ya Ikulu ya White House, katika kulalamikia vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na …
Kwa mara nyingine, Donald Trump anayetafuta ridhaa ya kuidhinishwa na chama cha Republican kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao nchini Marekani, ametoa matamshi ya chuki dhidi ya …
Waziri Mkuu wa Czech amesema kuwa, makundi ya kigaidi yanatumia nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kupitishia watu wao barani humo.Shirika la habari la Ufaransa limemnukuu Bohuslav Sobotka akisema hayo …
Alkhamisi, 19 Novemba 2015 14:27

HRW: Marekani inahusika na mauaji ya raia Yemen

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka Marekani isitishe kuiuzia mabomu serikali ya Saudi Arabia wakati nchi hiyo inaendelea kuishambulia nchi jirani ya Yemen.Shirika hilo lenye …
Maafisa wa polisi nchini Marekani wamewatia mbaroni zaidi ya wanaharakati 50 waliokuwa wakishiriki maadamano katika jimbo la Minnesota. Mamia ya wanaharakati hao wamefanya maandamano ya kukashifu dhulma wanazopitia watu weusi …
Jumatano, 18 Novemba 2015 09:03

UNHCR yaitaka Ulaya isiwasumbue wakimbizi

Msemaji wa Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa (UNHCR) amezitaka nchi za Ulaya zijiepushe kuchukua misimamo ya kukurupuka kuhusiana na wakimbizi wanaoingia barani humo. Melissa Fleming amezitaka nchi …
Jumatatu, 16 Novemba 2015 13:49

Valls: Ufaransa ilijua mashambulizi yangetokea

Waziri Mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls, amesema kuwa serikali ya nchi yake ilijua kwamba magaidi walikuwa wakipanga kushambulia maeneo muhimu ya taifa na kwamba mashambulizi zaidi huenda yakafuata sio tu …
Jumatatu, 16 Novemba 2015 13:44

Msikiti wachomwa moto makusudi nchini Canada

Polisi nchini Canada wamesema kuwa, moto ulioteketeza msikiti mmoja katika mji wa Peterborough ulitokana na kuwashwa na mtu mwenye chuki dhidi ya Uislamu na ambaye hadi sasa bado hajakamatwa. Msikiti …
Kiongozi mmoja anayejihusisha na harakati za kusimamia haki za Waislamu na wahajiri waishio katika viunga vya jiji la Paris, Ufaransa ameonya juu ya kushadidi wimbi kubwa la chuki dhidi ya …
Jumamosi, 14 Novemba 2015 09:35

Paris yashambuliwa, watu zaidi ya 160 wauawa

Watu wasiopungua 160 wameuawa katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris Ijumaa usiku katika mashambulizi yanayosadikiwa kuwa makubwa zaidi nchini humo tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia. Vyombo vya …