Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Donald Trump, mgombea wa nafasi ya urais wa chama cha Republican nchini Marekani amezitaja siasa za kigeni za nchi hiyo kuwa ni msiba mkubwa na zilizokosa mwelekeo au mwanga wa …
Nchi za Ulaya hazijachukua hatua za kutosha kuwanusuru wakimbizi wanaozama baharini wakijaribu kufika barani Ulaya kwa njia hatari za baharini.
Askofu Mkuu wa mji wa Lyon nchini Ufaransa amesema kuwa kuteuliwa makasisi wasiofaa ndiyo sababu inayopelekea kuongezeka kwa vitendo vya ufisadi na maudhi ya ngono dhidi ya watoto nchini humo.
Kituo cha Kiislamu cha America Kaskazini kimetoa wito wa kukabiliana na wimbi la propaganda chafu dhidi ya Uislamu.
Viongozi wa Ecuador wametangaza kuwa, watu wasiopungua 77 wamefariki dunia kufuatia mtetemeko mkubwa wa ardhi ulioikumba nchi hiyo.
Serikali ya Russia imesema kuwa uvamizi wa kijeshi wa Marekani huko Libya ni hatua iliyovuruga uthabiti wa nchi hiyo.
Marekani imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hataliomba msamaha taifa la Japan kutokana na mauaji ya maelfu ya watu wa Hiroshima yaliyofanywa na ndege za Marekani mwaka …
Mgombea tiketi ya chama cha Democratic kwa ajili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Marekani, Bernie Sanders amekosoa vikali mashambulizi ya mwaka 2014 ya utawala haramu wa Israel dhidi …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la Daesh kote ulimwenguni.
Russia imesema kuwa huenda ikafanya mazungumzo na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi Nato katika wiki chache zijazo.
Waziri Mkuu wa Uingereza amewaomba vijana wa nchi hiyo waunge mkono nchi hiyo kusalia katika uanachama wa Umoja wa Ulaya katika kura ya maoni iliyopangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Juni.
Ijumaa, 08 Aprili 2016 12:52

Wairaqi: US inaunga mkono ugaidi, Daesh

Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
Matokeo ya uchunguzi mpya uliofanyika nchini Marekani yanaonesha kuwa vitendo vya polisi ya nchi hiyo vya kuwaua kwa kuwapiga risasi Wamarekani wenye asili ya Afrika tena wasio na silaha, vinaongezeka.
Jumatano, 06 Aprili 2016 12:13

Askari 500 wa Marekani walijiua mwaka jana

Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana na hivyo kuendeleza mkondo wa idadi kubwa ya wanajeshi wanaojiua nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kuwa ndege zisizo na rubani za nchi hiyo zimeua idadi kubwa ya raia wasio na hatia katika nchi mbali mbali duniani na hususan za …
Waziri wa Haki za Wanawake wa Ufaransa amejikuta pabaya baada ya kutoa matamshi ya kuwavunjia heshima wanawake wa Kiislamu na vazi la stara la hijabu.
Alkhamisi, 31 Machi 2016 07:05

Obama: Waislamu ni wahanga wa ugaidi

Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kwamba Waislamu ni wahanga wa ugaidi.
Jumatano, 30 Machi 2016 20:30

Wazayuni wachangia kunyanyaswa Waislamu US

Imam wa Msikiti wa al-Islam mjini Washington, Marekani amesema serikali ya nchi hiyo na Wazayuni wana muelekeo wa pamoja na wanashrikiana katika kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro amesema nchi yake inaweza kujitegemea na hivyo haihitajii misaada yoyote kutoka Marekani.
Jumatatu, 28 Machi 2016 11:46

'Kampeni za urais zinaiaibisha Marekani'

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amekiri kuwepo utovu wa nidhamu katika kampeni za uchaguzi wa rais nchini humo na kusema jambo hilo limepelekea Marekani kuaibika kimataifa.
Page 1 of 13