Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jeshi la Yemem limeingia katika ardhi ya Saudi Arabi na kushambulia vituo vya kijeshi katika mkoa wa Asir na kuwachukua mateka askari kadhaa wa ufalme huo wa Aal Saud.Televisheni ya …
Jumamosi, 19 Septemba 2015 12:39

Saudia yaendelea kutumia mabomu haramu Yemen

Kwa mara nyengine tena utawala wa ukoo wa Aal Saud wa Saudi Arabia umetumia mabomu ya vishada yaliyopigwa marufuku dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Yemen. Televisheni ya al …
Alkhamisi, 17 Septemba 2015 19:20

Jeshi la Yemen lajibu jinai na uchokozi wa Saudia

Jeshi na vikosi vya kujitolea ya wananchi wa Yemen vimejibu mashambulizi ya nchi vamizi Saudi Arabia kwa kuvurumisha makombora katika mikoa mitatu ya kusini mwa Saudia.Kikosi cha makombora cha jeshi …
Kwa akali askari watano wa Saudi Arabia na mmoja wa Imarati, wameangamizwa na askari wa Yemen kwa kushirikiana na wapiganaji wa kujitolea, katika eneo la al-Rubuah lililoko katika mpaka wa …
Mashambulizi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen yameendelea kushuhudiwa mtawalia katika maeneo tofauti ya taifa hilo. Kanali ya televisheni ya al-Masirah imeripoti kuwa, ndege za kivita za Saudia na waitifaki …
Jumamosi, 12 Septemba 2015 09:53

Wayemen waandamana kwa kuzuiwa kwenda Hija

Maelfu ya wananchi wa Yemen wameandamana katika barabara za Sana’a, mji mkuu wa nchi hiyo kuilaani Saudi Arabia kwa kuwazuia kwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija. Waandamanaji katika maandamano hayo …
Alkhamisi, 10 Septemba 2015 13:42

Mashambulizi ya Saudia yauwa watu 26 Yemen

Watu wasiopungua 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mapya ya Saudia nchini Yemen. Kanali ya habari ya al Masirah imetangaza kuwa ndege za Saudia zimeuwa watu 19 …
Jumanne, 08 Septemba 2015 14:35

Kuwait yakadhibisha kuwepo askari wake Yemen

Serikali ya Kuwait imekadhibisha habari za kushiriki askari wake katika vita vya Yemen. Katika taarifa hiyo serikali ya Kuwait imesema kuwa, habari za kushirikiana askari wake na wa Saudia katika …
Saudi Arabia imetangaza kuwapiga marufuku kwenda kuhiji Wayemeni na kwamba, haitaruhusu raia wa nchi hiyo kwenda nchini humo kwa ajili ya ibada ya Hija mwaka huu. Wizara ya Masuala ya …
Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza hali ya hatari nchini humo kufuatia kuongezeka idadi ya wahanga wa mashambulizi ya ndege za kivita za utawala vamizi wa Saudi Arabia katika maeneo …
Jeshi la Yemen limeainisha muda maalumu wa kundoka vikosi vamizi nchini humo, kufuatia kuuawa makumi ya wanajeshi wa Imarati huko katikati mwa Yemen. Jeshi la Yemen na makundi ya kujitolea …
Shirika la habari la serikali ya Bahrain limetangaa kuwa, wanajeshi watano wa nchi hiyo wameuawa wakati walipokuwa katika operesheni ya kulinda mipaka ya kusini mwa Saudi Arabia. Hata hivyo shirika …
Jumamosi, 05 Septemba 2015 08:18

Imarati yakiri askari wake 22 wameuawa Yemen

Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kuwa askari wake 22 wameuawa nchini Yemen wanakoshiriki katika mashambulizi yanayoongozwa na  Saudia Arabia dhidi ya raia wa hiyo. Shirika la habari la …
Umoja wa Mataifa umeonyesha wasiwasi wake mkubwa kutokana na kuendelea mashambulizi ya kikatili Saudia na waitifaki wake dhidi ya maeneo ya raia nchini Yemen. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya uratibu …
Miripuko miwili ya mabomu kwenye msikiti wa Kishia katika mji mkuu wa Yemen Sana'a imeuwa Waislamu wasiopungua 28 wa nchi hiyo.Wizara ya Afya ya Yemen imesema kuwa, watu wengine wengi …
Watu wasiopungua 18 wameuliwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika maeneo kadhaa ya makaazi ya raia nchini Yemen. Katika kuendeleza uchokozi na uvamizi …
Shirika moja la Haki za Binadamu limetahadharisha kuhusu uwezekano wa kufungwa hospitali kuu ya Sana'a mji mkuu wa Yemen kutokana na uhaba wa suhula na vitendea kazi katika nchi hiyo …
Duru za hospitali za nchini Yemen zilitangaza jana kuwa, hali ya kibinadamu na kiafya nchini humo na hasa katika mkoa wa Taiz, wa kusini magharibi mwa nchi hiyo ni mbaya …
Jumapili, 30 Agosti 2015 08:14

Saudia yaendeleza ukatili wake Yemen

Saudi Arabia imeendeleza ukatili wake dhidi ya watu wa Yemen kwa kudondosha mabomu katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.Katika tukio la hivi karibuni, jana usiku ndege za …
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa zaidi ya watoto 400 wamepoteza maisha kutokana na mapigano nchini Yemen. Ikiinukuu kamati ya uratibu wa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, ofisi ya …