Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mashambulio ya madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia yanaendelea katika miji tofauti ya Yemen. Televisheni ya al Masira ya Yemen imetangaza kuwa, ndege za kivita za uko wa Aal Saud …
Gazeti la Independent linalochapisha nchini Uingereza limeandika kuwa faili la haki za binadamu la Saudi Arabia ni miongoni mwa mafaili meusi zaidi duniani katika suala la ukiukaji wa haki za …
Jumatano, 14 Oktoba 2015 14:06

‘Yemen haitatoa muhanga uhuru wake’

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema watu wa nchi yake watailinda ardhi yao na kwamba hawatatoa muhanga 'heshima' na 'uhuru' mbele ya hujuma zisizo na kikomo za Saudi …
Jeshi la Yemen likishirikiana na kamati za wananchi za harakati ya Ansarullah, limefanikiwa kuangamiza meli ya pili ya kivita baada ya kuishambulia meli hiyo kwa kombora la ardhi kwa bahari.Meli …
Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema makundi ya kigaidi ya Daesh na Al-Qaeda pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel yanaisaidia Saudi Arabia katika mashambulio na jinai …
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa wazi kuhusiana na shambulio la anga la Saudi Arabia dhidi ya sherehe ya harusi huko nchini Yemen. Umoja …
Alkhamisi, 08 Oktoba 2015 08:42

Iran yataka mzingiro wa Yemen uondolewe haraka

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayehusika na masuala ya Afrika na nchi za Kiarabu wa Iran amesema kuwa pana haja ya kusitishwa mara moja mzingiro dhidi ya wananchi wasio …
Watu zaidi ya 114,000 wameikimbia nchi ya Kiarabu ya Yemen kutokana na vita na idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka hadi watu laki mbili ifikapo mwishoni mwa mwaka kesho. Mapigano yalishika kasi …
Duru za kuaminika kutoka Aden, Yemen zimearifu kushambuliwa hoteli ya al-Qasr ambayo anaishi ndani yake Khaled Bahah, Waziri Mkuu wa Yemen anayeungwa mkono na Saudi Arabia, mapema leo asubuhi. Kwa …
Watoto wapatao 505 wameuawa nchini Yemen kufuatia hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika ulimwengu wa Kiarabu. Kwa mujibu wa taarifa ya …
Jumatano, 30 Septemba 2015 09:34

Ndege za Saudia zaua raia 135 harusini Yemen

Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa ndege za kivita za Saudi Arabia zimeua watu 135 waliokuwa katika sherehe za harusi nchini Yemen. Duru nchini Yemen zinasema wanawake 70 waliuawa katika tukio …
Jeshi la Saudi Arabia limethibitisha kuwa, kamanda wake mmoja ameuawa katika mpaka nchi hiyo na Yemen huko Saudia.Jeshi la Saudia limetangaza leo kuwa, Brigedia Jenerali Ibrahim Hamzi, naibu kamanda wa …
Jumamosi, 26 Septemba 2015 20:13

Askari 13 wa Aal Saud waangamizwa nchini Yemen

Vikosi vya Yemen vimewauwa wanajeshi vamizi 13 wa Saudi Arabia na kutungua helikopta ya kijeshi ya nchi hiyo huko kusini magharibi mwa Saudia. Matukio hayo yamejiri leo katika mkoa wa …
Ayatullah Muhammad Taqiy Mudarresi, mwanazuoni mashuhuri nchini Iraq amesema, badala ya Hija, viongozi wa Saudi Arabia wameshughulishwa na kuua raia wa Yemen. Ayatullah Mudarresi amesema usimamizi mbovu wa utawala wa …
Alkhamisi, 24 Septemba 2015 15:57

Mlipuko wa bomu waua 25 katika msikiti Yemen

Habari kutoka mji mkuu wa Yemen, Sana’a zinasema kuwa Waislamu 25 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti wakati wa …
Jumatano, 23 Septemba 2015 13:37

Wasiwasi wa UN wa mashambulio ya Saudia Yemen

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi mkubwa ulionao umoja huo kuhusiana na kushadidi mashambulio ya nchi kavu na ya anga ya utawala wa Saudia huko Yemen. Ban Ki-moon …
Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa mjini Sana'a kulalamikia mashambulizi ya kinyama ya Saudia dhidi ya nchi yao. Maandamano hayo makubwa yamefanyika baada ya kiongozi wa harakati ya Ansarullah, Sayyid …
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameashiria hatua ya Saudi Arabia  ya kuwazuia mahujaji kutoka Yemen kushiriki katika ibada ya Hija na kusema, ‘Makka si milki ya Aal Saudi …
Utawala ghasibu wa Israel unaupatia Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) msaada wa kilojistiki na kisuhua katika mashambulizi yake ya kijeshi huko Yemen. Ndege moja ya kivita ya Israel hivi …
Jumapili, 20 Septemba 2015 14:41

Mashambulio ya Saudia yameua Wayemeni 6,000

Jumuiya isiyo ya kiserikali ya Muungano wa Kiraia wa Yemen imetangaza kuwa Saudi Arabia imewaua Wayemeni zaidi ya 6,000 katika miezi sita ya mashambulio yake dhidi ya nchi hiyo ambayo …