Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 14 Novemba 2015 13:14

Saudia yaendelea kuua raia nchini Yemen

Saudi Arabia imeendelea kuua raia wasio na hatia Yemen huku ikipuuza miito ya kusitisha hujuma zake za kinyama dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu. Duru zinaarifu kuwa, kwa uchache …
Saudi Arabia imedhoofika na kutumbukia katika kinamasi miezi minane baada ya kuanzisha vita dhidi ya Yemen. Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na gazeti la Washington Post Ijumaa hii, utawala wa …
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limelaani kuendelea mashambulio ya Saudi Arabia dhidi ya hospitali na vituo vya afya huko nchini Yemen. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, …
Jumatano, 11 Novemba 2015 11:33

Saudia yashambulia shehena za WFP nchini Yemen

Ndege za Saudi Arabia zimeendelea na jinai zake dhidi ya wananchi wa Yemen kwa kushambulia shehena za chakula za shirika la kimataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP.Shirika rasmi la …
Kundi jipya la askari wa Sudan linaripotiwa kuingia nchini Yemen ili kushirikiana na jeshi vamizi la Saudia kwa minajili ya kutekeleza jinai zaidi nchini humo. Chanzo kimoja cha jeshi la …
Jumatatu, 09 Novemba 2015 13:05

Maulama Yemen wasisitiza kupambana na Saudia

Maulama wa Yemen wamesema kuwa kuendeshwa mapambano dhidi ya wachokozi na vibaraka wa Saudi Arabia nchini humo ni wajibu wa kisheria. Kwa mujibu wa kanali ya habari ya al-Aalam, wanazuoni …
Alkhamisi, 05 Novemba 2015 19:13

Jeshi la Yemen latungua ndege ya Saudi Arabia

Habari kutoka Yemen zinasema kuwa ndege ya kivita ya Saudi Arabia imetunguliwa na jeshi la Yemen katika mkoa wa Sana’a. Duru za habari zimeripoti kuwa, ndege hiyo ya Saudia imetunguliwa …
Jumatano, 04 Novemba 2015 20:51

Jeshi la Yemen laua wanajeshi wa Saudi Arabia

Wapiganaji wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen na waitifaki wao wameua makumi ya wanajeshi wa Saudi Arabia katika mashambulizi ya kulipiza kisasi katika mkoa wa Ta'izz kusini magharibi mwa Yemen. …
Jumatano, 04 Novemba 2015 08:46

Kimbunga Chapala chaikumba nchi ya Yemen

Nchi ya Yemen ambayo inakabiliwa na maafa makubwa kutokana na hujuma ya kinyama ya Saudia kwa muda wa miezi minane sasa imekumbwa na kimbunga kikali kijulikanacho kama Chapala na kuifanya …
Jumatatu, 02 Novemba 2015 13:42

Wayemen kuendeleza muqawama dhidi ya wavamizi

Mkuu wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Yemen amesisitiza juu ya kuendelezwa muqawama wa wananchi wa Yemen mbele ya nchi vamizi. Abdulrahman Mukhtar amesema kuwa, Saudia haijafanikiwa tangu ianzishe uvamizi …
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamesema vikosi vya utawala wa Saudi Arabia vinatumia silaha zilizopigwa marufuku, katika hujuma zake nchini Yemen. Hashim Sharaf al-Din, mmoja wa wanaharakati hao amesema …
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka, MSF, limeutaka utawala wa Saudi Arabia utoe maelezo ya kukinaisha kuhusu ni kwa nini ulishambulia kwa mabomu hospitali ya shirika hilo hivi karibuni nchini …
Alkhamisi, 29 Oktoba 2015 14:04

Wayemen washambulia kambi za kijeshi za Saudia

Kikosi cha mizinga cha wanajeshi kwa kushirikiana na harakati za wananchi nchini Yemen, kimeshambulia kambi kadhaa za jeshi la Saudia katika maeneo ya mpakani ya Jizan na Najran ya Saudia. …
Jumapili, 25 Oktoba 2015 13:11

'Kuna njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu'

Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema watawala madhalimu wanapanga njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu kwa kuuweka mbali na thamani za misingi ya haki. Sayyid Abdulmalik Badruddin, …
Jumapili, 25 Oktoba 2015 08:39

UN yaonya kuhusu maafa ya kibinadamu Yemen

Katika kukaribia kumalizika mwezi wa saba tangu muungano wa Kiarabu chini ya uongozi wa Saudi Arabia uanzishe uvamizi wa kijeshi huko Yemen, Umoja wa Mataifa umesema kuwa hali waliyonayo wananchi …
Alkhamisi, 22 Oktoba 2015 09:05

Wanajeshi 50 wa Saudia wauawa nchini Yemen

Wanajeshi wa Yemen wamewaangamiza askari 50 vamizi wa Saudia Arabia ambao walikuwa wameweka kambi yao katika mkoa wa Ma’rib. Kwa mujibu wa taarifa kutoka mkoa huo wa kati mwa Yemen, …
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeelezea wasi wasi wake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Yemen na kusema kuwa watoto ndio wahanga wakuu wa hujuma za vikosi …
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu ya vishada katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen. Hii ni katika hali ambayo mabomu hayo yamepigwa marufuku kimataifa. Vyombo vya habari …
Ndege za kivita za Saudi Arabia leo zimeishambulia nyumba ya Spika wa bunge la Yemen Yahya al Raei na kuua mwanawe mmoja wa kiume na kuwajeruhi ndugu wengine kadhaa wa …
Alkhamisi, 15 Oktoba 2015 19:38

UN yalenga kukomesha hujuma za Saudia Yemen

Umoja wa Mataifa umesema unafanya mazungumzo ya kusimamisha hujuma na mashambulizi ya kijeshi yanayofanywa na vikosi vamizi vya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen. Katika kikao na waandishi wa habari …