Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Watu wote tisa wa familia moja wameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi vamizi la Saudi Arabia dhidi ya jengo moja la makazi ya raia katika mkoa wa Hajjah …
Askari 11 wa majeshi vamizi ya Saudi Arabia wameuliwa katika shambulio la mizinga lililofanywa na jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi katika kituo kimoja cha askari hao …
Jeshi la Yemen limefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya Saudi Arabia katika mkoa wa Ta'izz, kusini magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
Ijumaa, 25 Disemba 2015 11:19

Marekani inaitumia Saudia kuitawala Yemen

Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani inaitumia Saudi Arabia katika njama zake za kutaka kuitawala na kuikoloni Yemen
Abdul Malik al Houthi kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa utawala wa Israel, Marekani na baadhi ya waitifaki wao zinataka kuufanya mtumwa Umma wa Kiislamu.
Uchambuzi wa Kisiasa Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen umetajwa kuwa unahusika moja kwa moja na mauaji ya raia wa nchi hiyo.
Saudi Arabia imeyashambulia maeneo kadhaa ya Yemen na kukiuka usitishaji vita uliotangazwa na Umoja wa Mataifa. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) vikosi …
Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema mpango wa kusitisha vita nchini humo unafaa kuanza kutekelezwa Jumatatu ijayo. Msemaji wa harakati hiyo Muhammad Abdul Salaam amesema kwa mujibu wa makubaliano yaliyoafikiwa …
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuwalenga kwa makusudi watoto kupitia udondoshaji mabomu kiholela katika vita vyake dhidi ya Yemen.
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen, Ismail Ould Cheikh amekutana na makundi mbalimbali yanayohusika kwenye mgogoro na kukubaliana kuhusu kufanyika mkutano wa pili mjini Geneva, Uswisi …
Jumamosi, 05 Disemba 2015 07:13

Mamluki wa Saudia wauawa Yemen

Nchini Yemen idadi kubwa ya mamluki, wakiwemo makamanda wa ngazi za juu, ambao walikuwa wakipigana kwa niaba ya Saudi Arabia wameuawa katika mashambulio ya kulipiza kisasi ya vikosi vya Yemen …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Adel al-Jubeiri ametangaza kwamba mashambulizi ya anga yanayoendeshwa na nchi yake na waitifaki wa Kiarabu na Kizayuni dhidi ya Yemen eti yamefikia …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Adel al-Jubeiri ametangaza kwamba mashambulizi ya anga yanayoendeshwa na nchi yake na waitifaki wa Kiarabu na Kizayuni dhidi ya Yemen eti yamefikia …
Jumatatu, 30 Novemba 2015 07:01

16 wauawa kwenye mashambulizi ya Saudia Yemen

Kwa akali watu 16 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mapya ya jeshi la Saudi Arabia nchini Yemen. Kwa mujibu wa kanali ya televisheni ya Kiarabu ya al-Masirah …
Jumamosi, 28 Novemba 2015 13:17

Uingereza kushtakiwa kwa mauaji ya raia Yemen

Serikali ya Uingereza iko katika hatari ya kushtakiwa kwa kuiuzia Saudi Arabia makombora yaliyotumika kuwashambulia raia wasio na hatia nchini Yemen. Washauri wa Waziri wa Mambo ya Nje ya Uingereza, …
Jumamosi, 28 Novemba 2015 08:39

HRW yaitaka Saudia kuacha kuua raia wa Yemen

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka Saudi Arabia kusitisha mashambulizi dhidi ya raia wa Yemen na kusema utawala wa Riyadh na washirika wake wa Magharibi …
Ndege utawala wa kifalme wa Aal Saud wa Saudi Arabia zimeendelea kufanya mauaji katika mkoa wa al Hudaidah na kuua raia wanane wa Yemen na kuwajeruhi wengine 11. Ndege za …
Jumapili, 22 Novemba 2015 19:24

Mapigano makali yaendelea kusini mwa Yemen

Jeshi la Yemen limeendelea kupambana na mamluki wa Saudi Arabia na kuangamiza idadi kubwa ya mamluki hao katika maeneo tofauti ya mkoa wa Taiz wa kusini magharibi mwa Yemen.Televisheni ya …
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto zaidi ya laki 5 nchini Yemen wanakabiliwa na hatari ya kupoteza maisha kutokana na utapia mlo. Mkuu wa mfuko huo …
Rais mstaafu na mtoro wa Yemen ambaye amekimbilia nchini Saudi Arabia amechukua hatua ya kichochezi kwa kufanya safari katika mji wa kusini mwa Yemen, Aden. Abdurabbuh Mansur Hadi amewasili katika …