Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetoa nyaraka zinazoonyesha kuwa Saudi Arabia inatumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada katika mashambulio yake dhidi ya Yemen na …
Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema kuwa, kuna ushahidi wa kutosha unaoonesha kuwa Saudi Arabia inaendelea kutumia mabomu yaliyopigwa marufuku kama vile ya vishada nchini …
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeendeleza mashambulizi yake ya kikatili katika maeneo mbalimbali ya Yemen ikiwa ni pamoja na kulenga mahospitali ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha.Duru za habari zinasema, …
Wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wakisaidiwa na vikosi waitifaki vya jeshi la Yemen wamesonga mbele na kudhibiti maeneo zaidi ya mji muhimu wa kusini mwa nchi hiyo wa Aden.  Kwa …
Watu wasiopungua 96 wameuawa na zaidi ya 270 wengine wamejeruhiwa katika mashambulio ya karibuni kabisa ya Saudia nchini Yemen.Televisheni ya al Mayadeen imeripoti kuwa, mashambulizi ya ndege za Saudia yameua …
Ndege za kivita za Saudi Arabia leo zimeendeleza hujuma nchini Yemen ambapo watu zaidi ya 80 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa. Televisheni ya Al Mayadeen imeripoti kuwa ndege za kivita …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesema kuwa, makundi ya kigaidi ndio yanayonufaika zaidi na mashambulizi ya Saudia nchini Yemen. Lavrov ameyasema hayo jana Jumatatu katika kikao …
 Duru za kidiplomasia zinasema kuwa mkutano uliokuwa umeitishwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Yemen sasa umeakhirishwa kwa muda usiojulikana. Mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika …
Saudi Arabia imewaua watoto zaidi ya 135 katika hujuma yake ya miezi miwili mfululizo nchini Yemen. Kwa mujibu wa  taarifa ya Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Watoto UNICEF, watoto …
Saudi Arabia leo imelazimika kutangaza hali ya hatari katika ukanda wa mpaka wake wa kusini na Yemen baada ya kuongezeka mashambulizi ya makombora ya wanamapambano wa Yemen dhidi ya Saudia.Televisheni …
Utawala haramu wa Israel umeipatia Saudi Arabia msaada mkubwa wa kijeshi ili kufanikisha vita vyake dhidi ya watu wa Yemen. Ripoti zinasema kuwa Israel imeafiki kuipatia Saudi Arabia mfumo wa …
Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya wananchi limefanikiwa kukiteka na kukidhibiti kituo cha kijeshi cha majeshi vamizi ya Saudi Arabia katika eneo la al-Me'zab lililoko kusini magharibi wa Saudia. …
Kwa akali watu 20 wamefariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika msikiti wa Kishia mjini Qatif, mashariki mwa Saudi Arabia. Mlipuko huo ambao ni …
Askari 17 wa Saud Arabia, wameangamizwa na wapiganaji wa kujitolea wa Yemen katika mpaka wa nchi mbili. Katika mwendelezo wa kulipiza kisasi mashambulizi ya kichokozi ya Saudia na waitifaki wake …
Uhusiano wa Saudia na Morocco umeingia doa kufuatia serikali ya Saudia kuchelewesha kukabidhi mwili wa rubani Morocco aliyeuawa nchini Yemen kwa serikali ya Rabat. Kwa mujibu wa habari za kuaminika, …
Wapiganaji wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen wamechukua udhibiti wa milima ya At-Tuwal katika eneo la Jizani kusini magharibi mwa Saudi Arabia. Kwa mujibu wa Televisheni ya al-Masirah nchini Yemen, …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia misaada ya dharura na kibinadamu Bi. Valerie …
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen, Abdul-Malik Badreddin al-Houthi, amesema kuwa mashambulizi na jinai za Saudia dhidi ya Yemen, hazina uhalali wowote na kwamba zimeweka wazi hatari …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov ametaka kukomeshwa kikamilifu mashambulizi ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen haraka iwezekanavyo. Lavrov ameyasema hayo alipokutana na Katibu Mkuu wa …
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa inaunga mkono mazungumzo baina ya Wayemen kwa lengo la kutayarisha mazingira ya kuunda serikali ya pande zote nchini Yemen. Msemaji wa Wizara ya …