Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa huko Yemen ametoa wito wa kusitishwa vita nchini humo kabla ya mazungumzo ya aina yoyote kati ya pande mbalimbali. Ismail Ould Sheikh Ahmad amesema …
Rais wa zamani wa Yemen, Ali Abdullah Saleh amesema kuwa, kuna udharura wa kuiunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Answarullah dhidi ya uchokozi wa Saudia. Duru moja ya karibu na …
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah nchini Yemen amesema Saudi Arabia imeanzisha hujuma mpya ya kushambulia na kuharibu misikiti katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Dhaifullah al-Shami amesema …
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ametaka kusimamishwa vita nchini humo katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza kikaoni mjini Geneva Uswisi hapo jana, Ismail Ould …
Ndege za kivita za Saudi Arabia zinaendeleza hujuma dhidi ya raia wa Yemen huku mazungumzo ya kusaka amani nchini humo yakifanyika  Geneva Uswisi. Imearifiwa kuwa tokea 11 hadi 15 Juni …
Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuwa Saudi Arabia imetumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa dhidi ya wananchi wa Yemen katika mashambulio yake ya kijeshi katika nchi hiyo ya Kiarabu. Tamim …
Jumamosi, 13 Juni 2015 12:58

MSF yatahadharisha kuhusu maafa ya Yemen

Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mpaka (MSF) imetahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu ya watu wa Yemen na kulaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu maafa yanayolisibu taifa hilo.Ripoti iliyotolewa …
Uvamizi na mashambulizi ya kinyama ya Saudi Arabia na waitifaki wake dhidi ya Yemen yameendelea ambapo takriban watu 12 wameuawa na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa leo Ijumaa. Habari zinasema …
Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na Harakati ya Kiislamu ya Answarullah, limeshambulia kambi nyingine ya jeshi la Saudia ya al-Amud katika mji wa Najran kusini magharibi mwa Saudia. Katika shambulizo …
Makumi ya watu wameuawa katika mwendelezo wa mashambulizi ya kichokozi ya Saudi Arabia na waitifaki wake nchini Yemen. Jana ndege za Saudia zilitekeleza hujuma tofauti katika maeneo ya mkoa wa …
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa onyo kali kuhusu hatua ya ndege za kivita za Saudia kuulenga ubalozi wa Iran katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a. Katika barua kwa Baraza …
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu zaidi ya vishaada katika hujuma mpya dhidi ya maeneo ya mpakani nchini Yemen mkoani Sa'ada. Katika mashambulio ya jioni ya jana Jumatatu, …
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kitendo cha Saudia cha kuivamia na kuishambulia nchi ya Kiarabu na Kiislamu ya Yemen ni kosa kubwa la …
Zaidi ya watu milioni moja wamelazimika kuhama makwao katika majimbo yote ya Yemen kati ya Machi, tarehe 26 na mwisho wa mwezi Mei. Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa …
Mtandao mmoja wa habari wa Umoja wa Falme za Kiarabu umemwita rais wa zamani wa Yemen aliyejizulu na kukimbilia Saudia, kuwa ni msaliti. Mtandao huo wa Akhbaru ‘s-Sa’a wa nchini …
Saudi Arabia imeendeleza jinai zake za kivita nchini Yemen huku makumi ya raia wasio na hatia wakiuawa katika hujuma za leo. Kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Yemen, …
Baadhi ya mashirika ya ndege yameanza kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a, mji mkuu wa Yemen kufanya safari zao za anga.Shirika la habari la Reuters limemnukuu Muhammad Abdul …
Watu wasiopungua 42 wakiwemo watoto nane wameuawa kufuatia hujuma ya ndege za kivita za Saudi Arabia katika mkoa wa Sa'ada' kaskazini mashariki mwa Yemen. Ripoti zinasema katika hujuma hiyo ya …
Ndege za kivita za Saudi Arabia, zimeendeleza mashambulizi yake ya anga kwa kuyalenga maeneo tofauti ya Yemen. Katika mashambulizi hayo, maeneo ya ofisi za waandishi wa habari, mkoani Sada, kaskazini …
Vyombo vya habari vya Yemen ikiwemo televisheni ya al Masiirah vimesambaza mkanda wa video unaoonesha namna jeshi la Yemen lilivyokuwa linashambulia kwa makombora kambi moja ya kijeshi ya Saudia katika …