Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Wapiganaji wa Yemen wameharibu kifaru cha jeshi la utawala vamizi wa Saudi Arabia katika hujuma ya kulipiza kisasi. Duru zinaarifu kuwa wapiganaji wa Yemen wamevurumisha makombora katika kituo kimoja cha …
Makundi mbalimbali ya kisiasa ya Yemen yameitaka jamii ya kimataifa kutekeleza majuku yake kuhusu hali inayoendelea nchini humo.Makundi ya kisiasa ya Yemen yanayoshiriki katika mazungumzo ya Geneva yametoa taarifa leo …
Wananchi 32 wa Yemen wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika siku ya mia moja ya mashambulio ya kikatili ya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.Ndege za kijeshi …
Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya  Iran  amesema kuwa mashambulizi ya miezi mitatu iliyopita ya Saudi Arabia huko Yemen hayajakuwa na matunda yoyote kwa nchi hiyo. …
Ijumaa, 03 Julai 2015 09:53

Hali mbaya za wagonjwa wa saratani Yemen

Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuhusu hali mbaya inayowakabili wagonjwa wa saratani nchini humo.Wizara ya Afya ya Yemen leo imetangaza kuwa kituo cha afya kinachowahudumia wagonjwa wa saratani huko …
Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limelaani jinai zinazoendelea kufanywa na Saudi Arabia za kuua raia wasio na hatia huko Yemen na kutaka uchunguzi ufanyike na kufidiwa …
Kwa mara ya kwanza jeshi la Yemen limeishambulia kambi ya kijeshi ya mji wa Riyadh kwa kombora la masafa marefu aina ya scud. Kwa mujibu wa mashuhuda, kambi ya al-Salil …
Mkuu wa taasisi ya haki za binaadamu nchini Yemen, ameukosoa Umoja wa Mataifa na taasisi za kimataifa kwa kushindwa kuchukua hatua za maana kwa lengo la kusimamisha jinai za Saudia …
Raia wasiopungua 15 wakiwemo wanawake na watoto wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati ndege za kivita za Saudi Arabia zilipofanya duru mpya ya mashambulizi katika maeneo mbalimbali ya Yemen, hii …
Raia wengine 10 wa Yemen wameuawa katika mashambulio mapya ya anga ya Saudi Arabia huku hali ya kibinadamu ikizidi kuwa mbaya hasa katika kipindi hiki cha funga ya mwezi mtukufu …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa taarifa na kuitaka Saudi Arabia kuondoa mzingiro wake dhidi ya Yemen na kuruhusu meli yote yenye misaada ya vyakula, dawa na mafuta …
Jeshi la Saudi Arabia limetangaza kuwa wanajeshi wake watatu na mwanajeshi mmoja wa Umoja wa Falme za Kiarabu wameuawa katika mashambulio ya roketi yaliyofanywa na jeshi la Yemen na vikosi …
Rubani mmoja wa ndege za kivita za Saudi Arabia amejiua baada ya kuona picha za watoto wa Yemeni waliopoteza maisha katika oparesheni za kinyama za hujuma za angani aliyohusika nazo. …
Wanawake nchini Yemen wamefanya maandamano katika kulalamikia jinai za Saudi Arabia nchini mwao. Maandamano hayo yaliyofanyika mjini Sana’a mji mkuu wa nchi hiyo yameitishwa na wanawake hao ambao wameitaka jamii …
Jumatano, 24 Juni 2015 10:07

WHO: Homa ya dengue imeongezeka Yemen

Shirika la Afya Dunia (WHO) limetahadharusha kuwa kesi za maambukizi ya homa ya dengue zimeongezeka nchini Yemen tangu Saudi Arabia ianze kuishambulia nchi hiyo mwezi Machi mwaka huu. Taarifa iliyotolewa …
Jumatatu, 22 Juni 2015 13:40

Wayemen wavurumisha makombora Saudia

Huku ndege za kivita za Saudi Arabia zikiendeleza hujuma zake katika maeneo mbali mbali ya Yemen, majeshi ya nchi hiyo yamevurumisha makombora na kulenga ngome za askari wa Saudia katika …
Viongozi wa Uingereza wamekiri rasmi kuwa nchi hiyo inaunga mkono mashambulizi ya Saudi Arabia huko Yemen. Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imethibitisha kuwa serikali ya London inaiunga mkono kiufundi Saudi …
Jeshi la Yemen likisaidiwa na vikosi vya kujitolea vya wananchi limefanikiwa kuteka kambi kadhaa za jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa Jizan, huku Riyadh ikiendelea kushambulia maeneo ya raia …
Ndege vamizi za kivita za utawala wa Saudi Arabia zimedondosha mabaomu na kuwaua makumi ya vibaraka wa utawala huo katika mkoa wa Lahij nchini Yemen. Shirika la Habari la Al …
Mkuu wa ujumbe wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen katika mazungumzo ya amani ya Geneva ameitaja Saudi Arabia kuwa ndio iliyosababisha kushindwa mazungumzo hayo. Hamza al Houthi alisema …