Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Zaidi ya watu 120 wameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa, kufuatia ndege za Saudia na waitifaki wake kushambulia makazi ya raia katika eneo la al-Makhau katika mkoa wa Taiz, kusini …
Idadi ya raia wa Yemen waliouawa katika mashambulizi yaliyofanywa jana na ndege za kivita za Saudi Arabia imepanda na kufikia watu 120. Watu walioshuhudia wanasema kuwa, ndege za kivita za …
Makumi ya maelfu ya wananchi wa Yemen wameandamana katika barabara na mitaa ya mji mkuu San’aa na kulaani mashambulio ya kinyama ya jeshi la Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo. …
 Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen, amesema kuwa juhudi za Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuhitimisha vita nchini humo, zimefeli. Muhammad Ali al-Houthi, ameyasema hayo alipokutana na …
Jumatano, 22 Julai 2015 14:12

Vijana Yemen waungana kupambana na magaidi

Maelfu ya vijana wa Yemen wamejiunga na harakati ya wananchi ya Answarullah ili kupambana na makundi ya kigaidi ya al Qaida na Daesh nchini mwao. Mtandao wa habari wa Yemen …
Wanajeshi wa Yemeni wakishirikiana na wapiganaji wa kamati za wananchi wameshambulia na kuharibu gari la jeshi vamizi la Saudi Arabia katika mji wa bandarini wa Aden. Kwa mujibu wa televisheni …
Makumi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudi Arabia wameuawa katika mapigano makali na vikosi vya jeshi la Yemen katika mkoa wa kisini magharibi wa Lahij, Jumapili hii. Magaidi hao wanaoungwa …
Jumapili, 19 Julai 2015 12:33

Kuendelea hujuma ya Saudia nchini Yemen

Katika kuendeleza hujuma zake za mauaji dhidi ya watu wasio na hatia wa Yemen, ndege za kivita za Saudia leo zimefanya mashambulio mengine makali nchini humo na kuua zaidi ya …
Mashambulizi ya ndege za kivita za Saudi Arabia yameendelea kuua raia wengi wa Yemen wasio na hatia, licha ya Riyadh kutakiwa kuhitimisha hujuma zake hizo za kijeshi katika nchi hiyo …
Mashirika ya kibinadamu nchini Yemen yametoa wito wa ufadhili na kuwezeshwa kuwafikia wahitaji kwa dharura. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Kuratibu masuala ya Kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, …
Kwa uchache raia 19 wa Yemen wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulio mapya ya anga ya Saudia katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Ripoti kutoka nchini Yemen zinasema …
Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeendelea kufanya mashambulio ya anga dhidi ya ardhi ya Yemen huku kukiwa na taarifa kwamba, hali ya kibinadamu katika nchi hiyo imezidi kuwa mbaya. …
Umoja wa Mataifa umeelezea kusikitishwa kwake na kuendelea mashambulizi ya anga ya Saudi Arabia na waitifaki wake wa Kiarabu dhidi ya Yemen licha ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita wiki …
Mkuu wa baraza la kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa utawala wa Saudi Arabia unatumia vibaya usitishaji vita wa kibinadamu uliofikiwa huko Yemen kwa kuwatumia vibaraka wake …
Mjumbe wa harakati ya wananchi ya Answarullah nchini Yemen, ameituhumu Saudia kwa kutumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa dhidi ya raia wa nchi hiyo. Ahmad Hashim aliyasema hayo jana Jumapili alipokuwa …
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen, Sayyid Abdul-Malik al-Huthi, amewataka Wayemen kwa ujumla kujiandaa kwa chaguo kubwa la kistratijia, ikiwa mashambulizi ya kichokozi yanayofanywa na Saudia na …
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani kuendelea mashambulizi ya kinyama na kikatili ya Saudi Arabia na waitifaki wake wa Mashariki ya Kati dhidi ya taifa la Yemen na kusema hujuma …
Zaidi ya wanajeshi 40 wa Yemen wameuawa kufuatia shambulio la anga la Saudi Arabia dhidi ya kituo kimoja cha jeshi katika mji wa Hadhramaut katikati mwa nchi hiyo.  Aidha vyombo …
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia hopistali inayomilikiwa na Ujerumani huko katika mkoa wa Hajjah kaskazini magharibi mwa Yemen. Kanali ya habari ya al Masirah imetangaza leo kuwa watu …
Raia wa Yemen wamefanya maandamano kulalamikia kimya cha Umoja wa Mataifa mbele ya jinai zinazofanywa na Saudia nchini mwao. Waandamanaji waliokuwa wamebea maberamu ya kulaani kimya cha umoja huo kuhusiana …