Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimetekeleza hujuma mpya katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen ambapo raia wasiopungua watano wameuawa. Mauaji hayo yametokea katika mji wa Razeh leo Ijumaa. …
Mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen yamezidisha wasiwasi wa jamii ya kimataifa na kulaaniwa katika pembe mbalimbali za dunia. Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba, una …
Jeshi la Yemen limewataka raia wa Saudi Arabia wanaoishi katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo kuondoka karibu na kambi za kijeshi na viwanja vya ndege. Msemaji rasmi wa jeshi …
Saudi Arabia imepata pigo jingine katika hujuma yake ya kijeshi dhidi ya Yemen baada ya wanajeshi na wapiganaji watiifu kwa Harakati ya Ansarullah kuingia ndani ya ardhi ya Saudia na …
Baraza la kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen limesisitiza kuwa Saudi Arabia na waitifaki wake ndio mas-ul wa jinai zilizofanywa na magaidi wa kitakfiri katika mkoa wa Taizz nchini …
Jumatano, 19 Agosti 2015 15:19

UNICEF: Watoto 400 wameuawa hadi sasa Yemen

Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, karibu watoto 400 wameuawa nchini Yemen tangu Saudi Arabia na washirika wake waanzishe hujuma na mashambulio dhidi ya nchi hiyo …
Jumanne, 18 Agosti 2015 14:54

Saudia yashambulia maghala ya chakula Yemen

Ndege za kivita za jeshi vamizi la Saudi Arabia zimeyashambulia maghala kadhaa ya bidhaa za chakula huko magharibi mwa Yemen ikiwa ni katika kuendeleza mashinikizo dhidi ya raia wasio na …
Saudi Arabia imeendeleza hujuma yake ya kikatili kote Yemen huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa kusitishwa vita katika nchi hiyo ya Kiarabu. Ndege za kivita za Saudia zilitekeleza hujuma …
Watu wasiopungua saba wakiwemo wanawake wawili na mtoto mmoja, wameuawa katika mashambulizi ya Saudi Arabia katika mkoa wa Sa’ada. Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeishambulia mara nne wilaya ya …
Jumatano, 12 Agosti 2015 08:19

ICRC: Hali ya kibinadamu Yemen ni mbaya

 Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, hali ya kibinadamu nchini Yemen ni na ya kusikitisha mno kutokana na mashambulio ya anga ya Saudi Arabia na washirika wake. Peter …
Jumapili, 09 Agosti 2015 20:20

Kamati ya Msalaba Mwekundu kuisaidia Yemen

Mkuu wa Kamati ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imeahidi kufanya juhudi za kidiplomasia na kibinadamu katika ngazi ya kimataifa ili kusaidia suala la …
Jumapili, 09 Agosti 2015 07:57

Ansarullah waua wanamgambo 70 Yemen

Wanamgambo wasiopungua 70 wanaoungwa mkono na Saudi Arabia wameua katika shambulizi lililofanywa na jeshi la Yemen likisaidiwa na makundi ya wananchi dhidi ya maficho yao katika mkoa wa kusini wa …
Jumamosi, 08 Agosti 2015 12:46

UN: Kuna uharibifu mkubwa nchiniYemen

Huku Saudi Arabia ikiendeleza hujuma zake za kikatili nchini Yemen, mratibu Umoja wa Mataifa wa maswala ya kibinadamu kwa ajili ya Yemen, Johannes Van Der Klaauw ameshuhudia uharibifu mkubwa wa …
Wapiganaji wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen wakishirikiana na makundi ya wananchi wamefanikiwa kuwaua magaidi 30 kusini magharibi mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa kanali ya televisheni ya Al Masirah …
Alkhamisi, 06 Agosti 2015 12:24

Jeshi la Saudia laua raia wengine 8 Yemen

Raia wengine zaidi ya tisa wa Yemen wameuawa katika hujuma mpya ya ndege za kivita za Saudia katika mkoa wa Hajja kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa televisheni …
Jumatano, 05 Agosti 2015 19:14

Jeshi la Yemen laangusha helikopta ya Saudia

Jeshi la Anga la Yemen limefanikiwa kuitungua helikopta ya kisasa aina ya Apache ya Jeshi la Saudia magharibi mwa Yemen. Vyombo vya habari vya Yemen vimeripoti kuwa jeshi la anga …
Vikosi vitiifu vya utawala wa zamani wa Yemen vimesema kuwa vinasaidiwa na vikosi vya nchi kavu kutoka Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika mapambano yao dhidi …
Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeendelea kuishambulia Yemen huku jamii ya kimataifa ikipaza sauti kuelezea wasi wasi wake mkubwa ilionao kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika nchi …
Kwa mara nyingine ndege za Saudi Arabia zimefanya mashambulizi kadhaa katika maeneo tofauti nchini Yemen, licha ya kutangazwa kuanza usitishaji vita wa siku tano asubuhi ya leo. Televisheni ya al-Masirah …
Jumapili, 26 Julai 2015 20:51

Iran yataka watawala wa Saudia washtakiwe

Mkuu wa Idara ya Vyombo vya Mahakama nchini Iran amezitaka duru na jumuiya za kisheria kimataifa kuwafungulia mashtaka viongozi wa Saudi Arabia kwa kutenda jinai za kivita nchini Yemen. Ayatullah …