Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 28 Februari 2016 05:57

Saudia yadondosha mabomu sokoni nchini Yemen

Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumamosi zilidondosha mabomu katika soko moja lenye idadi kubwa ya watu katika mkoa wa Sana'a nchini Yemen.
Jumapili, 14 Februari 2016 10:39

Mashambulio ya Saudia yaua makumi ya raia Yemen

Watu 15 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa alfajiri ya kuamkia leo na ndege za kivita za utawala wa Aal Saud katika mji wa kale …
Askari wasiopungua 20 wa Saudi Arabia wameuawa katika katika eneo la Jizan kusini magharibi mwa ufalme huo katika mapigano na wanajeshi wa Yemen.
Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesisitiza kuwa, mwaka 2016 ni mwaka wa jeshi la nchi hiyo kwani limethibitisha ushujaa, ukakamavu, nguvu na muqawama wake mbele ya adui.
Jumatatu, 01 Februari 2016 06:25

Wanajeshi wa Saudi Arabia waendelea kuangamizwa

Wanajeshi zaidi ya 200 wa Saudia wameuawa na magari na zana za kijeshi za nchi hiyo kuharibiwa vibaya katika shambulio lililofanywa na jeshi la Yemen katika kituo cha anga cha …
Jumapili, 31 Januari 2016 04:30

Saudia inawalenga raia vitani nchini Yemen

Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) amesema kuwa, wanajeshi wa Saudi Arabia wamekuwa wakiwalenga raia katika mashambulio yao huko nchini Yemen.
Jumamosi, 30 Januari 2016 05:11

Ansarullah: Wasaudi wameingiwa na kiwewe

Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kukatwa urushaji matangazo ya kanali ya televisheni ya al-Maseera katika satalaiti ya Nile Sat ni ishara ya wahka na kiwewe kilichowapata watawala …
Askari kadhaa wa Saudia wameuawa katika mashambulizi ya jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Ansarullah huko kusini mwa nchi hiyo.
Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel, Marekani na Uingereza zinaisaidia Saudi Arabia kudondosha mabaomu huko Yemen, amefichua msemaji wa jeshi la Yemen.
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni na Wakfu katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a amesema kuwa, ndege za utawala wa Aal Saud zimeilenga misikiti kadhaa katika maeneo tofauti ya nchi hiyo …
Jumatano, 20 Januari 2016 11:07

Saudia yashambulia maeneo ya mji mkuu wa Yemen

Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeishambulia miji ya Sana'a na Maarib nchini Yemen.
Shambulio la anga la ndege za Saudi Arabia limeuwa raia 10 wakiwemo wanafunzi 9 na mwanamke mmoja, kusini magharibi mwa Yemen.
Jumamosi, 16 Januari 2016 20:04

Saudi Arabia inatumia mabomu ya vishada Yemen

Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetangaza kuwa muungano wa vita dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia kwa mara nyingine tena umetumia mabomu ya vishada katika mashambulizi yake huko …
Baraza la ulinzi la kitaifa nchini Misri, limerefusha mkataba na utawala wa Aal Saudi dhidi ya Yemen, katika vita vya kivamizi vinavyoongozwa na Saudia dhidi ya nchi hiyo ya Waislamu …
Wizara ya Haki za Binadamu ya Yemen imetaka iundwe tume ya kutafuta ukweli ili kuchunguza jinai za utawala wa Aal Saud dhidi ya wananchi wa Yemen.
Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: harakati hiyo haitoshiriki kwenye mazungumzo yoyote mapya kama yale yaliyotangulia yaliyofanyika nchini Uswisi kabla ya Saudia kusimamisha jinai na mashambulio yake dhidi …
Hatua za ukandamizaji za utawala wa Aal Saud dhidi ya wakazi wa mji wa Qatif, mashariki mwa Saudi Arabia zingali zinaendelea.
Jumapili, 10 Januari 2016 19:21

Saudia yashambulia wagonjwa Yemen, yaua kadhaa

Katika kuendelea na jinai zake huko Yemen, ndege za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeishambulia hospitali moja kaskazini mwa nchi hiyo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anatiwa wasiwasi na mashambulio ya anga yanayofanywa na Saudi Arabia nchini Yemen na kutanabahisha kuwa utumiaji mabomu ya vishada unaweza ukahesabiwa kuwa ni …
Alkhamisi, 07 Januari 2016 04:33

Askari kadhaa wa Saudia waangamizwa Yemen

Askari kadhaa wa Saudia wameangamizwa baada ya kushambuliwa na harakati ya wananchi nchini Yemen, wakati askari hao vibaraka walipokuwa wakijaribu kupenya na kuingia nchini humo.
Page 1 of 19