Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 10 Julai 2015 20:15

Siku ya Quds, umuhimu wake na njama dhidi ya Palestina

Siku ya Quds, umuhimu wake na njama dhidi ya Palestina

Ijumaa ya leo ya tarehe 10 Julai, ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Waislamu na wapenda haki kote duniani wanaendelea na maandamano yao katika kona mbalimbali za dunia kuadhimisha siku hiyo muhimu ya kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina na Quds Tukufu. Ili kujadili kuhusu siku hiyo na njama za Utawala wa Kizayuni wa Israel kuibua mifarakano miongoni mwa Waislamu ili wasahau kadhia ya Palestina Mubarak Henia amewasiliana na Sheikh Abdulghani Khatibu msomi wa Kiislamu na mtaalamu wa masuala ya kisiasa. BONYEZA HAPA KUSIKILIZA MAHOJIANO au pakua hapo chini.

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)