Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 11 Julai 2015 10:01

Siku ya Quds yaadhimishwa Kenya na Tanzania

Kenya na Tanzania zilijiungana jana na mataifa mengine katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds. Waislamu jijini Nairobi waliadhimisha siku hiyo kwa kufanya maandamano ya amani baada ya Swala …
Ijumaa, 10 Julai 2015 20:37

'Mapambano, Njia Pekee ya kukomboa Quds'

Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema, mapambano ndio njia pekee ya Wapalestina kuwashinda maghasibu na kukomboa ardhi zao hasa Quds Tukufu. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami Khatibu wa Swala …
Ijumaa ya leo ya tarehe 10 Julai, ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Waislamu na wapenda haki kote duniani wanaendelea na maandamano yao katika kona mbalimbali za dunia kuadhimisha siku …
Ijumaa ya leo ya tarehe 10 Julai, ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Waislamu na wapenda haki kote duniani wanaendelea na maandamano yao katika kona mbalimbali za dunia kuadhimisha siku …
Alkhamisi, 09 Julai 2015 23:02

Siku ya Kimataifa ya Quds kuadhimishwa kesho

Mamilioni ya wapenda haki kote ulimwenguni, kesho wataadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds. Kesho inasadifiana na Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambayo ni Siku ya Kimataifa ya …
Ijumaa ya kesho ya Julai 10 inatarajiwa kuwa Ijumaa ya mwisho ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Quds ya kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mataifa ya Waislamu hususan taifa la Iran yanafikisha kwa walimwengu, kilio cha kudhulumiwa wananchi wa Palestina ambao wamefukuzwa kwenye nchi yao …
Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina amesema kuwa Siku ya Kimataifa ya Quds ni ukumbusho wa kudumu wa Imam Khomeini (MA).Akizungumza leo na shirika …
Mkuu wa Baraza la Uratibu wa Tablighi ya Kiislamu la Iran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni siku ya Uislamu. Ayatullah Ahmad Jannati ambaye pia ni Katibu wa …
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bait amewaandikia barua maulamaa na wanazuoni katika ulimwengu wa Kiislamu akiwataka kuwahamasisha Waislamu washiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa …
Alkhamisi, 18 Juni 2015 21:53

HAMAS yawataka Waislamu kuuhami mji wa Quds

Mjumbe maalum wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nchini Lebanon ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuuhami mji mtakatifu wa Quds pamoja na kuvunja mzingiro wa kidhalimu …
Katibu wa Baraza la Kiislamu na Kikristo la kuilinda Quds na matukufu ya Palestina amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umetenga mamilioni ya dola kwa madhumuni ya kuuyahudisha mji mtakatifu …
Habari kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinaeleza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha harakati mpya za kuidhibiti na kuihodhi kikamilifu Quds Tukufu. Harakati hizo ambazo zinadhihirisha hatua hatari zinazochukuliwa …