Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 28 Septemba 2015 14:02

Mahujaji wasio na utambulisho kuzikwa kwa umati

Saudi Arabia imesema kuwa itawazika kwenye makaburi ya umati mahujaji walioaga dunia katika tukio la Mina ambao imeshindakana kutambuliwa. Viongozi wa Saudia wamewaomba viongozi wa misafara mbalimbali ya Kiislamu nchini …
Serikali ya Niger imetangaza siku tatu za maombolezo kufuatia maafa ya Mina huko Saudi Arabia na kupelekea kufariki dunia mahujaji wengi wakiwemo raia wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. …
Mtandao wa habari wa Misri al Yaum umenukuu Bw. Muhammad Mukhtar Juma, Waziri wa Wakfu wa Misri ambaye pia ni mkuu wa masuala ya Hija nchini humo akisema leo kuwa, …
Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran mjumuiko wa ripoti unaonesha kuwa, utawala wa Saudi Arabia ndiye muhusika mkuu katika maafa ya Mina na kwamba, janga hilo limetokea …
Jumapili, 27 Septemba 2015 14:36

Mahujaji 155 wa Iran wamefariki dunia Mina

Naibu Mkuu wa msafara wa Hija wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa idadi ya mahujaji wa Iran waliofariki dunia katika maafa yaliyotokea Mina nchini Saudi Arabia wakati wa …
Jumapili, 27 Septemba 2015 14:34

Kiongozi: Waislamu hawatasahau maafa ya Mina

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mapema leo mwanzoni mwa darsa yake ya fiqhi kuwa Ulimwengu wa Kiislamu una maswali mengi ya kuuliza kuhusu maafa yaliyotokea Mina nchini Saudi …
Shakhsia mbalimbali kote duniani wameendelea kulaani uzembe wa serikali ya Saudi Arabia katika kushidwa kusimamia vyema ibada ya hija, suala ambalo hadi sasa limesababisha zaidi ya watu 2000 kupoteza maisha …
Mwanaharakati mashuhuri wa nchini Saudia amefichua kwamba, maafisa wa usalama wa nchi hiyo walifanya makusudi katika kuzuia maafa ya Mina. Mwanaharakati huyo ambaye anatambulika kwa jina la Mujtahid ambaye amejipatia …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran  amewatumia ujumbe Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiislamu  ambao raia wa nchi zao wamepoteza maisha  au kujeruhiwa katika tukio lililojiri …
Waislamu nchini Uganda wameungana na Waislamu kote duniani kuomboleza maafa ya Mina yaliyopelekea mamia ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa huku kukiwa na maelfu ya mahujaji wengine wakiwa …
Ijumaa, 25 Septemba 2015 20:31

Watanzania 5, Wakenya 3 wapoteza maisha Mina

Huku idadi ya mahujaji waliopoteza maisha Makka ikiripotiwa kuongezeka hadi zaidi ya 2,000 nchi za Afrika Mashariki zimetangaza idadi ya mahujaji wa nchi hizo waliopoteza maisha katika tukio hilo la …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema utawala wa ukoo wa Aal Saud ndio unaobeba dhima ya maafa ya kusikitisha ya Mina ambapo idadi kubwa ya mahujaji wamepoteza maisha. Ayatullah …
Gazeti la al Diyaar la nchini Lebanon limeandika kuwa, msafara wa mwanamfalme wa Saudia, Mohammad Bin Salman Aal Saud katika eneo la Mina, ndiyo sababu ya kutokea maafa kwa mahujaji …
Ijumaa, 25 Septemba 2015 10:48

Maafa ya Mina na usimamiaji mbaya ya Saudia

Viongozi wasio na mipango mizuri wa Saudia kwa mara nyengine tena wamesababisha maafa katika ardhi ya Wahyi na kusababisha maelfu ya mahujaji wa Baytullahil Haram kuwa wahanga wa usimamiaji mbovu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, ameutaka utawala wa Saudia kubeba dhima ya tukio chungu la maafa ya mahujaji 1500 wakiwemo mahujaji 131 …
Alkhamisi, 24 Septemba 2015 18:04

Mahujaji 717 wafa katika msongamano huko Mina

Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wasiopungua 717 wamefariki dunia na wengine 863 wamejeruhiwa katika msongamano wa mahujaji wakati wa kutekeleza ibada ya Hija huko Mina karibu na Makka. …
Page 5 of 5