Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naeem Qasim amesema kuwa utawala wa kifalme wa ukoo wa Aal Saud huko Saudi Arabia umehusika na maafa ya Mina. …
Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi ya takwimu za mwisho kuhusiana na Mahujaji wa Kiirani waliopoteza maisha yao katika maafa ya Mina …
Alkhamisi, 01 Oktoba 2015 14:01

Sheikh Naim: Wasaudia walihusika maafa ya Mina

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watawala wa Saudi Arabia ndio wahusika wa maafa ya Mina yaliyopelekea maelfu ya Mahujaji kupoteza …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Saudi Arabia inapaswa kutoa majibu kuhusiana na maafa ya Mina na kwamba, hilo ni jambo la dharura. Rais Hassan Rouhani amesema …
Kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Nigeria amesema kuwa, maafa ya Mina yanaonesha uzembe wa watawala wa Saudi Arabia kuhusiana na roho za watu. Sheikh Ibrahim Zakzaky amebainisha kuwa, muamala …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hatua yoyote ile - hata ndogo kiasi gani - ya kuwavunjia heshima mahujaji wa Iran na kutotekelezwa majukumu yanayotakiwa kuhusiana na maafa …
Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vyombo vya habari vya Saudi Arabia vinafanya njama ya kuficha ukweli kuhusu uhalisia wa mambo kuhusiana na …
Khatibu wa msikiti wa Jamia wa Safir katika mji wa Quetta Pakistan amesema kuwa, watawala wa Saudi Arabia wanapaswa kutoa majibu kuhusiana na maafa yaliyotokea katika ardhi ya Mina wakati …
Waislamu nchini Burundi wameungana na Waislamu wengine kuzungumzia maafa ya Mina yaliyopelekea maelfu ya mahujaji kupoteza maisha kujeruhiwa na  kutojulikana walipo. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Bujumbura, Burundi, ametuandalia ripoti …
Jumatano, 30 Septemba 2015 13:23

Waislamu walaumu Saudia kwa maafa ya Mina

Waislamu hasa walioshirki katika ibada ya Hija kutoka nchi mbali mbali duniani wanaendelea kuulaumu utawala wa Saudia kwa usimamizi mbovu na uzembe wake uliopelekea kutokea maafa makubwa huko Mina Alhamisi …
Jumatano, 30 Septemba 2015 13:19

'Saudia isilaumu wengine kuhusu maafa ya Mina'

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeionya Saudia kuwa iache kulaumu wengine kuhusu maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka. Akizungumza Jumanne, Msemaji wa Wizara ya …
Jumatano, 30 Septemba 2015 09:33

Indonesia yaikosoa Saudia kuhusu maafa ya Mina

Serikali ya Indonesia imesema siku kadhaa baada ya maafa ya Mina, utawala wa Saudi Arabia umeizuia nchi yake kuwatambua au kutoa msaada wa kitiba kwa raia wake. Lalu Muhammad Iqbal, …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, ukosefu wa busara na tadbiri katika utawala wa Saudia ndio chanzo cha mahujaji kupoteza maisha kidhulma. Rais Rouhani ameyasema hayo …
Jumanne, 29 Septemba 2015 20:14

Mahujaji 59 wa Tanzania, Kenya watoweka Makka

Mahujaji wa Tanzania na Kenya ambao hadi sasa wametoweka kufuatia maafa ya Mina karibu na Makka wanakadiriwa kuwa 59. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni …
Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, idadi ya Mahujaji walipoteza maisha katika maafa ya Mina imefikia 4,173.  Takwimu hizo mpya zimetolewa na Naibu Waziri wa Afya wa Saudi …
Waziri wa Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba wa Iran amewasili katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kufuatilia maafa ya Mina.Shirika la habari la IRNA …
Jumanne, 29 Septemba 2015 08:58

Mwanamfalme wa Saudia: Mfalme Salman ajiuzulu

Mwanamlfame mmoja katika ukoo wa Aal-Saud, amemtaja Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud, kuwa aliyeshindwa kuongoza taifa hilo na ametaka kufanyika marekebisho ya uongozi haraka iwezekanavyo. Jana Shirika la Habari …
Jumanne, 29 Septemba 2015 08:56

Rouhani: Saudi Arabia itekeleze majukumu yake

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Saudi Arabia kukubali majukumu yake kuhusiana na maafa ya kuhuzunisha ya vifo vya mamia ya mahujaji wa Irani na Waislamu …
Jumatatu, 28 Septemba 2015 20:02

Iran: Saudi Arabia imehusika na maafa ya Mina

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kufutwa kazi baadhi ya maafisa wa serikali ya Saudi Arabia kuhusu maafa yaliyotokea Mina wakati wa ibada …
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu sababu za maafa yaliyotokea Mina huko Saudi Arabia ambapo serikali ya Riyadh inalaumiwa kwa kushindwa kusimamia ipasavyo ibada ya …
Page 4 of 5