Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 05 Oktoba 2015 13:43

Rouhani: Maafa ya Mina ni matokeo ya uzembe

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maafa yaliyotokea Mina wakati wa ibada ya Hija ni matokeo ya utendaji mbovu na uzembe wa serikali ya Saudia …
Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, miamala ya viongozi wa Saudi Arabia katika maafa ya Mina haikuwa ya kawaida. …
Jumatatu, 05 Oktoba 2015 07:20

Saudia ipokonywe usimamizi wa Hija

Mwanachuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran amesema Saudi Arabia inapaswa kupokonywa usimamizi wa ibada ya kila mwaka ya Hija kufuatia maafa ya hivi karibuni ya Mina ambapo Mahujaji takribani 5,000 …
Mshauri wa masuala ya afya nchini Misri amesema kuwa, maafisa wa usalama wa Saudia, waliwanyunyuzia gesi kali mahujaji wakati wa kujiri mkanyagano uliosababisha maafa ya umati mjini Mina siku ya …
Katibu Mkuu wa Jumuya ya Ahlul Bait (as) amesema kuwa maafa ya Mina ni jinai ambayo inaweza kufuatiliwa kisheria. Ayatullah Muhammad Hassan Akhtari amesema kuwa maafa ya Mina ni dalili …
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kufanyiwa marekebisho suala la kusimamiwa ibada ya Hija ili kuzuia kukaririwa maafa kama yale ya Mina. …
Ndege ya pili yenye kutoka Saudi Arabia imewasili mapema leo hapa mjini Tehran ikiwa imebeba miili 114 ya mahujaji waliofariki dunia kwenye mkanyagano wa Mina Septemba 24 mwaka huu. Maafisa …
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa mkono wa pole kwa Waislamu wote duniani, kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kwa taifa zima la Iran kutokana na …
Msemaji wa Serikali amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafuatilia chanzo cha maafa ya Mina na kufariki kwa Mahujaji kupitia vyombo rasmi na visivyo rasmi nchini. Muhammad Baqir Noubakht, ameyasema …
Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran amesema uchunguzi wa vinasaba (DNA) utatumika kutambua utambulisho wa viwiliwili vya Wairani waliofariki katika maafa ya Mina ambao utambulisho wao …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lazima ukweli wa maafa ya Mina, Saudia ubainishwe kupitia tume ya uchunguzi itakayosimamiwa na nchi za Kiislamu. Rais Rouhani …
Miili ya Mahujaji 104 wa Kiirani waliofariki dunia katika mkanyaganyo wa Mina wakati wa kutekelezwa ibada ya Hija imewasili hapa Tehran. Wananchi wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Mehrabad hapa …
Simu ya mkononi imefanikiwa kumuokoa hujaji mmoja raia wa Morocco ambaye kwa kipindi cha siku kadhaa alikuwa amerundikwa pamoja na maiti wengine wa maafa ya Mina nchini Saudia. Baada ya …
Jumamosi, 03 Oktoba 2015 07:17

Ulikuweko uwezekano wa kuzuia maafa ya Mina

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwenye kikao cha uratibu wa pamoja cha mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa …
Ibrahim Eissa, mwandishi wa habari maarufu wa nchini Misri ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa ametaka kushtakiwa utawala wa Saudi Arabia kwa jinai unazozifanya na hatua yake ya …
Chanzo kimoja nchini Misri kimefichua kuwa, makumi ya mahujaji wa nchi hiyo waliopoteza maisha yao katika maafa ya Mina wamezikwa katika kaburi moja nchini Saudia. Mtandao wa habari wa al-Yaumus-Saabi'u …
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu Iraq amesema Waislamu duniani wametilia shaka usimamizi wa ibada ya kila mwaka ya Hija. Sayyid Ammar Hakim aidha ametoa wito kwa kufanyika uchunguzi wa …
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wamekutana New York na kujadili migogoro ya Mashariki ya Kati na masuala mengine muhimu ya …
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza udharura wa kufanyika uchunguzi wa wazi kuhusu maafa yaliyotokea Mina nchini Saudi Arabia wakati wa ibada ya Hija na mauaji ya …
Wiki moja ikiwa imepita tangu kutokee maafa makubwa na machungu ya kuuawa maelfu ya Mahujaji wa Kiirani na wasio wa Kiirani huko katika ardhi ya Wahyi, Saudi Arabia, Jamhuri ya …
Page 3 of 5