Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Idadi ya mahujaji wa Tanzania waliofariki dunia katika maafa ya Mina yaliyotokea tarehe 24 mwezi uliopita wa Septemba, imeongezeka na kufikia 20 baada ya kupatikana miili ya mahujaji wengine wanane.Wizara …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kina kubaini kiini cha maafa ya Mina. Rais Hassan Rouhani amesema sababu zilizopelekea kutokea maafa hayo, ambapo …
Jumatano, 14 Oktoba 2015 09:15

Wanawake Waislamu wazungumzia maafa ya Mina

Umoja wa Wanawake Waislamu Duniani wametoa taarifa ya rambirambi kufuatia kuuawa maelfu ya mahujaji kutoka nchi mbali mbali katika mkanyangano wa Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka. Umoja huo …
Tukio chungu la Mina ambapo maelfu ya mahujaji walifariki dunia linaendelea kujadiliwa na shaksia mbali mbali wa ulimwengu wa Kiislamu.Mahujaji zaidi ya elfu 4 wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu kutoka …
Baada ya kucheleweshwa kwa muda wa siku nne, hatimae miili 87 ya mahujaji wa Iran waliopoteza maisha kwenye maafa ya Mina ya tarehe 34 Septemba, imewasili hapa mjini Tehran.Shirika la …
Wataalamu na wanasheria wamesema kuna udharura wa kuundwa "jopo la waamuzi" la kufuatilia maafa ya Mina. Abbas Ali Kadkhodai, mhadhiri wa Taaluma ya Sheria wa Chuo Kikuu cha Tehran amesema …
Jumatatu, 12 Oktoba 2015 16:28

Sheikh Ghawth azungumzia maafa ya Mina

Waislamu wa maeneo mbali mbali duniani wanaendelea kutoa mwito wa kuundwa kamati maalumu itakayokuwa na jukumu la kuchunguza sababu za msongamano wa mahujaji uliosababisha maafa ya maelfu ya watu katika …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya Afrika na Kiarabu amesema kuwa, wizara hiyo imeunda kamati maalumu ya kufuatilia hatima ya mahujaji wote wa Iran wasiojulikana …
Mahakama ya Iran imesema kuwa, inatarajia jamii ya kimataifa itachukua hatua za maana kuhusiana na maafa ya Septemba 24 ya huko Mina nchini Saudi Arabia ambapo maelfu ya mahujaji walipoteza …
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya siasa amesema Saudi Arabia inawajibika kulinda usalama wa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa sheria za …
Bunge la seneti nchini Nigeria, limetaka kuundwa kamati maalumu itakayokuwa na jukumu la kuchunguza sababu za msongamano wa mahujaji uliosababisha maafa ya maelfu ya watu katika ibada ya kumpiga mawe …
Alkhamisi, 08 Oktoba 2015 21:30

Iran: Mahujaji 69 bado hawajulikani waliko

Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija na Msimamizi wa msafara wa mahujaji wa Iran amesema mahujaji 69 wa Kiirani bado hawajulikani waliko kufuatia tukio …
Waziri wa Saudi Arabia anayehusika na Hija ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia kuaga dunia Mahujaji wa Iran katika maafa ya Mina. Salamu hizo za …
Serikali ya Tanzania imepokea majina matatu ya Mahujaji wengine wa nchi hiyo waliofariki dunia katika maafa ya Mina kutokana na tukio la msongamano na mkanyagano lilitokea wakati wa kutekelezwa ibada …
Familia za makumi ya Mahujaji wa Morocco walioaga dunia katika maafa ya Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka zimesema zitaishtaki serikali ya Saudi Arabia kutokana uzembe uliosababisha kuaga dunia …
Jumanne, 06 Oktoba 2015 20:01

'Maafa ya Mina yachunguzwe kikamilifu'

Kumetolewa wito wa kufanyika uchunguzi kamili kuhusu maafa ya hivi karibuni ya Mina karibuni na mji mtakatifu wa Makka ambapo maelfu ya Mahujaji walipoteza maisha. Wito huo umetolewa na Dkt. …
Mwanaharakati mmoja maarufu wa Misri ameilamu serikali ya nchi hiyo kwa kuzembea kufuatilia hali za mahujaji wa nchi hiyo waliokufa na kujeruhiwa katika maafa ya Mina nchini Saudi Arabia. Ibrahim …
Jumatatu, 05 Oktoba 2015 20:52

Mashuhuda: Saudia ilihusika mauaji ya Mina

Serikali ya Saudi Arabia imeendelea kulaumiwa kwa uzembe ambao umesababisha maafa ya mahujaji wanaokadiriwa kupindukia 5,000 katika ibada ya kumpiga mawe shetani mjini Mina tarehe 24 Septemba mwaka huu. Kwa …
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi amesema kuwa, idadi ya mahujaji wa nchi hiyo waliopoteza maisha katika maafa ya Mina nchini Saudi Arabia imeongezeka na kufikia mahujaji wanane.Sheikh Zuberi amesema …
Kamanda wa jeshi la wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH Admiral Ali Fadavi amesema kuwa, uvumilivu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran una kikomo na kwamba ikibidi Tehran …
Page 2 of 5