Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchunguzi wa hivi karibuni umebaini kuwa idadi ya mahujaji waliopoteza maisha katika maafa ya Mina wakati wa Ibada ya Hija ni mara tatu zaidi ya takwmu rasmi zinazotangazwa na watawala …
Mwili wa Ghazanfar Roknabadi, balozi wa zamani wa Iran nchini Lebanon ambaye alikuwa miongoni mwa mahujaji waliotoweka katika maafa ya Mina utarejeshwa nchini kesho baada ya kutambuliwa. Mortaza Roknabadi, ndugu …
Jumapili, 22 Novemba 2015 11:43

Uzembe wa Saudia ulipelekea kufa mahujaji Mina

Mkuu wa Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mahujaji waliopoteza maisha yao katika maafa ya Mina katika ibada ya Hija mwaka huu wamekuwa …
Wizara ya Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kuwa, maiti nyingine nne za mahujaji wa nchi hiyo ambao hatima yao ilikuwa haijulikani …
Mkuu wa Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatima ya mahujaji wa Iran waliopotea katika maafa ya Mina itajulikana kikamilifu wiki ijayo.Shirika la …
Jumapili, 15 Novemba 2015 19:13

Familia za waliotoweka Mina kupelekwa Saudia

Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara, ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa mahujaji wa Kiirani amesema watu wa familia za Wairani waliotoweka katika maafa ya …
Shakhsia mbalimbali wa Palestina wamewataja viongozi wa Saudi Arabia kuwa wahusika wakuu wa tukio la maafa ya Mina nchini humo. Abu Shahir al-Sheryani, kadhi wa Palestina sambamba na kuashiria maafa …
Saeed Ohadi Mkuu wa Taasisi ya Hija na Ziara ya Iran amesema kuwa kujulikana hatima ya mahujaji wa Kiirani waliopotea katika maafa ya Mina wakati wa ibada ya Hija mwaka …
Katibu mkuu wa Jumuiya ya makundi ya Kisufi nchini Misri, amemtaja Salman bin Abdulaziz Al Saud, mfalme wa Saudia kuwa muhusika mkuu wa maafa ya hija ya mwaka huu. Abdullah …
Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Saudi Arabia inapaswa kubainisha hatima ya mahujaji wengine waliotoweka katika maafa ya Mina kwenye ibada ya Hija mwaka …
Jumanne, 27 Oktoba 2015 14:06

Ripoti kuhusu Matukio ya Kiusalama Yemen

Saudi Arabia inaendeleza hujuma zake za kinyama dhidi ya raia wa nchi masikini ya Yemen. Katika kipindi cha siku mbili zilizopita ndege za kivita za Saudia zimedondosha mabomu katika maeneo …
Jumanne, 27 Oktoba 2015 07:20

Kamati ya kufuatilia maafa ya Mina kuundwa

Mkuu wa Taasisi ya Ziara na Hija ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amearifu juu ya kuundwa kamati ya kufuatilia maagizo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu maafa …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka kuweko mazungumzo kati ya nchi zote za Kiislamu ili kuweza kujua sababu zilizopelekea kutokea maafa ya Mina nchini …
Muungano wa taasisi za Kiislamu nchini Niger zimekosoa vikali udhaifu wa Saudia wa kushindwa kusimamia ipasavyo ibada ya Hija na kusababisha maafa ya maelfu ya mahujaji wa nyumba tukufu ya …
Serikali ya Mali imetangaza kuwa, inaongoza kwa kupoteza raia wake wengi katika tukio chungu la maafa ya Mina, Saudia mwezi uliopita, ikilinganishwa na nchi nyingine za Kiafrika. Suisse Fatoumata Kuyateh, …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema leo kuwa, tunaamini kwamba serikali ya Saudi Arabia na maafisa wanaosimamia Hija nchini humo hawakuwajibika na hawakutekeleza majukumu yao kuhusiana na maafa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya cha serikali za Magharibi na taasisi zinazodai kutetea haki za binadamu kuhusu maafa ya machungu ya Mina. Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema …
Duru rasmi nchini Kodivaa zimetangaza idadi ya raia wa nchi hiyo waliopoteza maisha yao katika tukio chungu la Mina, Saudi Arabia hapo tarehe 24 Septemba mwaka huu. Kwa mujibu wa …
Mkuu wa Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna Mahujaji zaidi ya elfu 5 waliopoteza maisha katika maafa ya Mina ambao wamezikwa katika …
Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, kuna haja ya kufanyika uchunguzi wa pande zote kuhusiana na maafa ya …
Page 1 of 5