Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Arsenal ni timu inayopendwa zaidi na mashabiki wa soka katika eneo la Afrika Mashariki na hata kaskazini mwa bara hilo. Wengi wanapenda nchini The Gunnesr wanavyosakata kabumbu la kuvutia. Licha …
Klabu ya Tasisat Daryaei ya Iran katika mchezo wa Futsal imeibuka kidedea na kutawazwa mabingwa wa Asia katika mchezo huo kwa mwaka 2015. Timu hiyo imetwaa ubingwa huo katika mashindano …
Shirikisho la mpira wa miguu duniani Fifa limetangaza ubora wa viwango kwa mwezi Agosti ambapo timu ya taifa ya Argentina imeendelea kushika nafasi ya kwanza. Ubelgiji imepanda kwa nafasi moja …
Jumatano, 05 Agosti 2015 09:37

Adebayor atoa sababu za kuwa Mwislamu

Mwezi moja baada ya kutangaza kuikumbatia dini tukufu ya Kiislamu, Emmanuel Adebayor, mchezaji soka mashuhuri Mwafrika nchini Uingereza ambaye sasa ni mshambuliaji wa Tottenham, amefafanua sababu zilizompelekea kusilimu. Adebayor amenukuliwa  …
Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza imetwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii mchezo ambao huwakutanisha mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza na mabingwa wa Kombe la FA. Vijana wa …
Timu ya soka ya Azam FC ya Tanzania imeutwaa ubingwa kwa kombe la Cecafa Kagame Cup kwa mwaka 2015 baada ya kuwachapa mabingwa wa Kenya timu ya Gor Mahia kwa …
Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platini ametangaza azma yake ya kuwania urais wa shirikisho la soka duniani FIFA. Katika barua iliotumwa kwa rais na makatibu wakuu …
Pazia la duru ya 15 ya Ligi Kuu ya soka hapa nchini linatarajiwa kufunguliwa wiki hii. Katika mechi muhimu za ufunguzi siku ya Alkhamisi, mabingwa watetezi Sepahan watakuwa nyumbani wakiikaribisha …
Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia wameendeleza kiwango chao  bora katika kombe la CECAFA kwa kuilaza Malakia ya Sudan Kusini kwa magoli mawili kwa moja na …
Klabu ya soka ya Al Khartoum imeibamiza APR FC ya Rwanda mabao 4-0 na kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya Kagame Cup. Mechi hiyo ya robo fainali ya kwanza …
Ijumaa, 17 Julai 2015 19:03

FIFA kubadili baadhi ya sheria

Shirikisho la Kabumbu Duniani FIFA limetangaza kuwa, lina mpango wa kuzifanyia marekebisho baadhi ya kanuni zake ili kuzibana nchi zinazowania uandaaji wa Kombe la Dunia, zisitumie mwanya wa misaada ya …
Jumatano, 15 Julai 2015 16:42

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi Dar

Michuano ya kombe la Kagame itaanza kutimua vumbi Jumamosi ijayo wakati jijini Dar es Salaam Tanzania wakati timu kadhaa zitakapoingia uwanjani. Ratiba ya mechi za ufunguzi katika michuano ya Kombe …
Wanaridha nchini Kenya wakiwemo wale mabingwa waliovunja rekodi za dunia wameanza matembezi ya amani ya siku 22. Taarifa zaidi zinasema kuwa lengo la matembezi hayo ni kuhamasisha amani. Metembezi hayo …
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Iran imeinyuka timu ya taifa ya Russia kwa seti tatu kwa sifuri katika mchezo uliofanyika jana usiku katika uwanja wa Azadi jijini …
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeibuka na ushindi mwingine mnono katika mashindano ya ligi ya kimataifa kwa kujipatia pointi tatu baada ya …
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata ushindi mnono baada ya kuigaragaza vibaya timu ya taifa ya Marekani ambayo ni mabingwa watetezi katika …
Afisa mwingine wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), katika kitengo cha mahusiano ya uma ametangaza kujiuzulu kufuatia kushadidi kashfa ya ufisadi wa fedha ndani ya shirikisho hilo. Walter De Gregorio, …
Waziri wa michezo wa Afrika Kusini, Fikile Mbalula, amesema rais wa zamani wa Afrika kusini, Thabo Mbeki, ndiye aliyeruhusu ulipwaji wa dola milioni 10 kwa FIFA, hela ambazo sasa zinadaiwa …
Afisa wa ngazi za juu wa zamani wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), amekiri kuwa alipokea hongo kwa ajili ya kuidhinisha Afrika Kusini kupewa nafasi ya kuandaa kombe la dunia …
Polisi ya Kimataifa (Interpol) imejitosa kwenye mgogoro unaolikabili Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa kutoa waranti ya kukamatwa watu sita wanaohusishwa na tuhuma za ufisadi.Agizo hilo linawalenga maafisa wanne wa …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …