Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Michuano ya Ligi za Soka katika nchi za Ulaya zinaelekea ukingoni, huku Real Madrid ya Uhispania imelitetea vyema taji lake baada ya kuifunga Osasuna mabao 2- 1 na kufanikiwa kulibeba …
Rafael Nadal bingwa nambari mbili katika mchezo wa tennis duniani kwa upande wa wanaume amemshinda Mhispania mwenzake David Ferrer katika mechi ya fainali ya kugombea kombe la Barcelona Open baada …
Wanariadha wa Kenya wamejitutumua na kufanikiwa kubeba medali zote tatu za mbio za mita 3,000 kuruka maji na viuzi katika mashindano ya 16 ya michezo ya Afrika huko Addis Ababa …
Jumapili, 04 Mei 2008 19:15

Tanzania Yaisasambua Uganda Kirumba

TANZANIA Taifa Stars Jumamosi iliwapa watanzania raha tena baada ya kufanikiwa kuichapa timu ya Taifa ya Uganda "The Cranes" mabao 2-0 kwenye mchezo mkali wakutafuta tiketi ya kucheza michuano ya …
Timu za Taifa za Uganda na Tanzania zinatarajiwa kupambana leo katika  Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza nchini Tanzania ikiwa ni sehemu ya  mashindano ya Afrika yanayoshirikisha wachezaji wasiocheza soka …
Klabu ya Chelsea ya mjini London Uingereza imefanikiwa kutinga hatua ya fainali katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuibwaga Liverpool pia ya Uingereza mabao 3-2 katika mchezo …
Klabu ya Manchester United ya Uingereza imepata tiketi ya kucheza fainali ya kombe la mabingwa wa Ulaya, baada ya kuinyuka Barcelona ya Uhispania bao 1-0 katika mchezo mkali uliochezwa mjini …
Jumatatu, 28 Aprili 2008 17:04

Yanga Yatwaa Ubingwa Tanzania Bara 2008

TIMU ya Yanga ya Tanzania ilitoka uwanjani ikiwa bado haijapata dawa ya kuifunga Simba baada ya timu hizo kutoka 0-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa, …
Serikali ya Tanzania imefikia uamuzi wa kuruhusu  mechi zote za kimataifa zinazohusisha timu ya taifa, Taifa Stars, kuanza kuchezwa katika Uwanja Mkuu wa Taifa, ambao uko katika hatua za mwisho …
Ijumaa, 18 Aprili 2008 15:07

Bingwa wa soka Mkoani Kigoma Atawazwa

TIMU ya soka ya Ujiji United juzi ilitwaa ubingwa wa Ligi ya Taifa ya soka Mkoa wa Kigoma baada ya kuifunga Mandela ya Kasulu kwa mabao 2-1. Katika mchezo huo …
Gazeti moja linalochapishwa kila siku nchini Tanzania limeandika kuwa KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Marcio Maximo na Kocha Mkuu wa timu za vijana Marcus Tinoco …
Timu ya JKT Ruvu imeizuia Yanga kutwaa ubingwa mgongoni mwake kabla ya mechi tatu ligi kumalizika, baada ya timu hizo kutoka 0-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja …
 Kocha Mkuu wa timu hiyo Cirkovic Milovan amewapiga mkwara mzito wachezaji wake, siku moja tu bada ya uongozi wa klabu ya Simba kuwasimamisha wachezaji wake sita kwa madai ya utovu …
ALIYEKUWA Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Aden Rage amekata rufaa akipinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa TFF kutomrejesha kwenye wadhifa wake licha …
Page 39 of 39

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …