Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Ijumaa, 16 Oktoba 2015 19:07

Mourinho: Faini ya FA ni fedheha

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema faini ya pauni 50,000 aliyotozwa na chama cha soka nchini Uingereza (FA) ni fedheha. Mourinho amepewa adhabu hiyo ya faini pamoja na marufuku ya …
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Liverpool ya Uingereza Danny Ings atakua nje ya uwanja kwa msimu mzima baada ya kuumia goti. Ings mwenye umri wa miaka 23 aliumia goti …
Timu ya soka ya Liverpool ya Uingereza imemteua Jurgen Klopp kuwa meneja wake mpya kwa mkataba wa miaka mitatu. Klopp raia wa Ujerumani mwenye miaka 48 anachukua nafasi ya Brendan …
Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda. Hayatou anachukua usukani kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais …
Vigogo wa soka barani Ulaya Barcelona ya Uhispania na Bayern Munich ya Ujerumani, wameibuka kidedea katika michezo yao ya pili ya Klabu Bingwa barani Ulaya. Katika mchezo hyuo Barca hawakuwa …
Wakuu wa Uswisi wamesema Ijumaa wamemsaili mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA, Sepp Blatter kuhusu kosa la jinai la usimamizi mbovu wa shirikisho hilo.Mkuu wa sheria Uswisi ameanzisha uchunguzi …
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limemsimamisha kazi katibu mkuu wake Jerome Valcke kwa tuhuma za rushwa ndani ya shirikisho hilo.  Valke ambaye ni mshirika mkuu wa Rais wa shirikisho hilo …
Mwana masumbwi mmoja wa Australia amefariki dunia siku nne baada ya kupoteza fahamu alipopigwa 'knockout' katika pigano la kijimbo mjini Sidney. Davey Browne mwenye umri wa miaka 28 aliangushwa na …
Jumatano, 16 Septemba 2015 18:37

Klabu bingwa Ulaya: Man United, Man City hoi

Timu za Uingereza za Manchester United na Manchester City zimeanza vibaya michuano ya labu bingwa barani Ulaya baada ya kuchezea vipigo. Man United wakiwa ugenini nchini Uholanzi walijikuta wakilala kwa …
Timu ya taifa ya wanawake ya Kenya katika mchezo wa voliboli imetwaa ubingwa wa mchezo voliboli katika michezo ya All Africa games Huko Brazzaville. Wanawake wa Kenya waliwashinda wapinzani wao …
Timu ya Taifa ya Soko ya Palestina kwa mara ya kwanza imekuwa mwenyeji wa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia. Mechi hiyo dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE …
Jumatatu, 31 Agosti 2015 22:50

Maria Sharapova kukosa mashindano ya US Open

Mcheza Tenis mahiri wa Russia Maria Sharapova ambaye anashikilia nafasi ya tatu wa mchezo huo duniani kwa upande wa akinadada amejiengua katika mashindano mashuhuri ya michuano Us Open. Sharapova amejiondoa …
Jumatatu, 31 Agosti 2015 17:30

Nigeria wafalme wa kikabu Afrika 2015

Timu ya taifa ya Nigeria ya mchezo wa kikapu imetwaa ubingwa wa mpira wa kikapu barani Afrika baada ya kuichapa timu ya Angola . Nigeria imetwaa ubingwa wa Afro Basket …
Timu ya soka ya Manchester United imeshindwa kutamba mbele ya Swansea City kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kukubali kipgo cha goli 2-1. Kipigo hicho ni …
Ligi kuu ya soka nchini Uingereza iliendelea kutimua vumbi tena jana huku mabingwa watetezi Chelsea wakiangua pua baada ya kubanduliwa mabao 2-1 na timu ya Crystal Palace.  Chelsea ambayo matokeo …
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Barcelona ya Uhispania na timu ya soka ya taifa ya Argentina Lionel Messin ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka barani Ulaya (UEFA) katika …
Jumatano, 26 Agosti 2015 20:36

Wakenya waendelea kuzoa dhahabu Beijing

Wanariadha wa Kenya wameendelea kung'ara katika mashindano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika huko Beijing baada ya Julius Yego kuwa Mkenya wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika shindano la kurusha …
Ijumaa, 21 Agosti 2015 10:26

Tanzania mwenyeji Fainali Afrika - 2019

Tanzania inatarajia kuwa wenyeji wa fainali za Afrika za soka kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 17 zitakazofanyika mwaka 2019. Akizungumza na wana habari jijini Dar es salaam …
Ijumaa, 21 Agosti 2015 10:25

Fifa yakutana na wadhamini wake

Shirikisho la Soka Duniani Fifa, limekutana na baadhi ya wadhamini wake wakubwa kujadili uchunguzi wa masuala ya rushwa ambayo yanaonekana kukizunguka chombo hicho kikubwa zaidi duniani cha kusimamia mchezo wa …
Je unajua kwamba,  Cristiano Ronaldo ndiye mwanamichezo mkarimu zaidi na mwenye kutoa misaada zaidi kati ya wanamichezo wote duniani? Ronaldo ambaye ni nyota wa Real Madrid na mchezaji bora wa …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …