Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Alkhamisi, 10 Disemba 2015 06:26

Muhammed Ali: Waislamu Marekani shikamaneni

Mwanamasumbwi mkongwe Muhammad Ali amewataka Waislamu nchini Marekani kuungana na kusimama kidete dhidi ya wale aliyowataja kuwa wanatumia Uislamu kusukuma ajenda zao za binafsi.
Jumatatu, 07 Disemba 2015 11:00

Ulimwengu wa Michezo, Disemba 7

Iran: Soka ya Ufukweni Timu ya taifa soka ya ufukweni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetawazwa kuwa timu bora barani Asia katika orodha mpya ya Shirikisho la Soka ya …
Polisi nchini Uswisi inawazuilia maafisa wawili wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA, ikiwa ni katika muendelezo wa kamata kamata dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi katika taasisi hiyo ya kimataifa ya …
Jumatatu, 30 Novemba 2015 12:30

Ulimwengu wa Michezo, Nov 30

IRAN: Futsal Timu ya taifa ya Iran ya soka inayochezwa kwenye ukumbi futsal ya watu wenye ulemavu wa kusikia imeibuka kidedea katika mashindano ya Kombe la Dunia ya mchezo huo, …
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran ya soka aina ya futsal imeshindwa kufurukuta mbele ya bingwa mtetezi wa mchezo huo Brazil, katika mechi ya pili ya makundi, uliopigwa hii …
Jumatatu, 23 Novemba 2015 10:45

Ulimwengu wa Michezo, Nov 23

Hujambo mpenzi msikilizaji na ashiki wa spoti, ni furaha yangu tunapokutana tena kwenye kipindi hiki cha Ulimwengu wa Michezo ambacho hutupia jicho viwanja na wachezaji pamoja na matukio muhimu ya …
Wachezaji nyota wa Barcelona Luis Suarez na Mbrazili Neymar da Silva wameendeleza hujuma zao za magoli na kuifanya timu yao ibakie kileleni mwa Ligi Kuu ya Uhispania La Liga, baada …
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA imependekeza kuwekewa vikwazo wakuu wa shirikisho hilo ambao walisimamishwa kazi kutokana na tuhuma za ufisadi. Baada ya kukamilisha uchunguzi wake Jumamosi …
Mashindano ya Kombe la Dunia la mchezo wa mieleka ya kujiachia ukipenda Free Style Wrestling yanatazamiwa kufanyika hapa Tehran, Iran kuanzia Novemba 26-27 mwaka huu. Vilabu vitatu vitaiwakilisha Iran katika …
Alkhamisi, 19 Novemba 2015 19:53

Wanariadha wa Iran washinda dhahabu 3 Indonesia

Wanariadha 3 wa kike wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejishindia medali 3 za dhahabu  katika Mashindano ya Kimataifa ya Mchezo wa Wushu, yaliyofanyika katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta. …
Mabingwa wa mchezo wa kuendesha baiskeli wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshinda medali 9 zikiwemo 3 za dhahabu, katika mashindano ya kieneo ya mchezo huo yanayofanyika nchini India. Siku …
Jumatatu, 16 Novemba 2015 11:29

Ulimwengu wa Michezo, Nov 16

Soka: Iran yaizamisha Turkmenistan Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamuya Iran imejiweka kwenye mazingira mazuri ya kusonga mbele kwenye kampeni zake za kutinga fainali za Kombe la …
Fainali za kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, zinazojulikana kama CECAFA Senior Challenge Cup, zinatazamiwa kuanza Novemba 21 hadi Disemba 6, nchini Ethiopia. Nchi 11 zitashiriki michuano hiyo, …
Jumatatu, 09 Novemba 2015 10:47

Ulimwengu wa Michezo, Nov 9

IRAN: Shabaha Walengaji shabaha wa JKI wamefanya vyema katika mashindano ya kieneo ya mchezo huo yaliyofanyika huko Kuwait, na kujizolea jumla ya medali 7, zikiwemo 2 za dhahabu. Kikosi cha …
Klabu ya Arsenali ipo katika ncha ya kubanduliwa kutoka Ligi ya Klabu Bingwa Barani Ulaya UEFA, baada ya kuchabangwa mabao 5-1 na Bayern Munich Jumatano. Mabao 2 ya kiungo Thomas …
Jumanne, 03 Novemba 2015 13:44

CAF: Wachezaji 10 bora wa soka Afrika

Kiungo wa kati wa timu ya taifa ya soka ya Kodivaa, Yaya Toure ambaye pia anachezea klabu ya Manchester United, ni miongoni mwa wachezaji 10 katika orodha ya mwisho ya …
Jumatatu, 02 Novemba 2015 11:46

Ulimwengu wa Michezo Nov 2

Ulimwengu wa Michezo, Nov 2 Ligi Kuu ya Soka hapa nchini iliendelea kurindima wiki hii huku watani wa jadi wa Tehran, yaani vilabu vya Esteqlal na Persepolis vikitoana jasho kwenye …
Jumatatu, 26 Oktoba 2015 14:16

Ulimwengu wa Michezo, Oktoba 26

Ahlan wasahlan mpenzi msikilizaji na ashiki wa spoti, karibu katika kipindi cha Ulimwengu wa Michezo ambacho hutupia jicho viwanja na wachezaji pamoja na matukio muhimu ya spoti katika kipindi cha …
Mwanaridha bingwa wa Afrika Kusini Oscar Pistorius ameachiwa huru, baada ya kuzuiliwa kwa mwaka mmoja, baada ya kupatikana na hatia kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp. Maafisa wa serikali ya Afrika Kusini …
Klabu ya soka ya Sunderland ya Uingereza mwishoni mwa wiki hii itaandika historia katika sekta ya michezo barani Afrika na hasa katika nchi ya Tanzania. Klabu hiyo itafungua kituo cha …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …