Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Duru ya 36 ya mashindano ya kimataifa ya mieleka ya Kombe la Takhti imemalizika kwa timu ya taifa ya mieleka ya Iran kutwaa kikombe hicho.
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia (Ballon d’Or award ) kwa mwaka 2015 ikiwa ni mara ya tano anatwaa tuzo hiyo. Messi, 28, amepata …
Jumatatu, 11 Januari 2016 11:45

Ulimwengu wa Michezo, Januari 11

Ahlan wasahlan mpenzi msikilizaji na ashiki wa spoti, ni wasaa mwingine tunapokutana katika dakika hizi chache kukuangazia matukio muhimu ya michezo yaliyotawala vichwa vya habari ndani ya wiki moja iliyopita, …
Jumamosi, 09 Januari 2016 14:58

Wanakarate wa Iran kupambana Ufaransa

Shirikisho la Karate la Iran limeteua kikosi cha wanakarate 30 kitakachoiwakilisha nchi hii katika mashindano ya kimataifa ya mchezo huo mwaka huu 2016 yanayoandaliwa na Shirikisho la Karate Duniani WKF. …
  Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga, imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa  ya Morogoro mabao ambayo …
Mwanasoka raia wa Tanzania anayechezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anacheza ndani ya bara la …
Jumatatu, 04 Januari 2016 10:59

Ulimwengu wa Michezo, Jan 4

Ahlan wasahlan wamarhaba mpenzi msikilizaji na hususan ashiki wa spoti, ni wasaa mwingine tena tunapokutana katika kipindi chako cha Ulimwengu wa Michezo, ambacho huangazia matukio muhimu ya spoti kutoka pembe …
Jumamosi, 02 Januari 2016 17:16

Wagombea 5 kuchuana Februari kumrithi Blatter

Wagombea watano wanaopania kurithi mikoba ya Sepp Blatter, mwenyekiti anayeondoka wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA wameidhinishwa kujitosa katika uchaguzi wa shirikisho hilo utakaofanyika Februari 26 mwaka huu. Watano hao …
Ligi Kuu ya Soka ya nchini Uingereza itaendelea Jumamosi hii siku ya Boxing Day kwa michezo kumi. Man City na Chelsea watakuwa mawindoni nyumbani wakisaka pointi tatu muhimu huku Man …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 17:58

Southampton: Wanyama haendi popote!

Meneja wa Southampton Ronald Koeman amesisitiza kuwa kiungo Victor Wanyama wa klabu hiyo haendi popote mwezi Januari mwakani, licha ya mchezaji huyo raia wa Kenya kumezewa mate na Arsenali na …
Jumanne, 22 Disemba 2015 10:52

Arsenal yafanya kweli; yaitwanga Man City

Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza imeendelea kujiimarisha katika Ligi Kuu ya Uingereza kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchester City.  Wabeba Bunduki wa London waliuanza mchezo huo …
Jumanne, 22 Disemba 2015 10:49

Timu 16 kuchuana CHAN 2016 nchini Rwanda

Rais wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) na Mkuu wa Kamati ya Ndani ya Maandalizi (LOC) ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN), Vincent Nzamwita amesema kwamba viwanja …
Kocha  wa timu  ya soka ya Rayo Vallecano inayocheza Ligi Kuu ya soka nchini Uhispania Paco Jemez amesema kuwa, timu yake ilifedheheshwa na kudhalilishwa mno  ilipobamizwa mabao 10-2 wiki hii …
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani Sepp Blatter pamoja na Rais wa UEFA Michel Platini wamefungiwa kwa muda wa miaka minane kujihusisha na masuala yoyote yanayohusu mpira wa miguu baada …
Jumatatu, 21 Disemba 2015 12:10

Ulimwengu wa Michezo, Disemba 21

Iran bingwa wa mieleka ya Greco-Roman Timu ya Iran ya mieleka mtindo wa Greco-Roman imetwaa taji la duru ya pili ya mashindano ya Klabu Bingwa Duniani ya mchezo huo mwaka …
Jumapili, 20 Disemba 2015 16:27

Iran kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia-Mieleka

Shirikisho la Mieleka Duniani UWW limeiidhinisha Iran kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Dunia ya mieleka mtindo wa Greco-Roman mwakani. Rais wa shirikisho hilo Nenad Lalovic ameipongeza Jamhuri ya …
Jumamosi, 19 Disemba 2015 21:55

Iran yatwaa taji la Mieleka ya Greco-Roman

Timu ya Iran ya mieleka mtindo wa Greco-Roman imetwaa taji la duru ya pili ya mashindano ya Klabu Bingwa Duniani ya mchezo huo. Klabu hiyo maarufu kama Bimeh Razi siku …
Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya mchezo wa soka inayochezewa ukumbini ama ukipenda futsal, imeanza vyema mashindano ya kieneo ya mchezo huo baada ya kuikung'uta Myanmar …
Mwanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ghasem Rezaei ametangazwa kuwa mwanamieleka wa pili bora duniani, katika kitengo cha wanamieleka wenye kilo zisizopungua 98, kwenye mtindo wa Greco-Roman. Kwa mujibu …
Klabu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana iliwaliza mashabiki wa Olympiakos ya Ugiriki baada ya kuitandika timu hiyo mabao matatu kwa nunge katika mchezo mkali wa kuwania kufuzu hatua …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …