Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Timu ya taifa ya mieleka katika mtindo wa 'Greco Roman' imejinyakulia ubingwa wa dunia kwenye mashindano yaliyofanyika Tashkent nchini Uzbekistan. Timu ya taifa ya mieleka ya Iran imeunyakua ubingwa huo …
Baada ya mapumziko ya takribani siku 14, hatimaye ligi kuu ya Uingereza imerejea tena hapo jana kwa mechi kali kati ya mabingwa watetezi Manchester  City na Arsenal. Mechi hiyo iliyopigwa …
Timu ya taifa ya Iran katika mchezo wa Voliboli imeiadhibu timu ya taifa ya Marekani baada ya kuifunga seti 3-2 za 25-23, 25-19 na 17-15 kwenye mashindano ya Ligi ya …
Timu ya soka ya Barcelona ya Uhispania imeanza msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini humo al-maarufu LALILGA kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya Elche. Timu …
Timu ya soka ya El Merreikh ya Sudan imeunyakua ubingwa wa kombe la Kagame  mwaka huu baada ya kuwatindika wenyeji ya APR ya Rwanda bao moja kwa nunge katika mchezo …
Timu ya taifa ya mieleka ya vijana ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya mtindo wa 'Free Style' jana usiku ilifanikiwa kuunyakua ubingwa wa dunia baada ya kupita miaka 19 …
Lionel Messi nyota wa timu ya soka ya Barcelona ya Uhispania na nahodha wa timu ya taifa ya soka ya Argentina amesema kuwa, amesikitishwa mno na mauaji yanayofanywa na utawala …
Alkhamisi, 07 Agosti 2014 12:46

Refa mashuhuri Howard Webb astaafu

Refa mashuhuri Howard Webb ambaye amepuliza kipenga kwa muda wa miaka 25 amestaafu baada ya kuchaguliwa kuwa afisa wa shirikisho la marefa (Professional Game Match Officials Limited PGMOL). Kabla ya …
Alkhamisi, 07 Agosti 2014 12:45

Kagame Cup kuanza kutimua vumbi Agosti 8

Kitimtim cha michuano ya klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati maafuru kwa jina la Kagame Cup kinaanza kesho nchini Rwanda ambapo mechi ya ufunguzi ya Kundi A ni kati Atlabara …
Mesut Ozil mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani ambayo hivi karibuni ililibeba kombe la dunia nchini Brazil na klabu ya Arsenal ya Uingereza ametoa zawadi aliyokabidhiwa ya kitita cha …
Timu ya taifa ya soka ya Ujerumani imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Argentina, na kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil. Mechi …
Majonzi ya wenyeji wa Kombe la Dunia, Brazil yalizidi baada ya Uholanzi kuwacharaza 3-0 kwenye mechi ya kuamua nafasi ya tatu jijini Brasilia Jumamosi usiku. Huku wakiendelea kuomboleza kuchabangwa 7-1 …
Timu ya soka ya taifa ya Argentina imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Uholanzi kwa mikwaju ya penalti. Timu zote mbili zilikamilisha mchezo huo kwa sare …
Mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Dunia la mpira wa miguu, Brazil ametolewa na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali iliyofanyika jana baada ya kufungwa mabao 7 kwa …
Fainali za kombe la dunia nchini Brazil zimenoga sasa, baada ya kufikia hatua ya nusu fainali. Miamba minne ya soka ya Brazil, Argentina, Ujerumani na Uholanzi sasa mojawapo ndiyo itakayotwaa …
Timu za soka za taifa za Ufaransa na Ujerumani zimefanikiwa kuingia robo fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kuzichapa timu za taifa za Nigeria na …
Timu ya taifa ya Uholanzi imeponea chupuchupu kuondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia, baada ya kupata ushindi katika dakika za majeruhi na kuiondoa timu ya taifa ya Mexico kwa …
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku iliibwaga kwa mara ya pili, timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Poland kwa …
Wakati wafuasi wa dini tukufu ya Kiislamu duniani kote wameshaanza kuufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani,  Bacary Sagna beki wa timu ya taifa ya Ufaransa ameeleza kinagaubaga kwamba, ataendelea kufunga saumu …
Wenyeji Brazil walinusurika na kufuzu robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuondoa wenzao wa Amerika Kusini, Chile 3-2 kupitia mikwaju ya penalti na hivyo kulituliza kwa afueni kubwa …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …