Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Ligi kuu ya Uingereza iliendelea kurindima jioni ya jana kwa mechi kadhaa kuchezwa katika viwanja tofauti nchini humo. Manchester United baada ya kushinda mechi 6 mfululizo katika ligi hiyo, jana …
Alkhamisi, 27 Novemba 2014 08:51

Arsenal yang'ara, Liverpool mashakani

Idadi ya timu zilizofanikiwa kuingia duru ya mtoano ya ligi ya Klabu Bingwa barani Ulaya iliongezeka jana baada ya vigogo kadhaa kujihakikishia kucheza duru ijayo ya michezo hiyo.Jijini London, Uingereza …
Ligi ya soka ya primia nchini Iran, siku ya Jumapili ilikamilisha mzunguko wake wa 15 kwa mafahali wawili wa Tehran, Perspolis na Esteqlal zilipokutana na kutoana jasho katika dimba la …
Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeigaragaza timu ya soka ya Korea Kusini goli moja kwa nunge katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa jioni …
Timu ya soka ya Manchester City imeendeleza ubabe wake dhidi ya majirani zao Manchester United kwa kuwachapa goli 1-0 katika mchezo mkali wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza uliofanyika …
Timu ya soka ya Entente Setif ya Algeria imetawazwa kuwa mabingwa wa klabu bingwa barani Afrika. Klabu hiyo imeshinda ubingwa wa klabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika …
Rais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema timu za Taifa na Klabu za nchi hiyo zinashindwa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa kutokana na utawala mbovu wa …
Jumamosi, 01 Novemba 2014 22:11

Alexis Sanchez ang’ara, awapaisha Gunners

Ligi kuu ya soka nchini Uingereza imeendelea tena leo ambapo viwanja kadhaa nyasi zake ziliwaka moto kutokana na kushudia mechi kali.  Timu ya soka ya Arsenal ikicheza nyumbani iliwakaribisha wanagenzi …
Duru ya pili ya mashindano ya mataifa ya Asia kwa walemavu na vipofu Para Asia 2014 imemalizika rasmi siku ya Ijumaa, huko Incheon nchini Korea Kusini. Mashindano hayo yaliyodumu kwa …
Jumatatu, 13 Oktoba 2014 07:11

Wanariadha wa Kenya watamba Chicago Marathon

Wanariadha wa Kenya wametamba katika mbio za Marathoni za Chicago  marekani na hivyo kuwadhihirishia walimwengu kwa mara nyingine tena kwamba, ni moto wa kuotea mbali katika mchezo huo. Kwa upande …
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeendelea kutoa dozi kwa kila timu itayotia mguu uwanjani, baada ya kuisambaratisha Arsenal 'wabeba bunduki wa London' katika mechi ya EPL iliyochezwa kwenye dimba la …
Wanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wamefanikiwa kujinyakulia medali tatu za dhahabu katika michezo ya mataifa ya Asia inayofanyika Incheon, Korea Kusini.Timu ya taifa ya mpira wa wavu …
Timu ya taifa ya Kabaddi ya Iran kwa upande wa wanaume imejikatia tiketi ya fainali ya mchezo huo katika mashindano ya mataifa ya Asia yanayoendelea katika mji wa Incheon nchini …
Mechi za makundi za Klabu Bingwa barani Ulaya ziliendelea jana katika viwanja mbalimbali barani humo. Mjini London vijana wa Arsenal The Gunners walifanya kweli kwa kuinyuka Galatasaray ya Uturuki mabao …
Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya iliendelea tena usiku wa kuamkia leo huku nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto kuruhusu wababe wa soka kutoka nchi mbalimbali wakizitafuta point tatu muhimu. …
Wanamichezo wa Iran wameendele kung'ara katika michezo ya mataifa ya Asia yanayoendelea katika mji wa Incheon nchini Korea Kusini. Leo pekee wanamichezo wa Iran wameshinda medali 6 zikiwemo 4 za …
Wanamichezo wa mchezo wa mieleka wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye michuano ya mataifa ya Asia huko Incheon nchini Korea Kusini jana waliongeza idadi za medali za dhahabu, baada …
Mwanariadha wa Kenya Dennis Kimetto amefanikiwa kuvunja tena rekodi ya dunia katika mbio za Marathon baada ya kutwaa ubingwa wa mbio za Berlin Marathon akitumia muda wa saa 2:02:57 nchini …
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Duniani (FIBA) limetangaza mpango wa kuangalia upya sheria inayopiga marufuku vazi la hijabu katika michezo ya kimataifa, baada ya timu ya taifa ya mpira wa …
Msafara wa wanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashindano ya Asia yanayofanyika huko Incheon nchini Korea Kusini umeongeza medali nyingine, baada ya mwanamichezo wa kunyanyua vitu vizito Behdad …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …