Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Jumamosi, 31 Januari 2015 19:44

Mambo yalivyokuwa kombe la Mataifa ya Asia

Mashindano ya soka ya Mataifa ya Asia yaliyomalizika leo yalikuwa na safari ndefu. Jumla ya mechi 32 zilichezwa katika mashindano hayo yaliyofanyika katika miji mbalimbali ya Australia. Magoli 85 yalitiwa …
Jumamosi, 31 Januari 2015 19:42

Australia mfalme mpya wa soka barani Asia

Pazia la duru ya 16 ya michuano ya soka ya kombe la mataifa ya Asia limefungwa leo kwa Australia kutawazwa kuwa bingwa wa michuano hiyo baada ya kuitandika Korea ya …
Timu za taifa za soka za Mali na Ivory Coast nazo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya soka ya Kombe la Mataifa Afrika 2015 kutoka Kundi D …
Shirikisho la Soka duniani, FIFA, limesema vilabu vya mpira wa miguu vilitumia kiasi cha dola bilioni nne nukta moja katika uhamisho wa wachezaji wa kimataifa mwaka uliopita, ambacho ni kiwango …
Alkhamisi, 29 Januari 2015 08:47

Luis Figo kuwania urais wa FIFA

Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Ureno Luis Figo ametangaza nia yake ya kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA. Mchezaji huyo nyota  wa zamani …
Timu ya soka ya Arsenal imethibitisha kwamba, bado ni moto wa kuotea mbali baada ya kuwagaragaza mabingwa watetezi nchini Uingereza, Manchester City. Vijana wa Sheikh Mansour wakicheza nyumbani katika uwanja …
Ligi kuu ya soka nchini Uingereza iliendelea kurindima tena hapo jana huku vinara Chelsea wakizidi kukata mbuga. Chelsea imeimarisha uongozi wake katika ligi ya Uingereza baada ya kuicharaza kilabu ya …
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika imeanza rasmi kwa michezo miwili ya kundi A iliyochezwa kwenye siku ya ufunguzi (Jumamosi) ikizihusisha timu mwenyeji Equatorial Guinea na Congo Brazzaville pamoja …
Timu ya taifa ya soka ya Iran imejipatia ushindi wa pili kwenye mashindano ya kombe la mataifa ya Asia nchini Australia baada ya kuibwaga Qatar bao 1-0, na kujizolea pointi …
Jumatano, 14 Januari 2015 11:22

Simba bingwa Kombe la Mapinduzi 2015

Timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam imetwaa ubingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya wakata …
Christiano Ronaldo nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid ya Uhispania ametangazwa kuwa mchezaji bora wa soka duniani kwa mwaka 2014, na kujinyakulia …
Duru ya 16 ya michuano ya kombe la mataifa ya Asia iliyoanza rasmi siku ya Ijumaa nchini Australia, timu ya taifa ya soka ya Iran siku ya Jumapili ilitumbukia uwanjani …
Ijumaa, 09 Januari 2015 10:19

Yaya Toure mchezaji bora tena Afrika

Kiungo wa timu ya Manchester City  ya Uingereza na timu ya taifa ya Ivory Coast Yaya Toure ametwaa tena tuzo ya mchezaji bora barani Afrika katika mwaka uliomalizika wa 2014. …
Ijumaa, 09 Januari 2015 10:18

Yanga yatupwa nje kombe la Mapinduzi

Timu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam imeng'olewa katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na JKU. Yanga ambayo ilionekana moto wa kutoa mbali …
Mwaka mpya umeingia huku ligi ya primia nchini Uingereza ikitoa msisimko wa pekee. Washabiki wa Manchester City wapokea zawadi nono ya kuuanza mwaka 2015, baada ya vijana wa Sheikh Mansour …
Mchezaji mahiri wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Neymar da Silva Santos Júnior amesema kuwa, hafahamu kama ataweza katika kipindi chake cha kusakata soka kufikia kiwango cha Cristiano …
Ligi kuu ya soka ya Uingereza yenye mashabiki wengi duniani jana iliendelea tena kurindima. Huku ligi zote za Ulaya zikiwa zimesimamishwa kupisha maadhimisho ya Krismasi na mwaka mpya, nchini Uingereza …
Klabu ya Simba ya Dar es Salaam imeendelea kufanya vibaya baada ya jana kufungwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mechi ya raundi ya nane ya Ligi Kuu Tanzania Bara, …
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya tiafa ya Iran ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kwa ajili ya mashindano ya soka ya mataifa ya Asia yatakayofanyika huko Australia. Kwa mujibu …
Ijumaa, 26 Disemba 2014 06:56

Alex Song aachwa katika kikosi cha Cameroon

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon Volke Finke ametangaza kikosi chake kinachoundwa na wachezaji 24 kitakachoshiriki katika michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika huko nchini …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …