Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika kutoka Tanzania, Yanga, imeendelea kuweka matumaini hai ya kusonga mbele baada ya kuiangushia kipigo kikali timu …
Tanzania imepaa kwenye viwango vya kila mwezi vya FIFA kwa kupanda kwa nafasi saba (7)  katika viwango vya shirikisho hilo la kimataifa. Rwanda ndiyo imetia fora kwa kupanda kwa nafasi …
Taarifa kutoka Kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya zinasema kuwa, mtu moja amejitoa uhai kwa kujitosa ndani ya Bahari  ya Hindi kutoka juu ya Daraja la Kilifi baada ya kukasirishwa …
Ijumaa, 13 Machi 2015 17:38

Nigeria yakata tiketi kombe la Dunia U20

Timu ya soka ya Nigeria imefuzu  na kujipatia tiketi ya mashindano ya Kombe la Dunia kwa wachezaji wa chini ya umri wa miaka 20.  Flying Eagles ya Nigeria ilijikatia tiketi …
Arsene Wenger mkufunzi wa Arsenal “ Wabeba Bunduko wa London” atalazimika kujikuna kichwa baada ya kupata habari kuwa kiungo wake mahiri Alex Oxlade-Chamberlain hatakuwepo kwa takriban majuma tatu hadi manne …
Algeria imesalia timu bora barani Afrika katika orodha ya FIFA ya mwezi March licha ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha kombe la mataifa bingwa ya Afrika na Ivory Coast. Mbweha hao …
Alkhamisi, 12 Machi 2015 09:34

Chelsea yarambishwa udongo Stamford Bridge

Katika mechi zilizochezwa jana usiku za Ligi ya Mabwingwa barani Ulaya timu ya Chelsea ya Uingereza na mkufunzi wake Jose Mourinho walijikuta pabaya baada ya kutupwa nje ya mashindano hayo …
Timu ya soka ya Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa mabao 2 -1. Mshambuliaji wa …
Timu ya kriketi ya India imeibanjua timu ya Ireland kwa jumla wiketi nane kwenye michezo ya kombe la dunia la kriketi. Ushindi huo wa india ulichagiwa kwa kufanya vizur kwa …
Timu za Barcelona na Atletico Bilbao zitaumana katika fainali za kombe la Copa del Rey tarehe 30 Mei, baada ya kufuzu michezo yao ya nusu fainali iliyochezwa Jumatano usiku kwa …
Ligi Kuu ya soka nchini Uingereza jana iliendelea kurindima tena ambapo nyasi za viwanja saba zilikuwa msamweni.  Kinara wa ligi hiyo,  timu ya soka ya Chelesea “Watoto wa Darajani” imezidi …
Alkhamisi, 26 Februari 2015 09:11

Arsenal mashakani baada ya kuchapwa nyumbani

Timu ya soka ya Uingereza, Arsenal jana usiku ilichapwa mabao matatu kwa moja na AS Monaco ya Ufaransa katika uwanja wa nyumbani wa Emirates.Kipigo hicho kimeweka mashakani ndoto ya Arsenal …
Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya imeendelea tena katika hatua ya 16 bora ya michuano ambapo mabingwa wa Uingereza, Manchester City waliikaribisha Barcelonakatika dimba la Etihad katika mchezo wa raundi …
Imefahamika kuwa, baada ya kikao kilichofanyika mjini Doha huko nchini Qatar huenda fainali za kombe la dunia mwaka 2022 zinazotaraji kutimua vumbi nchini humo zikafanyika mwezi Novemba na mwezi Desemba. …
Ofisi ya haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, imelaani vikali vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyofanywa na mashabiki wa kandanda kutoka klabu ya Uingereza ya Chelsea, wakati klabu hiyo …
Jumatatu, 09 Februari 2015 08:36

Ivory Coast mabingwa soka Afrika AFCON 2015

Timu ya taifa ya soka ya Ivory Coast imefanikiwa kuunyakua ubingwa wa mataifa ya Afrika kwa mara ya pili, baada ya kuibwaga Ghana 'Black Stars' katika mechi ya fainali iliyochezwa …
Jumatatu, 09 Februari 2015 08:31

Washabiki 40 wa Zamalek ya Misri wauawa Cairo

Kwa akali washabiki 40 wa soka wa klabu ya Zamalek ya nchini Misri wameuawa baada ya kutokea ghasia na mapigano kati yao na kikosi cha usalama cha Misri kabla ya …
Wenyeji wa Kombe la Soka la Matiafa ya Afrika AFCON Equatorial Guinea wameondoka katika kombe hilo shingo upande baada ya kupoteza mechi ya kuwania nafasi ya tatu kwa kufungwa mabao …
Nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea, imeelezewa kuwa ni uwanja wa vita baada ya mchezo kusimamishwa kwa takribani dakika 40 kutokana …
Timu ya taifa ya Ivory Coast imekuwa timu ya nne kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …