Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Sepp Blatter, Rais wa Shirikisho la  Soka Duniani  FIFA ametangaza kujiuzulu katika wadhifa wake huo siku chache tu baada ya kuchaguliwa kwa wingi wa kura kuliongoza shirikisho hilo. Hatua hiyo  …
Jumapili, 31 Mei 2015 21:16

Arsenal mabingwa wapya FA cup

Jana Jumamosi, Mei 30, 2015 timu machachari ya Arsenal ya nchini Uingereza chini ya ukufunzi wa mzee wa kazi Arsène Wenger imetwaa ubingwa wa 12 wa kombe la FA baada …
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Sepp Blatter, amelaani vikali vyombo vya sheria vya Marekani kwa kuwashtaki maafisa wa shirikisho hilo kabla ya uchaguzi wa uongozi wake. Aidha amewakosoa …
Waziri wa Michezo wa Afrika Kusini, Fikile Mbalula, amekanusha tuhuma kwamba nchi hiyo ilitoa kitita kikubwa cha fedha kama hongo kwa maafisa wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ili kupata …
Russia imeituhumu Marekani kwa utumizi haramu wa nguvu za kisheria nje ya mipaka yake baada ya mahakama za Marekani kuamuru maafisa wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA kutiwa mbaroni Zurich, …
Timu ya soka ya Juventus ya Italia imejikatia tiketi ya kucheza fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya baada ya kuwatupa nje mabingwa watetezi Real Madrid kwa jumla ya mabao 3-2 …
  Timu ya soka ya Barcelona ya Uhispania imetinga fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya licha ya kufungwa 3-2 na Bayern Munich katika mechi ya marudiano. Barcelona imesonga mbele kwa …
Timu ya soka ya Barcelona ya Uhispania imeitandika Bayern Munich ya Ujerumani 3-0 na kujiweka katika mazingira mazuri ya kutinga fainali ya mashindano hayo. Lionel Messi amefunga mara mbili katika …
Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya kati ya Juventus ya Italia dhidi ya Real Madrid ya Uhispania umefanyika Jumanne usiku kwa Juve kuibuka na ushindi …
Timu za Bayern Munich ya Ujerumani na Barcelona ya Uhispania zimefanikiwa kusonga mbele kwa kutinga nusu fainali mashindano ya Klabgu Bingwa Barani  Ulaya baada ya kushinda mechi zao hapo jana …
Jumanne, 21 Aprili 2015 17:18

Rwanda kuandaa mashindano ya CECAFA

Rwanda imeteuliwa kuwa mwenye wa fainali za kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Cup, Novemba mwaka huu. Katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amethibitisha uamuzi huo. …
Jumanne, 21 Aprili 2015 17:17

Wanariadha 30,000 kushiriki mbio za Boston

Zaidi ya wanariadha elfu thelathini watashiriki katika mbio za mwaka huu za masafa marefu za Boston Marathon, miaka miwili baada ya mashambulio mawili ya mabomu, kutokea katika eneo la kumalizia …
Mahakama moja nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo watu 11 baada ya kuwapata na hatia ya kushiriki katika machafuko ya kwenye uwanja wa mpira katika mji wa Port Said, miaka …
Jumapili, 19 Aprili 2015 17:25

Arsenal yapiga hodi fainali ya FA CUP

Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza imetinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la FA nchini Uingereza baada ya kuifumua timu ya Reading kwa risasi mbili kwa moja.  …
Katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya timu za Barcelona ya Uhispania na FC Porto ya Ureno jana usiku zilifanikiwa kuwabwaga wapinzani wao na kuweka mguu …
Baada  ya majanga na majiraji ya Manchester United katika ligi kuu ya England, hatimaye  jiji la Manchester limepakwa rangi nyekundu baada ya kuisha kwa mechi kati ya Manchester United na …
Duru ya 43 ya mashindano ya dunia ya mchezo wa mieleka imemalizika nchini Marekani, kwa timu ya mieleka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mtindo wa freestyle kufanikiwa kuibwaga …
Real Madrid ya Hispania jana ilidondokea pua katika mechi ya kukata na shoka baina yake na mahasimu wao Barcelona baada ya kukubali kichapo cha magoli 2 -1. Katika mechi hiyo …
Jumatatu, 23 Machi 2015 10:49

Djokovic bingwa BNP Paribas Open

Mcheza tenis namba moja duniani Novak Djokovic amenyakua taji la BNP Paribas Open katika mchezo huo. Ilikuwa ni furaha pale aliponyakua ubingwa wa BNP Paribas Open kwa kumshinda mpinzani wake …
Alkhamisi, 19 Machi 2015 11:30

Barcelona na Juventus zatinga robo fainali

Timu za Barcelona na Juventus zimefanikiwa kupata tiketi ya kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya.Barcelona ya Uhispani jana usiku iliichapa Manchester City ya Uingereza bao moja kwa sifuri …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …