Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Michezo
Jumatatu, 25 Aprili 2016 10:32

Ulimwengu wa Michezo, Aprili 25

Wanataekwondo wa Iran wang'ara Ufilipino   Timu ya taifa ya mchezo wa taekwondo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa taji la mashindano ya kieneo ya mchezo huo nchini Ufilipino …
Jumatatu, 18 Aprili 2016 10:44

Ulimwengu wa Michezo, Aprili 18

Debi la Tehran: Persepolis yaizamisha Esteghlal 4-2 Klabu ya soka ya Persepolis ya Iran imefanikiwa kusajili ushindi muhimu wa mabao 4-2 dhidi ya watani wao wa jadi Esteghlal, katika mchuano …
Jumatatu, 04 Aprili 2016 11:43

Ulimwengu wa Michezo, Aprili 4

Soka: Iran yatinga hatua ya mwisho kuelekea Kombe la Dunia Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetinga hatua ya mwisho ya mbio za kusaka nafasi …
Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetinga hatua ya mwisho ya mbio za kusaka nafasi ya kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018. Hii ni baada …
Jumatatu, 28 Machi 2016 11:33

Ulimwengu wa Michezo, Machi 28

Iran yaizaba India 4-0 Tehran Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeichabanga India mabao 4-0 katika mchuano wa kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia …
Timu ya taifa ya wanaume ya voliboli ya kuketi chini ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa Kombe la Dunia la Voliboli ya Walemavu nchini China. Katika kipute cha fainali …
Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya soka ya Iran, Carlos Queiroz amekiita kambini kikosi cha wachezaji 19, ili kuanza kukinoa kwa ajili ya michuano miwili ya kimataifa itakayopigwa karibuni …
Jumatatu, 14 Machi 2016 12:56

Ulimwengu wa Michezo, Machi 14

Iran yatwaa ubingwa wa Riadha ya Asian-Oceanic UAE Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa Mashindano ya Riadha ya Walemavu ya Asian-Oceanic, yaliyofanyika mjini Dubai katika Umoja wa Falme …
Mchezaji wa timu ya taifa ya ndondi ya Iran amekataa kupigana na mchezaji wa ndondi wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya kimataifa ya ndondi ya Njia ya Hariri …
Jumatatu, 07 Machi 2016 10:51

Ulimwengu wa Michezo, Machi 7

Iran bingwa wa karate Asia Timu ya taifa ya karate ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo huo barani Asia mwaka huu 2016 yaliyofanyika mjini …
Jumatatu, 29 Februari 2016 10:26

Ulimwengu wa Michezo, Feb 29

Taekwondo: Iran yashinda dhahabu 2 UAE Timu ya taifa ya taekwondo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshinda medali kochokocho ikiwemo dhahabu 2 katika duru ya 4 ya Mashindano ya …
Jumamosi, 27 Februari 2016 09:07

Gianni Infantino arithi mikoba ya Blattet Fifa

Gianni Infantino raia wa Uswisi amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA na kurithi mikoba ya Sepp Blatter aliyeongoza shirikisho hilo kwa miaka mingi. Katibu huyo mkuu …
Jumatatu, 22 Februari 2016 10:43

Ulimwengu wa Michezo, Feb 22

Futsal: Iran yatwaa kombe la AFC Championship Timu ya taifa ya Iran ya mchezo wa futsal imetwaa kombe la mabingwa wa mchezo huo barani Asia nchini Uzbekistan, hii ikiwa ni …
Jumatatu, 15 Februari 2016 10:32

Ulimwengu wa Michezo, Feb 15

Iran yainyeshea Iraq na kuizaba China katika Futsal Timu ya taifa ya Iran ya mchezo wa soka ya ukumbini maarufu kama futsal imeendeleza wimbi la mabao wikendi hii katika Mashindano …
Jumatatu, 08 Februari 2016 11:33

Ulimwengu wa Michezo, Feb 08

Kiongozi na Wanamichezo Mwanzoni mwa wiki hii vyombo vya habari hapa nchini viliangazia habari ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuonana na waendeshaji wa "Kongamano la Mashahidi Wanamichezo Nchini …
Alkhamisi, 04 Februari 2016 15:06

DRC yatinga fainali ya CHAN

Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iko njiani kutwaa kwa mara ya pili Kombe la Michuano ya Mataifa ya Afrika CHAN, inayoendelea kusakatwa nchini Rwanda. …
Marefarii wawili raia wa Iran wameteuliwa kuwa waamuzi katika mashindano ya mchezo huo ya African Qualification Tournament nchini Morocco. Shirikisho la Taekwondo Duniani WTF limewateuwa Shahram Arbabi na Hafez Mahdavi …
Jumatatu, 01 Februari 2016 11:42

Ulimwengu wa Michezo, Februari 01

Kung Fu To'a Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa taji la Mashindano ya Mabingwa wa Kung Fu mtindo wa To'a Barani Asia mwaka huu 2016, kwa kujizolea jumla ya pointi …
Jumatatu, 25 Januari 2016 10:52

Ulimwengu wa Michezo, Januari 25

Ahlan wasahlan wa marhaba mpenzi msikilizaji na haswa shabiki wa spoti ni wasaa mwingine tunapojumuika pamoja katika kipindi chako cha Ulimwengu wa Michezo nikupashe yaliyojiri viwanjani wiki hii ndani na …
Hossein Jamshidiyan, bingwa wa mchezo wa kuendesha baiskeli wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran ameshinda medali ya fedha baada ya kuibuka wa pili katika duru ya 36 ya Mashindano ya …
Page 1 of 39

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …