Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 01 Agosti 2012 14:51

Milipuko ya mabomu yautikisa mji wa Baghdad

Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye milipuko miwili ya mabomu mapema leo mjini Baghdad, Iraq. Habari zinasema kuwa milipuko hiyo imetokea katika eneo lenye watu wengi kwenye …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mapigano yasimamishwe nchini Syria na kusema kuwa mkundi yenye silaha yamezidisha mapigano dhidi ya serikali. Ban Ki-moon ameelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu hali …
Ndugu wa familia ya kifalme ya Bahrain ametiwa nguvuni kabla ya ndege kuruka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Heathrow mjini London Uingereza baada ya kushukiwa kuwa amelewa na …
Jumapili, 29 Julai 2012 13:24

Syria itang'oa mizizi ya ugaidi

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Syria amesema kuwa, nchi yake haitasalimu amri mbele ya magaidi na kwamba, itapambana kiume hadi ifanikiwe kung'oa mizizi ya ugaidi. Meja Jenerali Muhammad Ibrahim …
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imeuonya vikali utawala katili wa Israel kutokana na kuendelea kuuvunjia heshima msikiti mtukufu wa al Aqsa. Arab League imetoa onyo hilo sambamba na …
Wakuu wa nchi za Kiarabu wameanza kuwasili mjini Doha Qatar kwa ajili ya kushiriki kwenye kikao kilichopangwa kuanza hapo kesho nchini humo. Rais Bashar Assad wa Syria ni kiongozi wa …
Page 48 of 48

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …