Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Huku ulimwengu ukiwa bado haujasahau vifo vya kutisha vya maelfu ya mahujaji wa nyumba ya Mwenyezi Mungu nchini Saudia, wafanya umra wapatao 19, wamepoteza maisha katika ajali nyingine mbaya ya …
Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, watu 106 waliuawa na ndege za Saudia katika soko la Mastaba nchini Yemen.
Shirika moja la kutetea uhuru wa kujieleza na haki za waandishi wa habari limefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha hujuma zake dhidi ya taasisi hiyo muhimu huko Palestina …
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa amesema Saudia na waitifaki wake wanadondosha mabomu katika shule, mahospitali na vituo vya afya nchini Yemen.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazumgumzo ya simu kuhusu usitishwaji vita nchini Russia.
Wizara ya Mambo ya ndani ya Saudia imetangaza kuwa imewanyonga watu wengine wawili ambao ni raia mmoja wa nchi hiyo na mwengine wa Yemen na hivyo kuifanya idadi ya watu …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, ni jambo lisilo na shaka kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limetenda jinai kubwa dhidi ya binaadamu.
Alkhamisi, 17 Machi 2016 12:54

Ban alaani jinai mpya za Saudia nchini Yemen

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani jinai mpya zilizofanywa na utawala wa Saudi Arabia baada ya kushambulia soko la Khamis katika mkoa wa Hajjah huku kaskazini magharibi mwa Yemen.
Alkhamisi, 17 Machi 2016 05:19

Magaidi vibaraka wa Saudia washambulia Yemen

Raia kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha yao katika shambulio la kigaidi lililofanywa na magaidi wa Kiwahabi wanaoungwa mkono na Saudia, huko kusini mwa Yemen.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaka Umoja wa Mataifa ufuatilie mauaji yanayofanywa Saudi Arabia dhidi ya raia huko Yemen.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa nchini Saudi Arabia.
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametaja hatua ya Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria kuwa ni ishara nzuri.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amekutana na Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon na kuzungumza naye juu ya njama za Saudia …
Gazeti la al Shuruq la Algeria limefichua kwamba Saudi Arabia ilimhonga dola milioni mbili Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) Nabiil al Arabi kwa ajili la kupasisha muswada …
Utawala wa kizayuni wa Israel umemzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Retno Marsudi kuingia katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, ambapo alitazamiwa …
Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza wanachama 75 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni tatu kaskazini mwa nchi, katika mikoa ya Salahuddin, Kirkuk na Nineveh.
Jumamosi, 12 Machi 2016 18:55

Saudia kumnyonga mpwa wa Sheikh Nimr kesho?

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeelezea hofu yake kuwa yumkini utawala wa Saudi Arabia hapo kesho ukamnyonga Ali Nimr, mpwa wa Shahidi Sheikh Nimr …
Baada ya juhudi za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds kushindwa, Kamati ya Usalama ya utawala huo ghasibu sasa imechukua maamuzi mapya yanayolenga kuikandamiza Intifadha hiyo.
Mtoto Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 10 ameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …