Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mahakama moja nchini Bahrain imetoa hukumu ya kidhalimu ya vifungo jela kwa raia kumi wa nchi hiyo kwa madai ya kuwashambulia askari polisi katika maandamano yaliyofanyika katika kijiji kimoja ambacho …
Jumanne, 29 Machi 2016 08:53

Saudia inawahudumia bure Wazayuni

Sheikh Suhail Habli, mwanazoni wa Kisuni wa nchini Lebanon amezikosoa siasa za watawala wa Aal Saud na kusema kuwa, Saudi Arabia ni mfanyakazi wa bure wa Wazayuni.
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeutaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya kidhalimu yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Rais wa zamani wa Yemen amesema kuwa, Saudia inahusika katika machafuko yanayotokea kwenye nchi nyingi za Kiarabu.
Mtandao wa Intaneti wa "Sauti ya Israel" umefichua kuwa, silaha ya hatari zaidi inayotumiwa na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni MOSSAD ni mwili wa mwanamke wa Kiyahudi.
Maelfu ya wananchi wa Yemen leo wamemiminika barabarani katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Sana'a kulaani jinai na uvamizi wa Saudi Arabia nchini mwao.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inajiandaa kutuma vikosi zaidi vya jeshi la nchini hiyo huko Iraq, eti kwa lengo la kuipa nguvu operesheni inayoendelea dhidi ya kundi la kigaidi …
Ali Abdullah Saleh rais wa zamani wa Yemen, amepongeza hatua za busara za Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon na katibu wake mkuu Sayyid Hassan Nasrallah, kwa kusimama …
Utawala wa kidikteta wa Aal Saud nchini Saudia umeendelea kuwaandama maulama wa Kishia nchini humo, na mara hii akiwa ni mtoto wa Sheikh Hussein al-Radhi, mmoja wa wanachuoni wakubwa wa …
Kamanda mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Russia amesema kuwa nchi hiyo imetuma huko Syria kikosi maalumu kwa ajili ya kufanya oparesheni ya upelelezi na kazi nyingine maalumu …
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametishia kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
Maelfu ya wakimbizi raia wa Syria wamenyimwa huduma muhimu za matibabu na nchi jirani ya Jordan.
Jumatano, 23 Machi 2016 08:14

Waarabu waandamana kupinga jinai za Saudia

Wahajiri Waarabu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wakipinga jinai na uhalifu unaoendelea kufanywa na serikali ya Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali ya Mashariki ya Kati.
Rais Bashar al Assad wa Syria amewataka Waislamu wote duniani kuwa kitu kimoja na kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi unaotishia eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla. Rais Assad ameyatamka hayo …
Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran ametoa wito wa kutumiwa vyema uwezo wa visiwa vya Iran katika Ghuba ya Uajemi …
Vikosi vya jeshi la Iraq vimeendelea kusonga mbele katika mkoa wa al-Anbar na kuzidi kutoa pigo kwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh.
Magaidi wenye mfungamano na kundi la kitakfiri la Daesh wamezisisha harakati zao katika eneo la Sinai Kaskazini nchini Misri licha ya askari usalama wa nchi hiyo kunzisha operesheni ya kuliandamana …
Jumatatu, 21 Machi 2016 08:04

Vibaraka 80 wa Saudia wauawa nchini Yemen

Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limetoa pigo kubwa na kuwashinda vibaraka wa Saudi Arabia katika eneo la Taiz na kuua 80 miongoni mwao licha ya vibaraka hao kusaidiwa na ndege …
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto nyumba ya shahidi pekee wa jinai ya kuchomwa moto nyumba na familia …
Rais wa Yemen aliyejiuzulu wadhifa wake na kukimbilia nchini Saudia, Abd Rabbuh Mansur Hadi amesema kuwa, milango yote ya mazungumzo na Harakati ya Answarullah nchini Yemen iko wazi.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …