Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri juu ya nguvu na uwezo wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
Ujumbe wa Palestina katika Umoja wa Mataifa umeandaa rasimu ya azimio jipya la kulaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa kizayuni katika ardhi …
Staffan de Mistura mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria anatazamiwa kuitembelea Iran karibuni hivi.
Watu wasiopungua 23 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio la silaha za kemikali lililofanywa na magaidi wa kundi la Daesh dhidi ya wapiganaji a Kikurdi wa People's …
Ijumaa, 08 Aprili 2016 08:26

Maonyesho ya jinai za Saudia nchini Yemen

Wananchi wa mji mkuu wa Yemen, Sana'a wamefanya maonyesho ya picha, michoro na mabango yanayoakisi jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen
Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya utawala wa Saudi Arabia ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
Jeshi la Syria limeendelea kusonga mbele na kuyatia hasara kubwa makundi ya kigaidi nchini humo.
Wanamapambano wa Yemen wamewaangamiza mamluki 70 wa Saudia katika mkoa wa al-Jawf uliopo kaskazini mwa nchi hiyo.
Jumatano, 06 Aprili 2016 07:26

WHO: Yemen inakumbwa na maafa ya kibinadamu

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Yemen amesema asilimia 80 ya watu wa nchi hiyo wanahitaji misaada ya kibinadamu.
Umoja wa Ulaya umetakiwa kususia bidhaa zinazozalishwa na utawala wa kizayuni wa Israel.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi mashariki mwa Syia, kwa silaha za kemikali.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaka Uturuki kuacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuunga mkono ugaidi.
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amekanusha madai ya kuwepo aina yoyote ya mazungumzo baina ya harakati hiyo na Misri kuhusu askari wa Israel wanaoshikiliwa …
Waziri Mkuu wa Syria amesema kuwa ushirikiano wa pande zote kati ya Iran na Syria umeimarisha mhimili wa muqawama dhidi ya njama za Kizayuni na Marekani katika eneo.
Taasisi moja isiyo ya kiserikali inayotetea haki za binadamu nchini Bahrain imetoa ripoti ya kushtusha kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini humo katika mwaka uliopita.
Vikosi vya serikali ya Syria vimeukomboa mji wa al Qaryatayn unaopatikana katikati mwa Syria, mji ambao ulikuwa unashikiliwa na wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS
Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na vikosi vya wananchi limefanikiwa kukomboa wilaya ya al Wazi'iya ya mkoani Taiz kusini mwa nchi hiyo, kutoka kwa mamluki wa Saudi Arabia.
Jeshi la Syria limegundua kaburi la umati ambalo lilikuwa limefukiwa makumi ya watu waliouawa na kundi la kigaidi na kitaifiri la Daesh katika mji uliokombolewa hivi karibuni wa Palmyra.
Alkhamisi, 31 Machi 2016 18:37

Bashar Assad aafiki uchaguzi wa mapema Syria

Rais wa Syria ametangaza kuwa serikali ya nchi hiyo iko tayari kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa rais wa mapema.
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International kwa mara nyingine tena limezituhumu Qatar na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa kupuuza utumiwaji mbaya wa wafanyakazi katika ujenzi wa viwanja vitakavyotumika …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …