Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 19 Aprili 2016 19:57

Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Duru za habari zimeripoti kuibuka tofauti kubwa baina ya nchi mbili vamizi za Saudia na Imarat kuhusiana na kadhia ya Yemen.
Mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unashirikiana na magenge ya kigaidi katika eneo la milima ya Golan ya Syria linalokaliwa kwa mabavu …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa kwa gharama yoyote ile Syria itaikomboa miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
Spika wa bunge la Iraq amesema kuwa nchi hiyo inaweza kuvijua na matatizo iliyonayo iwapo serikali imara itaundwa nchini humo.
Chama tawala cha Baath kimeshinda aghalabu ya viti katika uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Syria hivi karibuni.
Kamandi ya oparesheni za pamoja za vikosi vya Iraq imetangaza kuwa mji wa Hit ulioko mkoani Al-Anbar umekombolewa kikamilfu baada ya mapigano makali ya wiki kadhaa na magaidi wa kundi …
Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeitaja harakati kuu ya Waislamu wa Kisunni nchini Misri ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni kundi la makafiri walioritadi na kuuasi Uislamu.
Siasa chafu na ghalati za Saudia zimetajwa kuwa chanzo cha kudhoofika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na kupoteza sura yake ya awali.
Rais wa Misri ametetea uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kuikabidhi Saudi Arabia visiwa viwili.
Wananchi wa Syria waliotimiza mashari ya kupiga kura wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura mapema leo, kushiriki uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekaribisha kutekelezwa usitishaji vita huko Yemen.
Jumanne, 12 Aprili 2016 21:01

Wakimbizi warejea makwao nchini Syria

Wakimbizi wa Syria zaidi ya milioni moja wamerejea majumbani mwao baada ya amani na utulivu kurejea katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
Jumanne, 12 Aprili 2016 20:51

Wamisri wapinga mapatano ya Cairo, Riyadh

Muungano wa kitaifa unaounga mkono serikali ya kidemokrasia na kupinga mapinduzi ya jeshi nchini Misri umetaka kufanyika maandamano kote nchini humo kulalamikia hatua ya Rais wa nchi hiyo ya kuipatia …
Wananchi wa Misri kuanzia wale wa matabaka ya kawaida, wanaharakati hadi maafisa wa zamani na wanasiasa wameungana katika safu moja kuonyesha kukasirishwa kwao na uamuzi wa Rais Abdel Fattah al …
Rais wa Iraq amesema kuwa, ili nchi hiyo iweze kupambana na ugaidi inahitajia uungaji mkono wa kimataifa.
Harakati ya Houthi ya Yemen imesema itaheshimu makubaliano ya usitishaji vita nchini humo.
Jumatatu, 11 Aprili 2016 09:17

Kuanza usitishwaji vita Yemen

Usitishwaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa Yemen ulianza jana usiku (Jumapili) kabla ya kuanza mazungumzo ya amani baina ya pande hasimu nchini Kuwait.
Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa, opereseheni za jeshi la nchi hiyo na vikosi vya wananchi dhidi ya magenge ya kigaidi, zingali zinaendelea.
Kwa akali raia watano Wayemen wameuawa kufuatia mashambulio mapya ya ndege za kivita za utawala wa Saudia katika mkoa wa Tai'zz wa kusini magharibi mwa Yemen.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …