Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Saudi Arabia na Uturuki zimesema kuwa huenda karibuni hivi zikaanzisha mashambulizi ya nchi kavu nchini Syria eti kwa lengo la kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh!
Jumamosi, 13 Februari 2016 11:12

Makumi ya wanachama wa Daesh waangamizwa Iraq

Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameuawa na jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati za wananchi wa nchi hiyo.
Wanaharakati wa haki za binaadamu katika eneo la Al-Ahsa, mashariki mwa Saudi Arabia wametangaza kuwa, vyombo vya usalama vya nchi hiyo vimemuweka kizuizini imam mmoja wa sala ya Ijuma kwa …
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kuwa operesheni za jeshi na vikosi vya wananchi zitaendelea hadi kuhakikisha maeneo yote ya ardhi ya Syria yamekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi.
Arubaini ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni wa Kiislamu aliyeuawa shahidi na utawala wa Aal-Saud imeadhimishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini Saudi Arabia na Bahrain.
Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha juu ya kutumwa vikosi vya kigeni nchini Syria na kusema kuwa hatua hiyo haitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuchochea "Vita Vipya vya Dunia".
Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni mkiukaji wa haki za binadamu.
Alkhamisi, 11 Februari 2016 10:51

Hamas: Mapinduzi ya Iran yameimarisha Intifadha

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 nchini Iran yameishajiisha na kuipa nguvu Intifadha na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa …
Jeshi la Iraq kwa kushirikiana na wapiganaji wa harakati za kujitolea za wananchi limefanikiwa kukomboa vitongoji kadhaa vya mji wa al-Ramadi, makao makuu ya mkoa wa al-Anbar, kutoka mikononi mwa …
Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu …
Jumanne, 09 Februari 2016 11:16

Majeshi ya Syria yazidi kupata ushindi Latakia

Jeshi la Syria likisaidiwa na wananchi limefanikiwa kuwatimua wapiganaji wa makundi ya kigaidi katika vijiji vinne muhimu katika eneo la Latakia karibu na mpaka wa nchi hiyo na Uturuki.
Jumanne, 09 Februari 2016 05:59

Wabunge Lebanon washindwa tena kumchagua Rais

Bunge la Lebanon lilikutana tena jana (Jumatatu) na kwa mara nyingine likashindwa kumchagua Rais kutokana na kutotimia idadi ya mahudhurio ya Wabunge kwa ajili ya zoezi hilo.
Jumatatu, 08 Februari 2016 12:53

UN yakosoa takwa la kuondolewa Assad madarakani

Kamati ya Kimataifa inayofanya uhakiki kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Syria imetangaza kuwa, msimamo unaosisitiza juu ya udharura wa kuondoka madarakani Rais Bashar Assad kabla ya kuanza mazungumzo …
Wizara ya Ulinzi ya Russia imejibu tuhuma za shika la kijeshi la nchi za Magharibi (NATO) ikisema muungano huo wa kijeshi imeitumbukiza Syria katika matatizo makubwa na kusababisha machafuko katika …
Jumapili, 07 Februari 2016 17:32

Kamanda Msaudi wa ISIS auawa Iraq

Kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh ameuawa nchini Iraq katika hujuma ya ndege za kivita mkoani Ninevah.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Ibrahim al-Jaafari ameitaka Jamii ya Kimataifa ichukue msimamo unaojulikana kuhusiana na uvamizi uliofanywa na Uturuki dhidi ya ardhi ya nchi yake.
Utawala wa Aal-Khalifa umesema Bahrain iko tayari kutuma askari wake wa nchi kavu nchini Syria, eti kupambana na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
Kamanda wa operesheni za wapiganaji wa kujitolea nchini Iraq unaofahamika kwa jina la 'al-Hashdu sh-Sha'bi' ameelezea kukamilika mpango wa operesheni za kuukomboa na kuusafisha mji wa Mosul, makao makuu ya …
Licha ya kuweko juhudi za jamii ya kimataifa za kutatuliwa mgogoro wa Syria kwa njia ya kidiplomasia, msemaji wa jeshi la Saudia, Ahmed al-Assir amesema kuwa, nchi hiyo ipo katika …
Alkhamisi, 04 Februari 2016 10:29

Daesh inafanya biashara ya kuuza figo za binadamu

Katika kuendeleza jinai zake dhidi ya binadamu, kundi la kigaidi la Daesh linafanya biashara ya kuuza figo za binadamu katika maeneo inayoyadhibiti.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …