Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mtandao wa habari wa Defense One wa nchini Marekani, umeutaja utawala wa Aal-Saud kuwa ni mtenda jinai na wa kifisadi.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua vijana 17 kwa kuwakata vichwa katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuna uwezekano kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh likapata silaha za kemikali.
Ijumaa, 19 Februari 2016 07:22

Takwimu za kunyongwa watu Saudia zinatisha

Mauaji ya watu waliohukumia kifo kiholela nchini Saudi Arabia yameongezeka katika mwaka huu wa 2016.
Alkhamisi, 18 Februari 2016 11:35

UN: Saudia inazidi kupanua mgogoro wa Yemen

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika kadhia ya Yemen amesema kuwa, duru ya pili ya mazungumzo kati ya pande zinazohasimiana imeshindwa kufanyika kutokana na Saudi Arabia kukataa kutoa hakikisho …
Rais wa Misri amesema njia bora ya kutatua mgogoro wa Syria ni kupitia mazungumzo na wala sio nguvu za kijeshi.
Alkhamisi, 18 Februari 2016 06:02

Watu 28 wauawa katika mlipuko wa bomu Uturuki

Watu wasiopungua 28 wamepoteza maisha na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Ankara Uturuki.
Alkhamisi, 18 Februari 2016 05:40

Mzayuni asababisha kufutwa mkutano Afrika Kusini

Mkutano uliokuwa ufanyike mjini Johannesburg, kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa maji nchini Afrika Kusini umefutwa kutokana na kulalamikiwa vikali kualikwa balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano …
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema, inapinga pendekezo la kuTENGWA eneo lisiloruhusiwa kupaa ndege ndani ya Syria na kutaka waratibu wa pendekezo hilo kuishirikisha serikali ya Damascus kabla …
Jumatano, 17 Februari 2016 10:41

Misri yafunga tena kivuko cha Rafah

Misri imefunga tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina walio chini ya mzingiro huko Ghaza.
Jumatano, 17 Februari 2016 10:30

Israel, Saudia zimefeli katika njama zao Syria

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama za Saudia, Israel na Uturuki zimefeli na kugonga mwamba Syria.
Afisa wa zamani wa jeshi la Marekani amesema kuwa silaha za kemikali zinazomilikiwa na kundi la Daesh zimetoka Marekani.
Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema matatizo na mashaka ya sasa ya dunia ni matunda ya siasa za Magharibi hususan Marekani.
Kundi la kigaidi la Daesh limewanyonga raia zaidi ya elfu moja katika eneo la Mosul huko Iraq.
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema mpango wa Saudi Arabia na Uturuki kutaka kuingia kijeshi nchini Syria ulianza miaka miwili iliyopita.
Jumatatu, 15 Februari 2016 11:15

Yemen yakabiliwa na uhaba wa maji ya kunywa

Mashambulio ya anga ya ndege za Saudi Arabia dhidi ya visima vya maji na vituo vya usambazaji maji katika miji mbalimbali ya Yemen yamepelekea nchi hiyo ikabiliwe na hali mbaya …
Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kulaani mahambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika ardhi ya nchi …
Saudi Arabia imewataka wafanyakazi wa huduma za misaada ya kimataifa kuondoka haraka iwezekakavyo huko Yemen lengo likiwa ni kuzidisha mgogoro wa kibinadamu nchini humo.
Jumapili, 14 Februari 2016 05:25

Iraq kuwa makaburi ya askari wa Saudia

Vikosi vya wananchi vya Iraq maarufu kama Hashdu Shaabi vimeitahadharisha Saudi Arabia dhidi ya kuivamia nchi hiyo na kusema kuwa iwapo itathubutu kufanya hivyo, basi wataigeuza ardhi ya Iraq kuwa …
Jumapili, 14 Februari 2016 05:24

Zarif: Wasyria wenyewe waamue mustakabali wao

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa uamuzi juu ya serikali ijayo ya Syria uko mikononi mwa wananchi wa nchi hiyo.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …