Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 28 Februari 2016 11:33

Hizbullah: Hatuwezi kuiomba Saudia msamaha

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa kula njama ya kuitumbukiza Lebanon katika mzozo wa ndani na kuongeza kuwa katu haiwezi kuiomba msahama …
Jumamosi, 27 Februari 2016 20:23

Hizbullah: Lebanon haitatawaliwa na Saudia

Harakati ya Hizbullah imeonya kuwa Lebanon kamwe haitakuwa chini ya mamlaka ya Saudi Arabia licha ya kuwepo mashinikizo ya ufalme huo kwa maafisa wa Lebanon.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo mchafuzi mkubwa wa haiba na sura ya Uislamu ulimwenguni.
Hatua za askari polisi wa utawala wa Aal Khalifa za kutaka kuwazuia wananchi wa Bahrain wasishiriki kwenye Sala ya Ijumaa zimegonga mwamba.
Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amekaribisha kwa mikono miwili mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea vikwazo na marufuku ya kuuziwa silaha Saudi Arabia.
Alkhamisi, 25 Februari 2016 05:30

Al Azhar: Hakuna vita baina ya Shia na Suni

Licha ya njama zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuuhusisha mgogoro wa Syria na masuala ya kimadhehebu, Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usitishaji vita nchini Syria haupaswi kuwa fursa ya kuwawezesha magaidi kujiimarisha nchini himo.
Mjumbe wa mrengo wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon, Hassan Hubullah, amesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano mwema baina ya harakati hiyo na ile ya Palestina Hamas katika ngazi ya viongozi.
Waziri wa Palestina anayeshughulikia hali ya wafungwa walioko kwenye jela za utawala haramu wa Israel amesema leo kuwa watoto wasiopungua 60 wa Kipalestina wamewekwa chini ya vifungo vya nyumbani katika …
Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda zinashirikiana katika mashambulizi yao ya kutisha nchini Yemen.
Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza tarehe 13 Aprili mwaka huu 2016 kuwa siku ya uchaguzi wa bunge nchini humo.
Jumanne, 23 Februari 2016 07:10

Rais Asad aiomba Iran iendelee kuisaidia Syria

Rais Bashar al-Assad wa Syria ameiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iendeleze himaya na misaada yake kwa serikali ya Damascus katika njia ya kupambana na magaidi.
Jumapili, 21 Februari 2016 19:43

Makumi wauawa katika miripuko ya mabomu Syria

Kwa akali watu 30 wamethibitishwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika wimbi la miripuko ya mabomu lililotikisa viunga vya mji mkuu Damascus na Homs nchini Syria.
Jumapili, 21 Februari 2016 19:31

Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia

Spika wa Bunge la Syria ametoa onyo kali kwa ukoo wa Aal Saud unaojigamba kuwa utatuma wanajeshi wake nchini Syria.
Jumapili, 21 Februari 2016 11:50

Milipuko ya mabomu yaua zaidi ya 20 Syria

Habari za hivi punde zinasema kuwa watu wasiopungua 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia milipuko miwili ya mabomu katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria.
Ripoti ya hivi karibuni imefichua kuwa, Saudi Arabia na Uingereza zilishirikiana kuvuruga azimio la Umoja wa Mataifa dhidi ya Bahrain.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ametaka magaidi walioko nchini Syria waimarishwe kwa silaha.
Wananchi wa Bahrain wameendeleza maandamano dhidi ya utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Jumamosi, 20 Februari 2016 11:27

Chuki ya Saudia kwa Iran yasababisha mvutano AL

Gazeti la Asharq Al-Awsat limeandika kuwa, hatua ya Saudia ya kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeibua tofauti kati ya baadhi ya nchi za Kiarabu zinazoiona hatua hiyo …
Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya polisi watakaohusishwa na ukiukaji wa sheria nchini humo.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …