Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mufti Mkuu wa Quds tukufu na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ametahadharisha kuhusiana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na kutoa wito …
Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, vita vilivyoanzishwa na Saudia na ambavyo vinaendelea hadi hivi sasa huko Yemen huenda vikachukua muda mrefu kabla ya kumalizika kutokana na …
Washindi wa tunzo ya amani ya Nobel kutoka Tunisia wamelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha …
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema kuwa, wananchi milioni 14 sawa na asilimia 55 wa nchini Yemen hawana dhamana ya kupata chakula chao cha siku.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Algeria Algeria imepinga kutolewa taarifa ya Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hatua ya kuiweka harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi ni sawa na kufumbia macho jinai …
Nchi sita wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi zimeiweka Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah ambayo inaendesha mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Kizayuni na magaidi huko …
Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amesema kuwa, kundi la kitakfiri la Kizayuni la Daesh ni hatari kubwa kwa usalama wa taifa wa ulimwengu mzima wa Kiarabu.
Juhudi za jeshi la Saudi Arabia za kuukomboa mji wa al Rabia katika mkoa wa Asir kusini mwa nchi hiyo zimegonga mwamba hadi sasa.
Wasia wa kiongozi wa zamani wa kundi la kigaidi la al Qauda Usama Bin Laden umeonesha kuwa Usama alipokea dola milioni 12 kutoka kwa ndugu yake kwa niaba ya Kampuni …
Jumatano, 02 Machi 2016 11:15

UN: Wairaqi 670 waliuawa mwezi Februari

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu 670 wameuawa katika machafuko na mashambulizi ya kigaidi nchini Iraq kwenye mwezi uliopita wa Februari pekee.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametaka kuchukuliwe hatua za kuzuia magendo ya silaha kutoka Uturuki kwenda Syria ambako zinatumiwa na makundi ya kigaidi.
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinachochea fitna na mizozo ya kimadhehebu katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati.
Mamia kadhaa ya wanamgambo wa kundi la kitakfiri la Daesh wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na jeshi la Syria katika viunga vya mji wa Aleppo.
Jeshi la Yemen limetangaza kuwa, askari wa serikali kwa kushirikiana na harakati za kujitolea za wananchi, wamefanikiwa kuwaangamiza makumi ya askari vamizi wa Saudia na kuwatia mbaroni makumi ya wengine.
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuendelezwa propaganda na siasa za kuionesha Iran kuwa ni tishio na hivyo kuifanya iogopwe hazitazisaidia …
Jumatatu, 29 Februari 2016 16:57

Magaidi wa Daesh, wananyofoa viungo vya mateka

Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wamekuwa wakinyofoa viungo vya mateka wanaowashikilia na kuvitumia kwenye miili yao.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi haraka kuhusu shambulizi la anga lililolenga soko lililokuwa na watu wengi nchini Yemen.
Jumatatu, 29 Februari 2016 06:06

Kuwait yasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

Waziri Mkuu wa Kuwait ametaka kuimarishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na Iran.
Jumapili, 28 Februari 2016 20:02

70 wauawa kwenye miripuko mjini Baghdad, Iraq

Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea leo Jumapili kwenye soko lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, imepelekea watu 70 kuuawa na wengine 100 kujeruhiwa. Hayo ni kwa mujibu …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …