Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Bahrain limeelezea wasiwasi kuhusu hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kuendelea kukandamiza haki ya faragha na uhuru wa kujieleza wa wananchi wa nchi …
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Misri, Ahmed Aboul Gheit ndiye Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
Saudi Arabia na washirika wake wamezidisha mashambulizi ya anga dhidi ya makazi ya raia na maeneo ya ibada nchini Yemen.
Duru za Wazayuni zinaripoti kwamba, utawala ghasibu wa Israel umeshindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds inayoendeshwa na wanamapambano wa Kipalestina.
Kwa mara nyingine Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri ametaka kufanyika kikao cha pamoja baina ya maulama wa Kishia na Kisuni kwa lengo la kuimarisha …
Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa,mgogoro wa Syria unapaswa kutatuliwa kwa kuheshimu ardhi yote, mamlaka na …
Jumatano, 09 Machi 2016 18:56

Baraza la Netanyahu limeshindwa na muqawama

Viongozi wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamelikosoa vikali Baraza la Mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kutokana na kushindwa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa …
Jumatano, 09 Machi 2016 17:53

Saudia yabadilishana wafungwa na Ansarullah

Muungano wa wavamizi wa Yemen unaongozwa na Saudi Arabia, umetangaza habari ya kubadilishana wafungwa kati yao na harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah.
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya siasa wa Marekani amesema Saudi Arabia karibuni hivi itatumbukia katika mgogoro mkubwa wa kifedha.
Msomi na mwandishi maarufu wa Misri, Fahmi Huwaidi amesema kuwa, tuhuma zilizotolewa hivi karibuni za Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo dhidi ya harakati ya Ikhwanul Muslimin na …
Mkuu wa masuala ya uhuru wa kidini katika shirika la kutetea haki za binadamu la Bahrain ametangaza kuwa kuwatuhumu Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo kwa uhaini kunakofanywa na vyombo …
Raia wa maeneo kadhaa ya Syria wamefanya maandamano wakitangaza uungaji mkono wao kwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetishia kupitia mkanda wa video kuwa, litafanya shambulio la kigaidi nchini Russia kama ulipizaji kisasi.
Mkuu wa Kamati ya Intifadha ya Quds nchini Iran amesema kuwa kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi ni njama iliyobuniwa na Saudi Arabia na Wazayuni kwa amri …
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, lau kama tungelikaa na kusubiri stratijia na mikakati ya Umoja wa Waarabu, basi leo hii Israel ingelikuwa iko nchini Lebanon.
Mkuu wa chama cha Kizazi cha Demokrasia nchini Misri, Naji al-Shahabi amesema kuwa, siasa za chuki za Saudia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, zimefeli vibaya.
Harakati ya Kimataifa ya Kuwalinda Watoto imeripoti kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanawauwa kwa makusudi watoto wa Kipalestina.
Jumamosi, 05 Machi 2016 11:02

Hizbullah inaandamwa kwa sababu imefanikiwa

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuandamwa na kuwekewa vizingiti harakati hiyo ni ishara kwamba, imefanikiwa katika malengo yake.
Mratibu wa Oparesheni za Masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa watoto wasiopungua elfu mbili wameuawa na kujeruhiwa huko Yemen tangu Saudi Arabia ianzishe mashambulizi ya kijeshi nchini …
Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa viongozi wa utawala wa Bahrain wamekusudia kubadili muundo wa kijamii wa nchi hiyo.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …