Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Makundi ya kigaidi na kitakfiri yameushambulia kwa mizinga mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria na kuua makumi ya raia na kujeruhi wengine wengi.
Kiongozi wa mrengo wa Februari 14 nchini Bahrain amelaani wimbi la ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya wananchi na kusisitiza kuwa mapambano …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 08:31

Saudia kufungua ubalozi Israel

Saudi Arabia imesema huenda ikafungua ubalozi wake Tel Aviv iwapo utawala haramu wa Israel utakubali kusitisha mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
Kiongozi wa Kuwait, Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah ametaka kuheshimiwa kikamilifu usitishaji vita nchini Yemen.
Jumanne, 26 Aprili 2016 18:52

Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amefichua kuwa utawala haramu wa Israel unatoa mafunzo ya kijeshi kwa askari wa Saudi Arabia katika mpango wa siri wa uhusiano …
Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza kuwa serikali ya Washington karibuni hivi itatuma askari 250 wa nchi kavu kwenda Syria kwa kisingizio cha kupambana na makundi ya kigaidi.
Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema kuwa, wana wasiwasi wa kuongezeka muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala huo pandikizi.
Waziri wa Habari wa Syria ameilaumu Saudi Arabia na baadhi ya waitifaki wake kwa kuvuruga makubaliano ya kusimamisha vita nchini Syria.
Kwa akali watu 12 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mawili ya bomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Baada ya wiki kadhaa za mvutano hatimaye, mazungumzo ya kusaka amani kwa ajili ya kumaliza mashambulio ya miezi 13 ya kundi linalojiita Muungano wa Kiarabu linaloongozwa na Saudia Arabia yalianza …
Alkhamisi, 21 Aprili 2016 19:52

A/League: Kuundwe mahakama ya jinai za Israel

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuundwa mahakama maalumu ya jinai kwa ajili ya kuwapandisha kizimbani Wazayuni kutokana na hatua yao ya kukiuka haki za Wapalestina.
Alkhamisi, 21 Aprili 2016 12:55

Daesh waua wanawake 250 huko Mosul nchini Iraq

Maafisa wa kikurdi nchini Iraq wametangaza kuwa hivi karibuni magaidi wa kitakfiri wa Daesh wamewaua kinyama wanawake wapatao 250 katika ngome yao kuu huko Mosul kaskazini mwa Iraq. Inasemekana kuwa …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa Iraq wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili hali ya sasa ya Mashariki ya Kati husuan mipango ya serikali ya Iraq …
Gazeti la al-Akhbar linalochapishwa nchini Lebanon liliandika jana Jumatano kwamba sheria ya kuiadhibu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah iliyopitishwa na Congress ya Marekani na kuidhinishwa na …
Mufti Mkuu wa Syria amesema kuwa, ni suala lisilo na shaka kwamba Wasyria wataibuka washindi dhidi ya njama chafu za maadui, licha ya kuwepo mashinikizo mengi yanayolenga umoja wa kitaifa …
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauutambui rasmi umiliki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria.
Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote hasimu nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani ya Syria ya Geneva Uswisi.
Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wametumia silaha za kemikali katika maeneo ya raia kaskazini wa Iraq.
Maspika wa Mabunge ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kazakhstan wametoa wito wa kuwepo juhudi za pamoja na za dhati za kukabiliana na makundi ya kigaidi na haswa kundi …
Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi …
Page 1 of 48

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …