Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Huku Umoja wa Mataifa ukisisitizia umuhimu wa kuchukuliwa adhabu kali kwa askari wa umoja huo wanaosimamia amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kutokana na kuhusika na ukatili wa kijinsia …
Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, FaustinArchange Touadera ameanza kufuata hatua zilizochukuliwa na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania katika kubana matumizi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi. Hatua …
Polisi nchini Uganda imeendelea kumzuilia nyumbani, Dakta Kiza Besigye, licha ya kumalizika zoezi la uchaguzi uliompa ushindi Rais Yoweri Museven wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa polisi hiyo, hatua hiyo …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo. Jumanne alikutana kukutana na kufanya mazungumzo na Rais …
Na kufuatia kushadidi mvutano baina ya Burundi na Rwanda juu ya tuhuma kwamba serikali ya Kigali ilikuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi kwa wakimbizi wa Kirundi waliomo nchini humo, sasa serikali …
Mtandao wa WikiLeaks unaofichua siri za serikali mbalimbali duniani umefichuwa ripoti ya uvunjaji wa haki za binaadamu na udanganyifu wa Shirika la Uchimbaji madini ya Urani, AREVA nchini Jamhuri ya …
Baada ya Chama cha Wananchi CUF kutangaza kwamba hakitashiriki kwenye uchaguzi wa marudio uliopangawa kufanyika Machi 20 visiwani Zanzibar, wataalamu wa masuala ya siasa nchini Tanzania wanaona kuwa, kutopatikana ufumbuzi …
Jumamosi, 23 Januari 2016 10:50

Wajumbe wa UN wamaliza ziara yao Burundi

Wajumbe 33 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakiwemo mabalozi 15 wa baraza hilo jana walimaliza ziara yao ya siku mbili nchini Burundi iliyokuwa na dhamira ya kuushawishi …
Bomoabomoa ambayo imekuwa ikitekelezwa na serikali ya awamu ya tano jijini Dar es Salaam, Tanzania imekosolewa vikali na pande mbalimbali wakiwamo wananchi. Hatua hiyo imekuja baada ya wananchi hao kutolipwa …
Wakati hali ya kisiasa nchini Burundi ikiendelea kuwa tete, Viongozi wa Kiafrika wametakiwa kuacha kurudi nyuma badala yake wawe mstari wa mbele katika utatuzi wa mgogoro wa Burundi unaoendelea na …
Zoezi la kuwapokonya silaha kwa nguvu watu  wanaozimiliki kinyume cha sheria linaendelea katika mitaa ambayo imekuwa ikishuhudia usalama mdogo mjini Bujumbura. Kwanye siku ya pili ya operesheni hiyo watu kadhaa …
Serikali ya Uswidi kupitia ubalozi wake nchini Kenya umetowa kitita cha takriban Shilingi milioni  600  kwa Shirika la Diakonia ili kufadhili mashirika 11 ya kijamii katika kuhamasisha umma kuhusu haki, …
Licha ya serikali ya Burundi kutekeleza operesheni za kukusanya silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria, bado suala hilo limeendelea kuwa, changamoto kubwa kwa usalama na amani nchini. Hayo yamejiri kufuatia kuongezeka …
Machafuko yanayoambatana na mauaji yameendelea kushuhudiwa katikati ya mji mkuu Bujumbura, nchini Burundi, huku Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo ikikadhibisha kuwepo machafuko hayo na kwamba kile kinachoshuhudiwa …
Jumatatu, 19 Oktoba 2015 10:42

Madhara ya mihadarati mkoani Pwani Kenya

Utepetevu wa wazazi na uchochole ni miongoni mwa mambo yanayochangia ongezeko la watumiaji wa madawa haramu ya kulevya na mihadarati nchini Kenya pamoja na kutelekezwa familia na watoto wanaorandaranda mitaani …
Mapigano baina ya wanachama wa kundi la kigaidi la Anti-Balaka huko mjini Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati yameendelea kushuhudiwa kwa siku kadhaa sasa na kusababisha vifo …
Viongozi wa serikali nchini Burundi wametangaza habari ya kutimuliwa mwanadiplomasia wa Rwanda kwa kile walichokisema kuwa ni mienendo hasi ya mwanadiplomasia huyo katika kuchochea machafuko nchini humo. Désire Nyaruhirira, ambaye …
Hatimaye viongozi wa upinzani nchini Uganda wameamua kumuunga mkono kiongozi mmoja atakayepeperusha bendera yao katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho 2016, ili kukiondoa madarakani chama tawala cha NRM cha nchi …
Uchaguzi wa viongozi wa mitaa nchini Burundi umefanyika Jumatatu hii, huku ukishuhudia ushiriki duni. Viongozi serikalini wameutaja uchaguzi huo kuwa muhimu kwa nchi hiyo huku wakiwataka wananchi kuwapigia kura viongozi …
Uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya frika ya Kati huwenda ukakumbwa na matatizo, kutokana na shughuli ya uandikishaji majina ya wapiga kura, kukumbwa na vizuizi kadhaa. Hatua hiyo imekuja kufuatia watu …
Page 1 of 7