Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Hofu ya kusambaa kwa maradhi ya Hepatitis A imeukumba mji wa Mombasa nchini Kenya huku mikakati ikiwekwa na serikali ili kudhibiti kusambaa kwa maradhi hayo. Katika fremu hiyo, viongozi wa …
Serikali ya Tanzania imeshutumiwa kwa kuulemaza umoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC katika kuyafikia malengo tarajiwa. Hayo yamesemwa na wabunge wa jumuiya hiyo ambapo pamoja na mambo mengine wameitaja …
Mkutano wa hivi punde wa nchi ambazo zina polisi na askari wake nchini Somalia chini ya mwavuli wa AMISOM, umetoa wito wa kutumwa askari zaidi wa nchi za Afrika kujiunga …
Jumatano, 24 Februari 2016 13:43

Rwanda yataka wakimbizi wa Burundi waondoke

Rwanda imesema ni lazima wakimbizi wa Burundi walioko kwenye nchi hiyo wahamishiwe kwenye nchi ya tatu. Rwanda inasema inafanya hivyo kuepuka kuendelea kuchafuliwa jina lake kutokana na kile inachokitaja kama …
Jumatatu, 22 Februari 2016 14:07

Fedha bandia zaharibu uchumi Tanzania

Kuwepo uingizwaji wa fedha bandia katika mzunguko wa matumizi ya fedha nchini Tanzania kunatajwa kuwa ni kikwazo katika ustawi wa uchumi wa nchi hiyo ambayo inapambana kupiga hatua zaidi za …
Wakati siku mia moja za rais mpya wa Tanzania  DK, John Pombe Magufuli madarakani zikitimia,Watanzania wamemtaka rais huyo kuongeza kasi ya kuwabana mafisadi wanaohujumu uchumi wa nchi hiyo bila kuwaonea …
Wataalamu wanawake wa Kiislamu nchini Kenya wamejitokeza na kulaani hatua ya kupewa likizo ya lazima afisa mkuu mtendaji wa shirika la mafuta nchini Kenya Sumaya Uthman na kumtaka Rais Uhuru …
Jumamosi, 23 Januari 2016 10:59

Wanajeshi wa Kenya waliouawa Somalia waenziwa

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ijumaa aliwatembelea wanajeshi wa Kenya waliojeruhiwa na wanamgambo wa al Shabab katika shambulio la juma lililopita huko nchini Somalia. Rais Kenyatta amewataka viongozi wa Somalia …
Walimwengu wamepokea vizuri tangazao la Wakala wa Kimataifa wa Nisahti ya Atomiki IAEA kuhusu kufungamana Iran na ahadi zake katika mapatano ya nyuklia sambamba na taarifa ya pamoja ya Waziri …
Mkutano wa 29 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu ambao ulifanyika hivi karibuni hapa mjini Tehran ulihudhuriwa na wasomi, wanazuoni na wanafikra zaidi ya 600 kutoka nchi 70 duniani. Mkutano …
Kamanda wa Jeshi la Uganda, Jenerali Katumba Wamala amewataka wananchi na wanasiasa wa nchi hiyo kuepuka machafuko na maneno yanayohatarisha amani katika kipindi hiki nyeti cha kampeni za uchaguzi mkuu …
Leo Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amewasilisha bungeni jina la Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano ya nchi hiyo. Uteuzi …
Sherehe za kumuapisha rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dakta John Pombe Magufuli zimefanyika leo jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa na kimataifa. Marais kadhaa …
Huku wafusi wa chama tawala nchini Tanzania wakiwa katika shamrashamra baada ya Tume ya Uchaguzi nchini humo kumtangaza Muheshimiwa John Pombe Magufuli kama rais wa awamu ya tano ya nchi …
Jumatano, 21 Oktoba 2015 14:51

Siku ya Mashujaa nchini Kenya

Sherehe za mashujaa nchini Kenya zimefikia kilele chake leo kwa hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta ambapo kiongozi huyo amewataka wabunge kujiepusha na ubinafsi na badala yake kuwaomba waondoe vipengele tata …
Kaunti ya Mombasa nchini Kenya, imeteuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa miongoni mwa maeneo yatakayotumika katika shughuli za kukabiliana na harakati za makundi yenye misimamo kufurutu ada na ugaidi duniani. …
Tukio chungu la maafa ya maelfu ya mahujaji huko mjini Mina, Saudi Arabia hapo tarehe 24 mwezi uliopita wa Septemba, limeendea kuakisiwa zaidi duniani, ambapo shakhsia mbalimbali wameutaja moja kwa …
Tatizo la umalaya limekuwa janga kubwa katika nchi nyingi duniani. Huko barani Afrika, tatizo hilo limekuwa linachangia mno kuenea maradhi mbalimbali hasa ugonjwa hatari wa Ukimwi. Kwa nchini Tanzania, viongozi …
Nchini Kenya kashfa ya kufujwa kwa mamilioni ya pesa katika shirika la huduma kwa vijana NYS imeendelea kuibua hisia mseto ikiwa ni siku chache baada ya Waziri wa Ugatuzi na …
Watanzania wametakiwa kuwa waangalifu katika maisha yao ya kila siku kwa kufuata taratibu nzuri za ulaji wa vyakula ili kuepuka kupata maabukizi ya ugonjwa wa kipindupindu unaoendelea kuenea kwa kasi …
Page 1 of 6